ESMA | SIMULIZI TAMU SANA YA MAHABA | SIMULIZI FUPI
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Nilifika mahali nikachoka kutembea nikakaa kwenye jiwe nikiwa natokwa na machozi. Nilifikiria niachane na Fredrick moja kwa moja ila mapenzi niliyo kua nayo juu yake yange sababisha hata nijiue kama ninge mkosa.
SIMULIZI TAMU
SIMULIZI FUPI
LOVE STORY
Nza naombeni like zangu
Na umezipata kweli😊😂😂
Nimewai mm ❤❤❤❤
Waoooh amaizing story🎉🎉
Mko poah vipenz vya Lukas lumbas
Sio wakwanza lkn mmewahi😢🎉🎉
Leo pia saa tisa kamiki uwahi namba kumalizana na Esma part 2😊😅😅😅
Asante sana kaka Lucas Lumbas ❤❤❤❤
Wakwanza naombeni like zangu🎉🎉🎉❤❤❤
Umezipata za kutosha😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huuummmhhh jaman lkn uyu Frederick aliku n msimamo n esma,lucus Mungu akubRk kwa cimuliz yenye mafunzo❤❤huyu Linda n aunt sio wtu wazur
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
😂😂 wanaume kwa uwongo,na akija kufanikiwa ktk maisha,atarudia tu kumhonga Linda😂😂 ngoja tuone itakuwaje
hamisi ni mwanaume wa ajabu sana na frederick mwanaume siyo sahii kwako Esma maana yy anatembea na Linda 😅😅na linda yupo kwa frederick kwa ajirii ya pesa tuu ❤❤❤
Pambeee.oyaa wana lucus lumbasi simulizi njooni nyumbani chakula tayari
Wakumbuke kunawa😂😂😂😂😂😂😂😂
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI😂😂😂😂😂😂
Hahaaa xawa kaka usinikumbushe X wangu jmn😂😂😂😂
😊😊😊
Kwani bado unatafuta thamani ya X???😂😂😂😂😂😂😂
Ester X wako alikufanyaje ? 😂😂
@@FatumaRamadan.Mwalim❤❤
❤❤❤❤❤
Win today
And forever 🎉🎉😅😅😅
Kaka lukas kuna simulizi yako naitafuta
Ipi hiyo Mamaaa??😊😊😊😊
Mhuuu jmm nami sijachelewa sana jmn nakupenda likasi
Santeeee 🙏 😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante kaka lucas hawx dah
Enjoy 🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊
Nimechelewa kidogo 🎉🎉🎉
Jmn ndo mnawah ivyo mm mbn nimechelewa kdg tuu mmeshajaaa
Angalia wasikukanyage😂😂😂😂😂
Asante kaka Lucas, watching from Saudi Arabia
Santeeeeeeee from Saudi, moja ya sehemu ambapo pesa yake ina thamani saaana😊😊😊
🎉🎉🎉
Jaman watu hawachelew😂😂😂😂
Tangu shule ya msingi wanahai namba.... na wanahi zile namba za mwanzo ili wasisahau😂😂😂
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
wa 21 Leo wadau❤
😂Lucas Bwanaa Kwani lazima ilikuwa useme EX😅 haya ESMA ana jipya gani
Ndo ujue kupigwa na mapenzi hakuchagui mtu😂😂😂😂😂 tena yalinipigaaaaaa😂😂😂😂😂😂 wr acha tu
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI Daah pole kwa tukio kipenzi 😁 ila mda ni mchache unahuzunika na Mapenzi na at the same time unakula na unatupa kitu kipya kwa simulizi
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 😀😀😀😀ata ww mapenz shikamoooo
@@Fathum763love u ❤️😋❤️❤️❤️
Mashaal asant sana kwasimurinzi 157❤❤
Asanteee kwa kusikiliza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 sehemu ya pili tumalizananenayo leo sasaa eti
Mi sijui wamwisho😂😂😂❤❤❤
Kumbe kaka Lumbas ana x 🤣🤣🤣🤣 nikadhan n mm kumbe na ww dah
Ndioooo😂😂😂😂😂 weweee acha tu, jaman jaman jaman jaman, yaninyoosha yale mahusiano 😂😂😂 yalinipiga😂😂😂😂😂😂😂 mimi wa kushindwa kulala???😂😂😂😂 mim kweli wa kushindwa kula😂😂😂 aaaah yalinpata aiseee😂😂😂
