Prophecer Mkumbo, kweli ni mtu asiye na aibu usoni kwake. Na mtu wa aina hii ni msomi mpumbavu mbele ya uso wa wana wa nchi. Maneno mengi lakini hayana maana yoyote.
Wasomi wetu ni maskini Sana,na waliojaa hasara.yaani,hata maana ya usomi wao,huwezi kuiona,ukiwaona,ni vituko tupu,b'se,they are of hand to mouth life style. Watu wanapoteza maisha,haki za watu zinapokwa,wanatazama lakini hawaoni,eti tu,matumbo yao,hovyo kabisa.
Hivi professor hapa ni Kitila au Bony? Kwa maoni yangu hapa prof ni Bony kwa sababu anaongea kwa mpangilio mzuri wa hoja. Anapanga syllogisms zake vema. Anajiamini na yuko objectively
Sikweri kwamba ccm wanalaani hao wamefurahi lakini mungu atawajibia mda si mrefu wauaji wote waporaji wote watapukutika kama maua kuanzia hiii desembar
Odemba kwa namna mungu alivyokupa wadhifa ulionao kwa sasa unautumia a hundred % kulinasua hili taifa kwenye ndoano ya ccm ingawaje ni ngumu mno lkn unajitahidi sana!
Tanzania ilipofika sasa haihitaji stha maana hakuna demokrasia kilichobak wananchi kutumia nguvu maana aman imetoeka bali ni uvumilivu ndiotunao nao umeanza kutoeka hivyo tujiandae
Unalinganisha harufu za maiti wakati wote ni wafu? Hivi kuiba kura na kuvuruga uchaguzi ambao ni agizo la Mungu kuna kulinganishwa kwamba huyu kamkufuru Mungu zaidi mimi kidogo? Shame argument from prof uchwara? Arguments kama hizi tuzisikie kwa wasiomjua Mungu bali shetani
Maskiini bwana mdogo Kitilya imebidi anywe maji make presha ya aibu imemtindikia? Aibu, aibu aibu ni unajisi mtupu na hayo ndiyo maisha yao uovu uovu, wizi, wizi uuaji uuaji!! Hawakumbuki kisa cha Kaini kumwaga damu ya ndugu yake Habili?? Dhambi inawaotea mlangoni
@@mpoyokapictures1405 Vita Kamwe hajawai kuleta Jipya. Vita ni mateso kwa watu na viumbe wengine. Sema bila mwafaka hakuna Tz mpya. Tunaweza kujadiliana mpaka tukapata iyo Tz mpya. Changamoto inakuja pale wajinga na waroho wanapoachiwa watambe.
Kama vyuo vikuu vitaendelea kuwa na professors wa kariba hii tusiwalaumu walimu waliosimamia uchaguzi. Kumbe upuuzi wote tulioushuhudia ni uzao wa manafiki kama hawa!
Sijajua huyu professor ni professor wa nini? wa makaratasi au mavumbi.. Boni Yai kamvuruga sana, anatetea mambo ya ajabu sana... ifikie mahali hawa ma professor wawe wa kweli ili nchi isonge mbele.
@@albertkamala6843 Sifa na heshima binafsi ni msingi wa heshima ya pamoja. Inategemea unafsi wa binadamu jamii imeulea vipi. Unafsi wa matunda hasi au chanya?.
Mimi huwa naita "kunajisi" professorial na hapa ndo Prof. Baregu alipenda kutofautisha wasomi wa darasani na wale waliopewa vyeti tu kisiasa!! Profesa gani unashiriki wizi wa kura na unafurahia hiyo elimu ya wizi wa kura? Ndo maana hatuwezi kuwabana wakurugenzi kwa hoja za CAG kwa sababu hatuko wasafi, wametusaidia sisi kuwepo ktk nafasi ama ya uwaziri kwa sababu ya wizi. Utaanzia wapi, kidole unanyoshaaje?

Uchaguzi huu ni uchaguzi wa kijeshi na siyo uchaguzi wa kiraia. hapa Karatu CHADEMA tulijiandaa na kuweka wagombea kila mahali ila wasienguliwa na wasimamizi hata kabla ya kuwekewa pingamizi na wagombea wengine.... siku ya uchaguzi polisi walishiriki kupora ushindi wa wagombea wa CHADEMA kwa operesheni maalumu na sehemu zingine wasimamizi wenyewe walishiriki kupiga kura feki na kuweka kwenye sanduku za kura....
