Hbd mtumishi,, umeniheshimisha sana kwa neno lako ,umeyabadili na kutageuza maisha yangu, mungu pekee aikumbuke sadaka hii njema mkono wake usitupungukie wakati wote 🙏
Happiest birthday, man of God. Mimi ni msikilizaji wa mahubiri yako kutoka Kitale,.Kenya. Naomba Mungu akupe neema yake ili undelete kutujenga katika imani.❤
Waumini wenzangu tujitahidi kuyasikiliza mafundisho ya huyu mchungaji.Anatufundisha sana bila mafuta ya upako na bila kutoa mamilion ,bure kabisa.Ubarikiwe ba b a🎉
Aise ujumbe mkali mzuri
Happy birthday to you Mungu akutunze umpendeze MUNGU NA WANADAMU pia mchungaji kimaro ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hbd mtumishi,, umeniheshimisha sana kwa neno lako ,umeyabadili na kutageuza maisha yangu, mungu pekee aikumbuke sadaka hii njema mkono wake usitupungukie wakati wote 🙏
Asante Kwa neno mtumishi wa Mungu
Baba ubarikiwe sana,hili somo linanihusu mimi.
Happy Belated Birthday Pastor Eliona,naomba MUNGU aendelee kukupa NEEMA YA KUFUNDISHA NA KUHUBIRI.Mimi nabarikiwa na kujifunza vingi nikiwa KENYA.
Heri siku yako yakuzaliwa Baba mchungaji mungu akupe maisha marefu tuendelee kuona uwepo wako na kutulisha Neno.❤🎉❤
Mungu akupe miaka mingi baba ya baraka na aman uzid kutufungua
Happy birthyday baba angu wa kiroho Mungu akutunze mtumishi 🎉
Happy birthday 🎂 baba umekuwa wa msaada kwa maisha yangu kupitia mafundisho yako
Mungu akupe maisha marefu mzee wetu nakukubari sana
Happy Belated birthday Mchungaji wangu,tunakupenda sanaa,Mungu akupe miaka ya heri
HBD baba Mchungaji Mungu akutunze uwaone wajukuu na vitukuu
Asante Mungu kwa maisha ya huyu mchungaji,muinue asikilizwe na dunia na haya maneno yawe msaada kwa ulimwengu
Asante Mungu Kwa Muchungaji haya maneno yakawe faraja Kwa wanaoonewa maofisini.
Happy Birthday Baba Mchungaji,Mungu akuhifadhi na kukulinda kwaajili ya wengi.❤❤❤
Happiest birthday,
man of God.
Mimi ni msikilizaji wa mahubiri yako kutoka Kitale,.Kenya.
Naomba Mungu akupe neema yake ili undelete kutujenga katika imani.❤
Happy birthday mtumishi wa MUNGU, barikiwa mnooo
Smart brains.
God bless you Pastor
Happy birthday baba mchungaji Mungu akutunze
Waumini wenzangu tujitahidi kuyasikiliza mafundisho ya huyu mchungaji.Anatufundisha sana bila mafuta ya upako na bila kutoa mamilion ,bure kabisa.Ubarikiwe ba b a🎉
Happy brithday baba mchungaji mungu akupe maisha malefu
Happy birthay baba wa Mataifa mengii. MUNGU Akuongezee neema
Happy birthday Man of the most high God 🙏 blessings and many more years 🙏
Happy birthday to you Pastor 🎉🎉🎉🎉🎉
Happy birthday Pastor, Almighty God bless you.
Happy birthday Baba Dr. Eliona Kimaro. You are a blessing to many.
Heri ya sku yako ya kuzaliwa Baba Mchungaji,Mungu wetu aendelee kukutunza na kukuongezea sku nyingi za kuishi
Kheri ya siku ya kuzaliwa mchungaji kimaro.🎉🎉
Happy Birthday Baba Mchungaji.
Happy birthday 🎉🎉
Happy birthday Baba Mchungaji
Kheri ya kuzaliwa mchungaji wetu kimaro
Naomba namba yako mchungaji kimaro
Endelea kunifinyanga nani nitasinama Tena
Happy birthday to you pastor 🎉🎉🎉🎉❤