Maabara za asili za maji. Chifu wa Wasafwa asimulia Nyoka, Mijusi na majani yalivyotumika.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • Chifu Loketo Mwashinga, Chifu wa Kabila la wasafwa mkoani Mbeya anasimulia jinsi maabara za asili zilivyotumika kupima ubora wa maji.

КОМЕНТАРІ • 4