Watu wa CCM wamesomeshwa na pesa za serikali na serikali ni CCM polisi jeshi vitengo vyote ni vya CCM shida sana kusema kuna vyama vya upinzani Jakob umeongea ukweli wanatumia pesa za serikali jasho la wanchi wezi sana CCM iko siku Mungu atajibu. Halafu hawaoni hata aibu kushamgilia ushindi idio CCM
Aibu aitoe wapi huyo msaliti? Anajivua nguo na kwa shule aliyo nayo hastahili kukaa hapo kuendelea kujivua nguo, hana aibu ni mroho wa madaraka ndo maana alifukuzwa CHADEMA kwa kuandaa mapinduzi. Ole wake kwa kushabikia uuaji na uovu walioufanya Mungu atashughulika nao. Mbona hatukumuona akilaani mauaji ya Mzee Kibao? Shame to him and his familly
Nikawa na tathmini huo uimara wa ccm ktk zama hizi. Ccm ilikuwa ya Nyerere hii hapana no TISS na Polisi na Walimu no Ccm ukweli nio huo. Ok, wamewaweka hao wahuni katika hizo nafasi, je wataweza kuitisha vikao na kuzungumza mbele ya wananchi waliowaibia na kuwapora haki yao ya kuchagua? Wataweza kuhamasisha shughuli za maendeleo au itabidi wawaite Polisi na Walimu kufanya hizo kazi? Kama alivyosema Ask. Dr. Bagonza, hawana tena wa kuwasukuma na kuwapa changamoto hivyo kuwawajibisha, wamejipiga risasi ya mguu watadondoka soon ni suala la kusubiri muda! Na huu ndo utakuwa kutimia kwa utabiri wa Mwalimu
Jamani hawa ccm tuwaachie uchaguzi wao hawataki kushindana basi wabaki pekeyao coz nikupoteza fed fedha zetu na muda .embu anglia siku ya kupiga kura bora tungeenda kazini tungepata walau pesa kuliko kusindikiza hawa madudu na ccm Lao.na huyo profesa anajidhalilisha hapo nanasema uongo wala hamuogopi Mungu.
Kitila ulikua mtu kabra ya vyeo mungu ata kuukumu kwer we mchumia tumbo ipo ck chadema akuna mjinga asie jua kuandika ana jichoresha2 ila wa tz tunaona2 time wil tell
Bony umesema ukweli kuusu ushilikiana wa kialifu kati ya wakurugenzi na ccm na nchi nzima Leo kitila mkumbo ameonyesha jinsi tz atuna msomi uyu ni msomi asiye na akili wala ana aibu ni jitu la ivyo
Bonny anajua kujieleza sana point juu ya point.
Huyu mtangazaji mungu amulinde na ampe miaka mingi ya kuishi Yuko vzr
I just like Peter Madeleka, Wakili msomi.... 😊
Uyu jamaa wa ACT very smart man
Prophecer Mkumbo, kweli ni mtu asiye na aibu usoni kwake. Na mtu wa aina hii ni msomi mpumbavu mbele ya uso wa wana wa nchi. Maneno mengi lakini hayana maana yoyote.
Wasomi wetu ni maskini Sana,na waliojaa hasara.yaani,hata maana ya usomi wao,huwezi kuiona,ukiwaona,ni vituko tupu,b'se,they are of hand to mouth life style.
Watu wanapoteza maisha,haki za watu zinapokwa,wanatazama lakini hawaoni,eti tu,matumbo yao,hovyo kabisa.
prof unawezaje kuharibu heshima yako kwa kutetea uchafu.
Hivi professor hapa ni Kitila au Bony? Kwa maoni yangu hapa prof ni Bony kwa sababu anaongea kwa mpangilio mzuri wa hoja. Anapanga syllogisms zake vema. Anajiamini na yuko objectively
Sikweri kwamba ccm wanalaani hao wamefurahi lakini mungu atawajibia mda si mrefu wauaji wote waporaji wote watapukutika kama maua kuanzia hiii desembar
Maximum respect Odembo. Kazi nzuri.
Mimi nafunga na kuomba CCM I've na ipotee na viongozi wake (wauaji) waanze kuoboka na kuoza matumbo
Aamen!!
