NACHA_DARASA HURU | Spoken Word Poetry
Вставка
- Опубліковано 9 сер 2020
- #Nacha #SpokenWordPoetry #DarasaHuru
Spoken Word Poetry DARASA HURU
Written & Performed By NACHA
Produced By GHOST KIFAA
Directed By VIPPER
Watch More Videos
Pombe• • NACHA - POMBE (Officia...
Barua• • NACHA_BARUA (Official ...
Hodi• • NACHA _ HODI (Official...
My God▪ • NACHA_MY GOD (Official...
Grow Up▪ • NACHA - Grow Up (Offic...
Mdahalo ▪ • NACHA - Mdahalo (Offic...
Hadithi▪ • Nacha - Hadithi (offic...
Aah Wapi▪ • Nacha - Aah Wapi [Offi...
Mnachanganya▪ • Nacha - Mnachanganya (...
Subiri Kwanza▪ • NACHA x STAMINA - SUBI...
Boss Mpya▪ • Nacha Ft Gnako // Boss...
Mnawashwa▪ • Nacha MNAWASHWA Offici...
Follow Nacha on socials :
/ nacha_ousam
/ nacha_ousam
For Booking Contact: nachaousam17@gmail.com
ASANTENI WOTE KWA UPENDO WENU NA SAPOTI ZENU..TUKO PAMOJA...SAMBAZA LINK KWA WENGINE... 🙏🙏🙏🙏
Am look 2 u nacha maana mzki wako unanifanya niwe najiamin nikismama popote nikiwa naspeech Kwan napenda saana kutumia maneno ya nyimbo zako,,,, fanya weka namba zako hapo niwe naziona WhatsApp
Mzee heshima kwako sana kwa sababu you deserve it.
Ongeza bidii, Uko vzur kijana
Nyasubi ndani ya mbanyu 💪
Sanaaa
we should protect nacha for any cost, he's special
Darockboi Mwamba very true
True
🙏🙏🙏🙏
Uishi miaka mingi tuzidi pata madini
No doubt broo
Tatizo sio ww tatizo ni hii nchi inampenda anaeimba nyimbo za karantini kuliko ww unaeelimisha hadhira
Salute kama zoote mzee baba #Nacha👉🔥🔥🙏🙏❤️
Nacha bro ujawahi kukosea na unanipa ninachokitaka kwa mda unajua nacha unajua bro unajua
Nakukubali mwanaa Tokea Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪Gonga like Kama waikubali
🙏🙏🙏🙏
Uyu dogo n mwandishi aisee
Aliye lirudia hili #darasahuru mara nyingi na akatamani lisiishe tujuane
👇👇👇
Tupooo ucwaz
🙏🙏🙏🙏
Darasa huru iko vzr natamani isi ishe
@@davidrweyemam8727 huyu jamaa anajuwa sana
@@lazaromuganyizi330 fundi atari sana
"usichokijua hata role model wako kweny social networks ana FAKE" 🔥🔥🔥
Pokea salamu kutoka Kenya, langu jina liko hapo. Kwa kweli nimetokwa na machozi nilipo sikia wimbo huu. Asante sana kwa kutufunza. Long Live brother. Peace.
Bro wasipokupa heshima hawana heshima"
Unaweza 👏✊
🙏🙏🙏🙏
Nacha ujue mziki wako ni level za kusikilizwa kwenye lecture rooms na watu wakiuelewa wanatunukiwa degree ya intellectual capacity.
Hizi Team za Kipumbavu ndo zinafanya talent kama hizi Zisionekana ila One day Nacha utaeleweka Tuu endelea kukazaaa hivo hivo
Wataelewa
@Nacha ; MUNGU azidi kukupa zaidi ya unacho muomba; bleesup brother
Huna kazi mbovu kaka ,,NAKUBAL mziki wako move on nacha,💪
Sure kka
ua-cam.com/play/PL6imDfj8485VPS2ZhUVi44qHrVh1M6wA5.html kusikiliza album
✌️ Big Up Bro..! UJumbe Umefika..!
Like za Nacha 👇👇👇
Worry off
🙏🙏🙏🙏
@@Nacha_ousam u did bro appreciate San unajua mpka kero
Ila mshkaji wang ww nomaaaah
🙏🙏🙏🙏
Am watching from South Africa Cape town Wayneberg Nacha iz best Rapper from Tanzanian
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hii ni zaidi ya THREE SUITORS ONE HUSBAND. ya Oyono Mbia Gonga like kwa Nacha Ousam
Hujawahi niangusha Shabiki yako Namba moja kutoka kenya 🇰🇪 naombeni likes ndugu zangu Wa tz
🙏🙏🙏🙏
@@Nacha_ousambig up nacha the boy
Nacha cjawai kukuping mwanang
🙏🙏🙏🙏
Nanukuu maneno ya Byser "Kuna dogo anaitwa Nacha yule dogo Genious magoma yake anashutia mikoani ila tunakutana nayo mjini" You deserve bro keep pushing #NyasubiNdaniYaMbanyu World wide
🙏🙏🙏🙏
Uyu n zaid ya atar
Noma sana uyu jamaa
_chama la wanatupia like kwanza ndio tuwende sawa kwa mkali wenu nacha darasa Uhuru_
Tunaishinayoooooooooooo
🙏🙏🙏🙏
Feelings, content, activism, inspiration and awareness in one fantastic song big up bro.