Pole kaka dah mm nikadhan utakuwa maridadi sana kumbe bana mapenz hayana fundi 🤣🤣🤣🤣
@@HawaSadick-wt5ob Hawa karibu nikupe mahaba usahau maumivu yootee!🥰🥰😋😋❤️❤️❤️
Mporipori kama kaka Lucas kaumizwa unadhani mm nitakuamini
@@HawaSadick-wt5obtunatofautiana Hawa kipenzi😊
Tuko poa hof kwako
🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Jamani huyo mama mzur sana ingekuw mama angu angenitimuw usiku yuwo
Mamaaake Esma eeeh😅😅😅 ila shangazo ndo nuksi😂😂😂
Asent Lucas kwa simulizi zuri ❤❤🎉🎉
Kwa kweli sio rahisi ila nishaga ji Ahidi kama Sinto wahukumu Watu wote kwa kosa la mwengine😊😊😊
Kipande ndo icho kimoja tu
Hapana, cha pili kinaisha leo😊😊
Naombeni like jamani
Hadi Comment nimekupa Vero😊😊🎉🎉
Shukuran Lucas
bigup
🎉🎉🎉🎉 asnt
Kivuruge Nailat😅😅😅... unastahili tuzo ya shabiki bora
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 😅😅😅😅😅😅😅 kwa kwel tunzo nipate tu
Very stor so much ❤❤
Many many thanks😇😇🥰
Asante sana bro❤
Karibu tena
😂😂😂😂 nimecheka kwa sauti,sukari robo kilo kwa wiki 2 chaa 😂😂😂
Ila lucas eti simuliz ya mwaka jmn 😂😂😂😂😂 hii ndo ipate tunzo kweli kaka luca
Simulizi tamu Sana jmn❤🎉
Ilimrad naskiliza saut lucas lumbas pia naomba like zenu
🌹🌹
Sasa Mr,Lucas mbona hukutumalizia simulizi yetu ya doctor wa saratani ya matiti?
Kweli kaka Lucas tunazubiri sana jamani doctor wa saratani part 2
Tunaisubiri kwa amu sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🤣🤣Lucas hiyo sauti ya Linda inaniacha hoi🥰🥰
Hakika hata mm nina x❤❤❤
Nicheke mie
Saaafi saaana😂😂😂😂 bora kumbe tupo wengi tuliopigwa na kitu kizto😂😂😂
❤❤
😮Ila atapona tyu ju ni risasi ya mkono
Haaaaa,Lucas
Huyu aunt wa Frederick ana jambo gani na familia ya akina Esma,mh,ngoja tuone
Asante sana
Ya mwaka hino
🤣🤣mama mtu nae umbea unamla
Jamani jamani jamani
Jaman jaman jaman jaman jaaaamani!!!
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣eti hamisi anareta sukari robo
Na anaona anatumia pesa nyingi sana kununua sukari robo😂😂😂😂
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI🤣🤣Yani nilicheka hamisi alivokuwa anamuita esma sinderelaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Mtu aliependa kam fedric, ogopa kuwa nae, any time akiludi Linda kumlilia anamsamehe,,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 amisiiii
Linda ako kipesa hata mwezake akaiba juu yake lkn hakumfuataa mahabusu huyu aunt hamtaki Mema mwanae hadi kumuekea dawa alale nayy mmmmm. Maramimba hakuna haya Linda katuma vijana wakamuue fred lkn kwaimani hatakufaa nawataoana nimilima mitihani tuuu huyu Linda ataendaa jela hata huyu aunt hafai
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😭😭🤔
Pole Martha😢
Yes but mm sitamani kamwe
😢😢😊
Lucas utatoa lin y Norah
Alhamc mamaaa😊😊😊
Mapenzi shikamoo
Kwa niaba yake... Marahabaaa😂😂😂😂
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 😄😄😄
Mwamba Hamis bahili 😂😂😂
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 vipi
Sauti ya Linda inanikera
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤
bigup
❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