Brother umeelezea vizuri but samahani kwa kuwa na maswali mengi hapo umetaja chord za KEY C:c major,Eminor,Fmajor,etc. ombi langu ni je najuaje(kama kuna formula) kama chord za KEY fulani ni zipi na zipi LAKINI vile vile namna ya kuzishika kwenye guitar maana nakumbuka ile video yako ya JIFUNZE KUPIGA GUITAR NDANI YA MWEZI MMOJA Umeelezea vzr namna ya kuzishika hadi kesho siwezi sahau kushika zile chord(Eminor,C,D,G) please waweza fanya hivyo kwa hii series pia
Good one
Safi sana
Good job bro...mafuzo kama haya ndio tunaitaji
Hello, niko najizunza kupiga guita, can you contact me, nataka kujuwa pika nyimbo zakuabudu Mungu. Naishi Sweden
Hi nipe mamba Yako ya WhatsApp ,,yangu ni hii +27658918501
Kitu cha kwanza kwa kujifunza guitar ni Kipi?
Nii ua-cam.com/video/HA9XJoWN14c/v-deo.htmlsi=HoOP82OGg00bln2E
Brother umeelezea vizuri but samahani kwa kuwa na maswali mengi hapo umetaja chord za KEY C:c major,Eminor,Fmajor,etc. ombi langu ni je najuaje(kama kuna formula) kama chord za KEY fulani ni zipi na zipi LAKINI vile vile namna ya kuzishika kwenye guitar maana nakumbuka ile video yako ya JIFUNZE KUPIGA GUITAR NDANI YA MWEZI MMOJA Umeelezea vzr namna ya kuzishika hadi kesho siwezi sahau kushika zile chord(Eminor,C,D,G) please waweza fanya hivyo kwa hii series pia
Sawa ntafanya video ya kuweza kushika kodi zote 24 minor na major zake
Bro I always hear pple talk about chords like Emajor7th, or Gminor 9th..can you do a lesson and explain where this 7th and 9th etc come from?
Good question I will make a video exactly like that
Do u speak Swahili or u want it in English
@@Eli_Music even Swahili iko sawa Mimi Mkenya
@@Eli_Music thanks..and also shed more light on Chord formation..
@@piuskioko5879sawa ndugu