🙏🙏🙏🙏
Tatizo ni kwamba hatuelewi, tunakalili tyu #darasahuru
🙏🙏🙏🙏
Una akili ya kawaida ndioma hueli
Nyimbo yako haichoshi maskion kwangu naipenda sana kaka mungu akupe maisha marefu ili utoe ngoma kal zaidi hakika wewe ni genius unatumia lugha ya kisanaa ,God bless your life brother
Wapumbavu wachache hawawezi kumuelewa huyu mwamba yani ni bonge la Talented ......Nyasubi ndani ya Mbanyuuu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Likes za PLUTO AFRICA TV #NACHA
Nacha ewe ni motoo
I love the way u r proud of Africa
🙏🙏🙏🙏
@@Nacha_ousam great man,
From 254 nitakutafuta kaka
We n shida imebid niwe nafatilia tu. Vitu vyako dah we n balaaa nacha
Dah nomaaaaaa
Kama unamkubali nacha gonga like
Yooo superdope work... Imeweza tu Sana. Mzalendo halisi wa Africa... Representing Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wallah nacha u are the best sitaacha kuskiliza nyimbo zako kwanzia sasa ni wasaniiii wachache sana nd wanaoweza kufanya ivo waliobaki wengi ni ubishoo na zogo t hawana cha mana kimoja wanachokiimba...(si hatuhitaji fedha nyiiingi ndo tufanikiwe, hao sio sisi tunahitaji fedha kidogo tu ili tuzashalishe tufanikie na wengine wafanikiwe kupitia sisi ).........#NACHA YOU ARE THE BEST..🙌🙌
You are special bro.Najivunia na wewe
Love the rhythm and flow of this, makes me feel at home though it's been a long time since I lived in East Africa. AS one poet to another, keep up the good work.
Daaaah! Kama unaamini huyu jamaa hajawahi kisea like zenu jaman.
🙏🙏🙏🙏
Ujumbe umefika bro..... Iko siku watakuelewa.
Daah nomaa sanaa
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante mungu kwakunipa uhai ambao silipii ushuru nisipo kushukulu nizahili nakukufuru ninaogea nawanao nisikiliza duuh upo poaah sana kakak nacha ousam
🙏🙏🙏🙏
Nacha nakukubali sana bro wewe ni msanii Bora sijaona kama wewe from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🙏🙏🙏🙏🙏
wenye akili ya kawaida hawaelewi ila wenye akili y Ziada tunakuelewa bro keep it up darasa huru kila nkikusikiliza kuna kitu npta
🙏🙏🙏🙏
Hongera nacha kwa ujumbe wako
Nacha ni kama Nacha✊✊
Nacha I love you for free... The lyrics on point... the true life we are living... Manze big up
Mob love from KENYA... I love this guy. Speaks the truth..
Hii ngoma kila siku lazima ni isikilize na kuiangalia kweli kaka kazi inaonekana inagusa nyoyo zetu
Noma na nusuuu
Anytime am about to give up this song gives me extra energy to keep pushing, thankyou nacha am your number one fan from kenya
😂😂😂co poah...."Endeleen kukazana tu kumeza p2 kwa lengo la kuzuia mimba"..
Bro umetishaa✊
ua-cam.com/play/PL6imDfj8485VPS2ZhUVi44qHrVh1M6wA5.html
🙏🙏🙏🙏
Wap nacha 🙏🏽
Nakuelewa Sana Boe. Qarii Sanaa
🤣🤣🤣 hii nacha umeua nakukubal mkuu acha like km unamuelewa nacha
🙏🙏🙏🙏
Unstoppable nacha 💪💪💪
Here we go
Let's go finish ma man
Talent boy Nacha Nyasubi ndani ya mbanyo
🙏🙏🙏
Nacha wewe ni zaid ya darasa. Nakutakia kaz njema na maisha mema pia.
Wadau leo naomba Subscribers 2 pekee. Sijawahi pitisha 2😭😭
Mwenye muziki wake is back 🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏
Nyasubi ndani ya Mbanyu
Huwa unajuwa...