Muongo kweli kweli kitila hacha kudanganya watu kote uchaguzi haukwenda vizuri kabisa uchaguzi umeporwa kabisa
Odemba kwa namna mungu alivyokupa wadhifa ulionao kwa sasa unautumia a hundred % kulinasua hili taifa kwenye ndoano ya ccm ingawaje ni ngumu mno lkn unajitahidi sana!
Nape arituibia Siri lakini atukumuerewa
Makamu m/kiti wa act yuko vizuri sana. Anafafanua hoja kwa staha na uelewa wa juu sana. Au ni mimi tu namuona anaongea kama zitto kabwe 😅
Tanzania ilipofika sasa haihitaji stha maana hakuna demokrasia kilichobak wananchi kutumia nguvu maana aman imetoeka bali ni uvumilivu ndiotunao nao umeanza kutoeka hivyo tujiandae
Yeah sure
Acha uwongo wew mzee kitila
CCM wanaongopa uchunguzi ndio maana wanatumia polisi kuzuia wapinzani Boni umesema kweli mtupu
Pongez kwako chief Odemba!
Huyu Professor ni mpuuzi tu
Eti profesa?? Jamani mbona mnazalilisha elimu jamani
Prof chawa
Profesa toka lini akawa mtu mweusi kama huyo
Hiii hatari sana
Huyu professor hata haoni aibu😮
Tanzania tutafika kweli..
Maandalizi Sawa, kwani ni mitutu na na mabomu😭
Profesa anajibu kama vile hana habari na yotè yale yanayotokea nchini. Na ajue kwamba hawezi kulinganisha siasa za Tanzania na zile za Marekani.
Unalinganisha harufu za maiti wakati wote ni wafu? Hivi kuiba kura na kuvuruga uchaguzi ambao ni agizo la Mungu kuna kulinganishwa kwamba huyu kamkufuru Mungu zaidi mimi kidogo? Shame argument from prof uchwara? Arguments kama hizi tuzisikie kwa wasiomjua Mungu bali shetani
Yan prof kama standard seven tu
Damu zilizomwagwa viongozi mtajib msidhani m/mungu hatowawajibisha.
Professor Gani huyo nikwamba tuu hawakujiandaaa kwanini mlitumia mitutu ya bunduki? Kwanini mmeua wenzenu mmeandikisha hata makaburini duuu
Maskiini bwana mdogo Kitilya imebidi anywe maji make presha ya aibu imemtindikia? Aibu, aibu aibu ni unajisi mtupu na hayo ndiyo maisha yao uovu uovu, wizi, wizi uuaji uuaji!! Hawakumbuki kisa cha Kaini kumwaga damu ya ndugu yake Habili?? Dhambi inawaotea mlangoni
Big up wakili
Huu Mdahalo ulipaswa kuwepo na Wananchi ndani
Bila vita hakuna Tanzania mpya
@@mpoyokapictures1405 Vita Kamwe hajawai kuleta Jipya. Vita ni mateso kwa watu na viumbe wengine. Sema bila mwafaka hakuna Tz mpya. Tunaweza kujadiliana mpaka tukapata iyo Tz mpya. Changamoto inakuja pale wajinga na waroho wanapoachiwa watambe.
ACHA MAMBO YAKO!!
Kweli kabisa
Nakuunga mkono
Naunga mikono hoja
Kama vyuo vikuu vitaendelea kuwa na professors wa kariba hii tusiwalaumu walimu waliosimamia uchaguzi. Kumbe upuuzi wote tulioushuhudia ni uzao wa manafiki kama hawa!
Sijajua huyu professor ni professor wa nini? wa makaratasi au mavumbi.. Boni Yai kamvuruga sana, anatetea mambo ya ajabu sana... ifikie mahali hawa ma professor wawe wa kweli ili nchi isonge mbele.
waziri umeona hiyo aibu?
Binafsi siupendi u professor Kwa sababu ya viumbe kama huyu
Ukiondoa dosari za uchaguzi u Prof ni Mzuri. Hata huyu Prof ni mwema tu, Hana kosa binafsi katenda. Mengine siasa
@@GodfreyOsward
Sifa batili kwa heshma binafsi!
@@albertkamala6843 Sifa na heshima binafsi ni msingi wa heshima ya pamoja. Inategemea unafsi wa binadamu jamii imeulea vipi. Unafsi wa matunda hasi au chanya?.
