Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri 𝐋𝐈𝐕𝐄🔴:SHUGHULI ZETU NA JACKLINE WOLPER | KUVALISHWA PETE #Bonatv #Exclusive #XOXO
Jack nakupenda Sana Sana.Ombi langu kwako naomba punguza kuvaa nguo za mikono ya maputo,japo ni stylist vaa design mbalimbali maana unatufanya tuhisi hiyo ndio design pekee unayo
Ayo ndeo mapeze sio maigizo Dada baba p ana kupenda sana mungu awape maisha mema Dada wewe ni wajina wadada yangu nakuona Kama Dada yangu naku takiya mema uzidi kumpenda baba p
Chaga boy anaimba bwana hongera Sana barnaba 🙏🙏🙏🙏😍😍😍
Jack nakupenda Sana Sana.Ombi langu kwako naomba punguza kuvaa nguo za mikono ya maputo,japo ni stylist vaa design mbalimbali maana unatufanya tuhisi hiyo ndio design pekee unayo
Yaani huyu mtu anaimba jamani
Barnabaa bana ana kipaji😀😀😀🤣🤣naskia raha utasema nilikuwa🤣
Inapendeza Sana Jack kapendeza na bArnaba Yuko vizuri haswa♥️
Jamani izi sapraizi za ivi unaweza ukafa na presha eti jamani uwiiiiiiiiii❣️❣️❣️❣️❣️
Ogela Dada 🤭🥰🥰🥰🥰😍😍😘
Ayo ndeo mapeze sio maigizo Dada baba p ana kupenda sana mungu awape maisha mema Dada wewe ni wajina wadada yangu nakuona Kama Dada yangu naku takiya mema uzidi kumpenda baba p
Congrats wolper ... right destination ni kwa baba p... nawapenda nyie couple...tunasubr shela inshallah
Congratulations jack❤️❤️❤️
Congrats jack
Sema Rich mitindo live mzurii sanaa japo jack ni mrefu sana kwake ila wanapendeza😍😍😍😍😍
Hongera rich NA jack mungu awajalie ndoa njema amina from saudia
Wow good inapendeza watching from 🇺🇲
Barnaba anatabasamu zuri
Sana
This guy can live sing 🎤👌👌👌👌👌👌
Mko vizuri jamani Maisha marefu
Wanaonesha wp
Congratulations Wolper😍
Congratulations to both mama p n baba p
Allah akujalie na ndoa mama P🥰
Hongera Jacklin worper.kwahatua ulio piga niombee namimi mdogo wako nifike ulipofika
Hongera Jacky Allah Awazidishe Upendo
Hongera.sana jack
Congrats walper an Richy mitindo.Mungu aibariki ndoa yenu 🌞🙏🇰🇪.
Hivi kwanini wasanii wanawapenda sanaa hawa mashoga kwenye party zao
Barnaba you really touch me😍 ...Cograts to the MitindoStylist😍
Barnaba hutumii nguv kabisa kuimb jmni Hadi raha
Mapenz ya kibongo shida leo wanapendana kesho wanaachana kwa matus
Hongelen zenu bado mm
Barnabaa nakupenda unavyoo imba jak hongera sn mungu awalinde
Hongera dia so sweet twangoja arusi sasa
Hongera my love
@@jacklinerichard737 aaa
Nawapenda sana
Hongereni sn R & J Mungu awafanyie wepesi mfunge ndoa
Yaah,mitindo ni bonge la bwana.
Sijui mm ntavalishwa lini pete
Soon InshaaAllah tuzidi kuomba bila kuchoka Allah S.W.T Amesema niombeni name ntawapa niiteni nami ntaitika
Nikweli kabisa shukran
Barnaba 😘 Hongera sana wa jack na rich
Hongera sana mama p
Barnabas voice is so melodious
Congratulations R&J
Watching from USA
Mmependeze sna Jamani naomba msiachane mumle mtoto wenu
Congratulations 🌹
Nimefurahi ❤❤❤❤❤❤💖
Hongera🥰😍😍😍😍😘
Waoooooh 🥰🥰❤️💞
Aunt mzuri jamani
Mungu awatangulie sana
hongera jack ❤️❤️❤️
Congratulations wishing you all the best
Nice voice one love Barnaba boy
My gal nampenda sana uyu dada jaman
Mi nam sijui lini ee mungu nipe nam wa kufanana
Hongeren san jaman
Hongereni kwa hata nzuri
Mungu awe nanyi
jamani kasherehee kamependeza sana na mc Gara B ndo kazidisha kuchangamsha
Mashallah
Kwa Pete Tushazoe
Mungu a barik muoane bas
Muoneni Aunt anatamani angekuwa Yeye😜🤣🤣🤣🤣🤣
Hata Mimi nimetokwa na 😢😢 la mraha
Huyu kk ndio kaendana na Jacky Co Makande gang
Mtangazaji ulikua kaka mzuri mwanzoni Sasa hivi unavaa hereni na du si Kila kitu Cha kuiga aisee
Hongera dada jack Mungu awatangulie
Ndio ustaa huo 🤣🤣
Yani mimi pia nishangaa hajapendeza hata kidogo mtangazaji
Wow
Na wapendeni sana
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
mekap sasa
Wigi Kama karungu yeye,,,nungunungu❤️❤️❤️❤️
Duh!
😂😂😂
Jamani nimechekaa, karungu yeye
@@shaninkonos3214 unamjua karungu yeye vizuri,,,Yan mlemle
Hahaaaaaaaaaa,,,mi nilivyoangalia wig nimecheka mpaka nimelia
Mtangazaj unarudia maneno saana
Unasema umalizi ahhhh
Hiyo nguo sijailewa kigauni ugependeza zaidi hongera Kwa hatua hiyo
Nisapryz hakujua wameshtukiza
@@leaherasto5686 ok
Jamani uyu mukaka hasani ni mukongo au vip mbona naimba kama wakongo Jamani
Ogela
Iyo mek up sasa mmmmh apan
Wwwoooooo
ICHO LESO ALOJIFUTIA WOLPER MACHOZI KIPO KINAUZWA MILION 4 KIKO VZR KIMEIFADHIWA VZR
Mtaji kabisa huo
Mko sawa ila jack tulizana umezeeka dada angu
❤️❤️😘😘😘
Minywele imezidi kama msitu wa nyama pori
🤣🤣🤣🤣Wabongo wagomvi
Hahahah 😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
Wataowana au watachezeana
MC GARB NAKUKUBALI TTZ LAKO HUNA UWEZO WAKUMPA MIMBA MKEO
🤣🤣🤣🤣🤣 jmn c mchezo tu ule
🤣🤣🤣jua Kal ad kwenye really life
Duuh leo me wa kwanza😅😅