Darasa huru✊✊✊
🙏🙏🙏🙏
Respect bro nice song #darasa_huru 🔥🔥
nyasubi ktk mashabik wako no moja ni Mimi nakufatilia nakuelewa sana unajua kupanga mashair yanaeleweka tena sana kwa wale wanaojua hip hop big up nacha # darasa huru.
Namkubali mtoto wa nyasubi
🙏🙏🙏🙏
Gonga like kama unamkubali Nacha
🙏🙏🙏🙏
"Bado hatujafika, lakini pia bado hatujaacha kwenda" ✊✊✊✊
🙏🙏🙏🙏
👏
Your so genius nacha
Ipo pw san mzz
Keeping the Good Music Alive
Truu
🙏🙏🙏🙏
This is a rare talent from Tanzania,,,kudos bro 👌🏽👌🏽👌🏽
Hahahaaaaa daaaah noma San kaka
Nacha mashairi unapata wapi daaah nakubal san
Daah jamaa Mungu ambariki kwenye kazi take aisee
Ili Mungu amfikishe yerusalem.
🙏🙏🙏🙏
Huyu Mtu Hatari...
🙏🙏🙏🙏
Noma kaka nakuelewa
Nachaa...team...yetuu
U never dissapoint bro... Keep on giving us good content it wl come a time they wl recognize you coz that time they wl be real💪💪💪
Hunaga Kazi mbovu Kaka tupo pamoja
ua-cam.com/play/PL6imDfj8485VPS2ZhUVi44qHrVh1M6wA5.html
🙏🙏🙏🙏
As a Kenyan this is the truth and its bitter but he spoke the mind of 53 million Kenyans
Hizi ndo nyimbo Sasa inagusa jamii
Mzee maneno unatoaga wap natamani kuwa no yako ya whastap tuenjoy musc unaweza
0715339902 for good music
ua-cam.com/play/PL6imDfj8485VPS2ZhUVi44qHrVh1M6wA5.html kusikiliza album
🙏🙏🙏🙏
@@Nacha_ousam genious🙌🙌 nachan nguvu kidogo maarifa mingi
naomba nichek bro 0744140340
nacha kama hutojali save no yangu tukutane WhatsApp 0676388927
Kubali nyasubi
Kwel sindano inazama lakin meli inaelea
Bado naiskiliza 2024 ngoma kali
Darasa Huru inaujumbe mzito, isikilize tena uelewe zaidi.
*Unamtumia nauli mpenzi uliyekutana naye FaceBook mwisho wa siku unalia*
😂😂😂😂😂 Mabaharia tumeguswa APA tunapigwa ila hatukomi
😂😂😂kbsa kka
🙏🙏🙏🙏
Kabisaa
Nacha king fan number one kutoka kenya
Muziki ni sanaa ila ni sanaa bora sana ikifanywa na mwanamuziki kama Nacha
Yan sijui kwanini siwezi kuangalia wimbo wa nacha mara moja.kila wimbo najifunza kitu kipya unastahiki hongera kaka. Upo tifauti sana.sitaki kueka heshima bar na akina tinaa bali mungu anijalie hekima napete kwenda makka na madina
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Daah aiseh! Bro hv haya maidies uliyatowaga wapi, kuja kinyumbani zaidi yaan unavokuw hadi raha hakuna cha mitoko wala nn duuh big up sana mwamba umetisha sana 🤜🤛
VYAKULA HASIRIA
Brain kubwa Nacha 👍Hizi nyimbo ilibidi ndo zipewe kipaumbele any time kwa kweli kaumiza kichwa kweli wanaotoa madini kama haya niwachache sapoti ziwe kubwa juu yao Nacha Mungu akubariki sana Mjomba🙏
Nyasubi ndani ya MBANYU
Nakubal sana nyansubi FC
Dadeq dogo ww fundi💪
Kizaz kizur cha roma big up xn wabongo wanapend uwadanganye ndio furah yao
Nime chelewa lakn nimefika Nacha nakusoma bira kufunua kitabu nana kuelewa Asante 💪
Nacha uko vizuri sana kaka, Fikra zako juu ya Afrika yetu ni kubwa sana. Na hakuna anae weza kukuelewa ila tutafanikiwa kaka. Huu ni UKOMBOZI WA FIKRA juu ya Waafriko kujitoa kwenye minyororo ya kibepari Mungu wa Afrika akupe nguvu
Jamaa unagilia Sana yani ngoma zako darasa
am here again...kizuri chajiuza kibaya cha jitembeza hey nacha GOD bless u more bro
Nakukubali Sana nacha,napenda kusikiliza nyimbo zako,ujumbe unagusa Sana
#alwayz your @teacher...
Nakubaliii sana#mkubwa..
@we ni..MKALI...
🙏🙏🙏🙏
nacha me nakukubali sana. 🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
Sante kwa darasa huru bro nakubal xana ngoma zako serious kama zote iv ni fire
Naikubali sana hii ngoma pamoja sana kaka