Asante dr,nakumbuka mama yangu alikuwa anaumwa sana alilogwa uchawi mbaya tulimleta kwako hawez hata kutembea,ulimsaidia free yaan hukutuchaji sent hata moja na mpak mama yang akapona hakika ww n Dr wa kweri na mfano wa kusaidia wanadamu hata wale wasiyojiweza ...Allah akuongoze ktk kila la kheri Siwez kukusahau n wema hauozi daima Mw Mungu awe nawe
Mimi namuota sana mama na ongea nae kwenye ndoto alishafariki anniambia kuwa ajafa nilipita nae kwenye kaburi lake nikamwambia mama kaburi lako ndoo ilo mbona unasema ujafa wakati umesha zikwa mama alibijibu kuwa hilo kaburi silake.najiuliza adi sasa alisha nijia kwenye ndoto zaidi ya mara mbili anasema ajafa mimi sikupata mahati yakumzika mama yangu nilirudi nyimbani nikakuta amesha zikwa😭😭
Asalam aleykum warahamatulahtaala wabarakatu, sheikh mimi nimeota napandisha mlima lakini napishana na ng'ombe wakubwa sana mimi napanda wao wanashuka ndoto hii nimeota mara mbili kwa siku tofauti
Shehk mimi nimeota nimepewa maji kwenye giras nikayanywa lakini sikumeza yote maana yalikuwa na raza ambayo sio nzur nikajifanya nimemaliza ila nimeenda kuyamwaga
Hapo katika kumtwa mtu msukule pana ukakasi kidogo aisee, kwasababu awali umesema mlengwa ana nyonywa roho yake pia kisha mtu uanza kuumwa kisha na kufa alafu ukasema watu watakwenda kuzika kitu kingine nasi mtu pia ukasema yule aliye mtwa roho kisha uwenda kabulini na kutoa maiti , Sasa je ataitoaje maiti chini ya ardhi wakati umekwishasema mahala pale pa Kabuli akuzikwa mtu bali awali wamezika kitu kingine? so masimuliz hayo kwa mtu makini ata fikiri moja kwa moja umedanganya.. so kwa mimi nimesikiliza masimuliz mengi sana kwa watu tofauti tofauti wakisimulia mambo ya mtu kutwaliwa msukule naona wewe hupo tofauti sana na hao nilio pata kuwa sikia. Asante 🙏🏾
Asante dr,nakumbuka mama yangu alikuwa anaumwa sana alilogwa uchawi mbaya tulimleta kwako hawez hata kutembea,ulimsaidia free yaan hukutuchaji sent hata moja na mpak mama yang akapona hakika ww n Dr wa kweri na mfano wa kusaidia wanadamu hata wale wasiyojiweza ...Allah akuongoze ktk kila la kheri Siwez kukusahau n wema hauozi daima Mw Mungu awe nawe
Mimi namuota sana mama na ongea nae kwenye ndoto alishafariki anniambia kuwa ajafa nilipita nae kwenye kaburi lake nikamwambia mama kaburi lako ndoo ilo mbona unasema ujafa wakati umesha zikwa mama alibijibu kuwa hilo kaburi silake.najiuliza adi sasa alisha nijia kwenye ndoto zaidi ya mara mbili anasema ajafa mimi sikupata mahati yakumzika mama yangu nilirudi nyimbani nikakuta amesha zikwa😭😭
Asalam aleykum warahamatulahtaala wabarakatu, sheikh mimi nimeota napandisha mlima lakini napishana na ng'ombe wakubwa sana mimi napanda wao wanashuka ndoto hii nimeota mara mbili kwa siku tofauti
Asalaam aleykhum ,
Ramadhan Kareem .vipi mbona sikusikii
Kweli kumuona marehem kweli mimi mtu alinitelekeza miaka mingi sasa hivi karejea
Asalaam aleykum mbona ukipigiwa hupokei simu ama huduma zako unatoa kwa kusikiliza tuu you tube na sio ofisin?
ukipiga ukiona sijapokea nitakuwa itakupigia
nipigie kwa namba hii 0654017777
Shehk mimi nimeota nimepewa maji kwenye giras nikayanywa lakini sikumeza yote maana yalikuwa na raza ambayo sio nzur nikajifanya nimemaliza ila nimeenda kuyamwaga
Samahan naomba namba yako
Naamini kuwa Raisi Magufuli hajafa bali amechukuliwa msukule, Je, uanaweza mrudisha?
Toa vipindi
MAARIM NASHIDA SANA KILA NIKIPIGA OFISINI KWAKO NAAMBIWA UKO BIZE NIFANYAJE!
nipigie katika namba hii 0654017777 au 0754 672464
@@nyotazenu3748 whatsapp
Shekhe mm naomba unifafanunulie jina langu hadija ila nimezoe kuandika KHADIJA ss hapo nyota yng ni ipi na herufi yangu ya mwanzo ni k au h
😂😂
@@abuuakhy4001 😂😂😂
Je msukule anakufa?
Mimi nimeota nasalimiawa na kiongozi mkubwa serekali akaniita jina wakati sijamwambia jina langu
ME NLIOTA NIKIWA UCHI LAKINI NIKASITIRIWA NA RAFIKI JE IKO JE?
Baba ak anakuona.. hujakoma kudhulum wat utakuf umekaa
Alikudhulumu kumbe
Sheikh ukiota umepewa pesa nyingi usingizini maana yake nini.
Ufukara
Yusufu ni nyota gani na je yusufu na KHADIJA wakioana wanaendana kinyota
Tapeli uyo amenirudi hela yangu na Pete zake fake
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 what 🙄🙄🙄
Km wew hukufanikia kupitia kwķe bc wengine hufanikiwa kupitia kwk
inshaalah allah atakulipua kwa maneno yako
Namba whatsap
HUN LOLOTE UJANJ UJANJ T
ahsante kwa matusi yako hujalazimishwa kukubali wala kuyafuata yanayosemwa humu
Hapo katika kumtwa mtu msukule pana ukakasi kidogo aisee, kwasababu awali umesema mlengwa ana nyonywa roho yake pia kisha mtu uanza kuumwa kisha na kufa alafu ukasema watu watakwenda kuzika kitu kingine nasi mtu pia ukasema yule aliye mtwa roho kisha uwenda kabulini na kutoa maiti , Sasa je ataitoaje maiti chini ya ardhi wakati umekwishasema mahala pale pa Kabuli akuzikwa mtu bali awali wamezika kitu kingine? so masimuliz hayo kwa mtu makini ata fikiri moja kwa moja umedanganya.. so kwa mimi nimesikiliza masimuliz mengi sana kwa watu tofauti tofauti wakisimulia mambo ya mtu kutwaliwa msukule naona wewe hupo tofauti sana na hao nilio pata kuwa sikia.
Asante 🙏🏾