Mimi huwa naita "kunajisi" professorial na hapa ndo Prof. Baregu alipenda kutofautisha wasomi wa darasani na wale waliopewa vyeti tu kisiasa!! Profesa gani unashiriki wizi wa kura na unafurahia hiyo elimu ya wizi wa kura? Ndo maana hatuwezi kuwabana wakurugenzi kwa hoja za CAG kwa sababu hatuko wasafi, wametusaidia sisi kuwepo ktk nafasi ama ya uwaziri kwa sababu ya wizi. Utaanzia wapi, kidole unanyoshaaje?
Mimi huwa naita "kunajisi" professorial na hapa ndo Prof. Baregu alipenda kutofautisha wasomi wa darasani na wale waliopewa vyeti tu kisiasa!! Profesa gani unashiriki wizi wa kura na unafurahia hiyo elimu ya wizi wa kura? Ndo maana hatuwezi kuwabana wakurugenzi kwa hoja za CAG kwa sababu hatuko wasafi, wametusaidia sisi kuwepo ktk nafasi ama ya uwaziri kwa sababu ya wizi. Utaanzia wapi, kidole unanyoshaaje?
Odembaaaa ndo mwandishi bora now
Mungu hawezi kuwacha salama
Jibu hoja mzee,hata ujenzi wa sgr umesimama,hamna kitu ccm,kitula, pamoja na uprofesa wako, Pole sana.
Njaa za wataalamu wetu zinawatoa Sana utu wao. Prof wa Harvard hawezi tetea wizi.
Prof jibu swali
Sina hakika kama mtapata majibu sahihi ukweli umesha onekana uchaguzi ulundiwe
Daaah proff,
Professor feki
Wapinzani wanajua kuongea balaa. Prof kachanganyikiwa vibaya
Mungu tumemwomba tunasubiri majibu
Prof. Muogopeni Mungu damu za watu viliovya watu mtalipa tuuuuu
Uchaguzi huu ni uchaguzi wa kijeshi na siyo uchaguzi wa kiraia. hapa Karatu CHADEMA tulijiandaa na kuweka wagombea kila mahali ila wasienguliwa na wasimamizi hata kabla ya kuwekewa pingamizi na wagombea wengine.... siku ya uchaguzi polisi walishiriki kupora ushindi wa wagombea wa CHADEMA kwa operesheni maalumu na sehemu zingine wasimamizi wenyewe walishiriki kupiga kura feki na kuweka kwenye sanduku za kura....
Itoshe kusema kitila mkumbo yuko sahihi kabisa kwa sababu anatetea chakula[ maslahi binafsi]
Ila uhalisia uko waz hauhitaji hata D mbili
Ccm hatuwand tu bali force tu
Wizi wizi wizi
Watu wa CCM wamesomeshwa na pesa za serikali na serikali ni CCM polisi jeshi vitengo vyote ni vya CCM shida sana kusema kuna vyama vya upinzani Jakob umeongea ukweli wanatumia pesa za serikali jasho la wanchi wezi sana CCM iko siku Mungu atajibu. Halafu hawaoni hata aibu kushamgilia ushindi idio CCM
Ccm wamepora uchaguzi bira aibu
Prof Mpumbavu
Aisee kweri kitira amekuja apo kwa sababu hana aibu😂😂😂
Ana uso wa mbuzi
Aibu aitoe wapi huyo msaliti? Anajivua nguo na kwa shule aliyo nayo hastahili kukaa hapo kuendelea kujivua nguo, hana aibu ni mroho wa madaraka ndo maana alifukuzwa CHADEMA kwa kuandaa mapinduzi. Ole wake kwa kushabikia uuaji na uovu walioufanya Mungu atashughulika nao. Mbona hatukumuona akilaani mauaji ya Mzee Kibao? Shame to him and his familly
CCM iko uchi mpaka aibu lakini wao CCM najiona wamevaa suti ya pande 3!!!
Hawa ndio wenye VIFUA VIPANA wanaosemwa
Nikawa na tathmini huo uimara wa ccm ktk zama hizi. Ccm ilikuwa ya Nyerere hii hapana no TISS na Polisi na Walimu no Ccm ukweli nio huo. Ok, wamewaweka hao wahuni katika hizo nafasi, je wataweza kuitisha vikao na kuzungumza mbele ya wananchi waliowaibia na kuwapora haki yao ya kuchagua? Wataweza kuhamasisha shughuli za maendeleo au itabidi wawaite Polisi na Walimu kufanya hizo kazi? Kama alivyosema Ask. Dr. Bagonza, hawana tena wa kuwasukuma na kuwapa changamoto hivyo kuwawajibisha, wamejipiga risasi ya mguu watadondoka soon ni suala la kusubiri muda! Na huu ndo utakuwa kutimia kwa utabiri wa Mwalimu
Huyu Prof. Duh
Huyu ndiye mwandishi ❤❤❤
Jamani hawa ccm tuwaachie uchaguzi wao hawataki kushindana basi wabaki pekeyao coz nikupoteza fed fedha zetu na muda .embu anglia siku ya kupiga kura bora tungeenda kazini tungepata walau pesa kuliko kusindikiza hawa madudu na ccm Lao.na huyo profesa anajidhalilisha hapo nanasema uongo wala hamuogopi Mungu.
