Askofu Mteule Mwijage aelezea simu ya uteuzi/ Abainisha kauli mbiu yake/ "Naomba ushirikiano"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Askofu mteule Jovitus Mwijage katika makala maalum ya kuelezea historia ya maisha yake ikiwa ni sehemu ya pili ya makala hii, Sehemu ya kwanza ilikua ni kuzaliwa, Elimu na utume akiwa Padre. Na sasa anatuelezea alivyopokea simu ya Uteuzi wa Baba mtakatifu kupitia kwa Balozi wake nchini Tanzania Askofu Mkuu Angelo Accattino.
    Kutazama makala sehemu ya kwanza gusa link • Mfahamu Askofu Mteule ...
    www.radiombiu.co.tz
    #RmSautiYaFaraja

КОМЕНТАРІ • 3

  • @jovitusrugahenda7139
    @jovitusrugahenda7139 8 місяців тому +2

    Mungu azidi kukubariki Askofu Mteule Fr.Jovitus ili ufanye kazi yake kwa mafanikio makubwa sana

  • @raymondlaurent9403
    @raymondlaurent9403 8 місяців тому +2

    Sala, Uaminifu na Upendo
    Tunakutakia utume mwema Baba Askofu wetu mteule❤❤❤

  • @greysonmatogo4662
    @greysonmatogo4662 8 місяців тому +1

    Ekigambo kye nakikanjula nikinoga, mwaihuka twaihuka bukoba....baba mwijage mtu makini sana.