Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
kauli yetu "NYIE MNATAKAJE
Kwenye jezi yanga wanajua sana yaan huwa hawawaangushi mashabiki wao.Big up S.Ngowi
Jezi nzur sanaaa hasa ya kijani
Hakuna kijani hapo. Kalinganshe na ya Mwaka jana utaona utofauti.
Watangazaji hata hawawajui wachezaji😅😅😅😅😅
Hizo ni jezi bora, siyo sanda.
Nawapata
Leo ndo mmeona kuwa uzuri wa kitu ni subjective eeeeh
Mtangazaji tunamzungumzia jezi za msimu huuu..... Wewe umeipenda kitenge!!!!! Kiukweli nadhani Kwa Sasa mmebakia kwenye ushabiki tu kwenye suala la jezi.. Hata maelezo Yako kama umejaa uoga
Umeona na ile jezi ya mkono ✋?
Sivitenge hizo jezi
Sandaaaaa
Rangi ya Jezi imepotea sio tena ile ya asili. Ili ujue mnazingua mtu avae njano ya mwaka jana na mwingine ya mwaka huu rangi ni tofauri sana.
KWAHIYO SIO YANGA AU?
Kuna njano mpauko, njano kahawia na njano iliyokolea kwanza faham hizo njano au ndo uje useme kma ni njano au sio njano
Hoja yako ni dhaifu
𝑆𝑖𝑚𝑏𝑎 𝑤𝑎𝑚𝑒𝑗𝑖𝑡𝑎ℎ𝑖𝑑 𝑖𝑙𝑎 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑎 𝑛𝑖𝑠ℎ𝑖𝑑𝑎 𝑠𝑛 𝑘𝑖𝑙𝑎 𝑠𝑒ℎ𝑒𝑚𝑢
Brother unapanick kutokea sehemu gani?
kauli yetu "NYIE MNATAKAJE
Kwenye jezi yanga wanajua sana yaan huwa hawawaangushi mashabiki wao.
Big up S.Ngowi