Ahsante sana Adv. Madeleka
Kumamake
Kitila ulikua mtu kabra ya vyeo mungu ata kuukumu kwer we mchumia tumbo ipo ck chadema akuna mjinga asie jua kuandika ana jichoresha2 ila wa tz tunaona2 time wil tell
Huyu profesa ni janga la watz 😂😂😂
Huyu ni profesa wa jararani
PROFFESOR MMBEA
Uyu sijui babake nan mwambie mzee wako anaongea mavi kama yapo kichwani
HUYU PROFESSOR MWENDAWAZIM KWEL KWEL YAAN MIE SIO MSOMI LKN NAONA AIBU
Namkubari sana wakili peter madeleka
Bonny Yai wewe ni kiongozi hengera sana.Nawapongeza wote isipokuwa Kitila kaletwa kubwabwaja tu kijani wanajitekenya then wanatabasamu
Huyo chukua chako mapema Hana hata aibu.hawa ndiyo wanakaribisha machafuko inchi kwetu
Hongera sana kwa mdahalo bora kabisa
Ila mdaalo ni mzuri sana mda hautoshi waongezewe muda
Boni yai vema sana
Naunga ✋ msimamo wa chama cha ACT wazarendo
Profess gn wew uchwara
Bora ng'ombe kuliko huyu prof
Kwa hiyo Bonny unasema Defender za polisi wakati mwingine ugeuzwa kuwa ofisini za watendaji ?😅😅
Uyu jama waccm muongo
Gonga kwenye mshono Bony
Vizuri sanaaa muandishi wa habar kuonesha hio clip
Huyu ndio professor wa nchini mwetu ndio msomi wetu huyu 😂😂😂anaongea mambo ya umbea wa mitandaoni 😂😂😂
Uwanja wao refa wao
Bony umesema ukweli kuusu ushilikiana wa kialifu kati ya wakurugenzi na ccm na nchi nzima Leo kitila mkumbo ameonyesha jinsi tz atuna msomi uyu ni msomi asiye na akili wala ana aibu ni jitu la ivyo
Kweli Mkumbo ana AKILI za MATOPE
Professor kitila anafuata mkumbo #chawa
Odemba,umealika watu wazuri sana,ila huyo mwakilishi wa vijani,anatia g 1:50:41 iza na fitina,uongo na kujitoa ufahamu.
Katiba mpya kwanza
aibu tupu.
Huyu anakula kodi zetu kweli Odemba alipie maji hayo 😅😅😅😅😅😅
Profesa njaa
Safi bonny
Maandaliz gan ww mbna umeng'ang'ana San na maandlzi au ndo maandaliz ya kuengua na kuleta kura feki ND maandlzi au siyo
Mmh CCM , ni refa tena mchezaji wa timu.Inakuwaje sasa?
Profesari mnyaaa
Nimechoka kukoment kifupi ccm Bnausi Siipendi
Mkumbo hawazi kuwa wazi na mkweli pamoja na hakhi kwa mjadala huu. Mpuuzeni kama wengi tunavyoipuuzia CCM ya sasa.
Maprofesa wangi wamefeli ktk uwongozi maneno ya lusinde nanuku maneno yke
Atupigi kura vijana wengi atuoni haki katika uchaguzi
Asante chifu odemba
Moja wapo mimi nimelalamika
Nilipoona kipara nikahisi ndani kuna ubongo kumbe duuh
Huyu ni Prof kweli?
chief..Pse Andaa mjadala wa viongozi wa dini kujadili uchaguzi uliopita juzi
Hyo jamaa wa ACT ni kichwa sana.
Mbona huyo professor Kila anachoulizwa anajibu kitu kingine?, anakwepa maswali
Yaani mbona kama aibu naona mimi jamani😂😂😂😂