majiDigital Tanzania
majiDigital Tanzania
  • 986
  • 128 940

Відео

MajiNiUhai: Rais Samia na uwekezaji katika maji eneo la Kwala
MajiNiUhai: Rais Samia na uwekezaji katika maji eneo la Kwala
MajiNiUhai: Masuguru, Tunduru, Rais Samia aondosha 'mdundiko' katika huduma ya maji
Переглядів 2212 годин тому
MajiNiUhai: Masuguru, Tunduru, Rais Samia aondosha 'mdundiko' katika huduma ya maji
MajiNiUhai: Tunduru, huduma ya maji kwa kutumia vyanzo vya asili.
Переглядів 5319 годин тому
MajiNiUhai: Tunduru, huduma ya maji kwa kutumia vyanzo vya asili.
MajiNiUhai, Tunduru, Wananchi waipa heko Awamu ya Sita kwa mradi wa maji wa Darajambili
Переглядів 57День тому
MajiNiUhai, Tunduru, Wananchi waipa heko Awamu ya Sita kwa mradi wa maji wa Darajambili
Mradi wa Maji Arusha wawavutia Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Переглядів 6914 днів тому
Kamati ya Bajeti kutoka Baraza la Wawakilishi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imekamilisha ziara yake mkoani Arusha na kutoa pongezi kwa Wizara ya Maji kwa kukamilisha mradi mkubwa wa Uboreshaji wa Huduma ya Maji jijini Arusha. Ziara hiyo ya siku mbili imetumika kutembelea mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 520 ambapo kamati imejionea miundombinu ya mradi inayohusisha mabwawa makubwa ya...
MajiNiUhai, Tunduru; Daraja mbili sasa wanapata huduma ya uhakika ya majisafi na salama
Переглядів 1814 днів тому
MajiNiUhai, Tunduru; Daraja mbili sasa wanapata huduma ya uhakika ya majisafi na salama
MajiNiUhai: "Rais Samia anajicho katika huduma ya majisafi kwa wananchi"
Переглядів 5714 днів тому
MajiNiUhai: "Rais Samia anajicho katika huduma ya majisafi kwa wananchi"
MajiNiUhai: Manda waongea na wapongeza utekelezaji wa miradi ya maji
Переглядів 3121 день тому
MajiNiUhai: Manda waongea na wapongeza utekelezaji wa miradi ya maji
MajiNiUhai: Ludewa, mitambo ya kisasa ya kuchimba visima vya maji yaondosha adha kwa wananchi.
Переглядів 7521 день тому
MajiNiUhai: Ludewa, mitambo ya kisasa ya kuchimba visima vya maji yaondosha adha kwa wananchi.
USAID Majisafi washirikiana na Wizara ya Maji na kuwekeza zaidi ya bilioni 50 katika maji
Переглядів 5728 днів тому
USAID Majisafi washirikiana na Wizara ya Maji na kuwekeza zaidi ya bilioni 50 katika maji
​Wataalam wa Mabwawa kunolewa zaidi
Переглядів 17728 днів тому
Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri, amesema Wizara ya Maji imeandaa mafunzo ya siku mbili katika kuhakikisha usalama wa mabwawa ya maji na tope sumu unaimarishwa. Amesema mafunzo hayo yameandaliwa kwa kushirikiana na TanzaniabChamber of Mines na yatafanyika mkoani Mwanza . Amesema hayo katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Maji uliopo Mtumba Jijini Dodoma. Ameongeza kuwa mafunz...
MajiNiUhai:Ludewa, mitambo ya kisasa ya uchimbaji maji inavyofanikisha huduma kwa wananchi
Переглядів 30728 днів тому
MajiNiUhai:Ludewa, mitambo ya kisasa ya uchimbaji maji inavyofanikisha huduma kwa wananchi
Geita, Nyarugusu sasa mambo safii huduma ya majisafi kwa uwekezaji mkubwa wa Serikali kwa wananchi
Переглядів 12328 днів тому
Geita, Nyarugusu sasa mambo safii huduma ya majisafi kwa uwekezaji mkubwa wa Serikali kwa wananchi
#MajiNiUhai Iwela Ludewa Inavyonufaika na serikali ya awamu ya sita sekta ya maji
Переглядів 35Місяць тому
#MajiNiUhai Iwela Ludewa Inavyonufaika na serikali ya awamu ya sita sekta ya maji
#MajiNiUhai Iwela Ludewa wasema asante kwa huduma ya maji
Переглядів 191Місяць тому
#MajiNiUhai Iwela Ludewa wasema asante kwa huduma ya maji
MajiNiUhai: huduma ya maji kwa wananchi yaimarika Iwela
Переглядів 29Місяць тому
MajiNiUhai: huduma ya maji kwa wananchi yaimarika Iwela
MajiNiUhai: huduma ya maji yawafikia Iwela
Переглядів 34Місяць тому
MajiNiUhai: huduma ya maji yawafikia Iwela
Matokeo ya mradi wa Same Mwanga, Maji Mwanga sasa saa 24
Переглядів 239Місяць тому
Matokeo ya mradi wa Same Mwanga, Maji Mwanga sasa saa 24
Utunzaji wa vidakio na maendeleo ya wananchi @nipashedigital
Переглядів 35Місяць тому
Utunzaji wa vidakio na maendeleo ya wananchi @nipashedigital
MajiNiUhai:Ludewa, mabadilko makubwa katika Sekta ya Maji III
Переглядів 29Місяць тому
MajiNiUhai:Ludewa, mabadilko makubwa katika Sekta ya Maji III
#Gowiththeflow v8 Bank requirements
Переглядів 12Місяць тому
#Gowiththeflow v8 Bank requirements
#Gowiththeflow v7 Data analysis with project & loan
Переглядів 20Місяць тому
#Gowiththeflow v7 Data analysis with project & loan
#Gowiththeflow v6 Data entry with project & loan
Переглядів 19Місяць тому
#Gowiththeflow v6 Data entry with project & loan
#Gowiththeflow v5 Data analysis without project
Переглядів 9Місяць тому
#Gowiththeflow v5 Data analysis without project
#Gowiththeflow v4 Data entry without project
Переглядів 11Місяць тому
#Gowiththeflow v4 Data entry without project
#Gowiththeflow v3 Getting started
Переглядів 13Місяць тому
#Gowiththeflow v3 Getting started
#Gowiththeflow v2 Cash Flow modelling tool
Переглядів 15Місяць тому
#Gowiththeflow v2 Cash Flow modelling tool
#Gowiththeflow v1 Cash Flow modelling for WSSAs
Переглядів 25Місяць тому
#Gowiththeflow v1 Cash Flow modelling for WSSAs
MajiNiUhai: Ludewa, viongozi wasaka maji kuwafikia wananchi
Переглядів 19Місяць тому
MajiNiUhai: Ludewa, viongozi wasaka maji kuwafikia wananchi

КОМЕНТАРІ

  • @michaelsamson4784
    @michaelsamson4784 11 днів тому

    Sorry naweza kujua maabara hii Iko mwanza sehem Gani? Nahitaji kuchimba kisima na maji yatakayo patikana yapimwe

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 29 днів тому

    Mzuri sana kweli ❤️‍🩹💖💖🙏👍

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 Місяць тому

    maneno mengi kazi ndoto.... Dar imekuwa chafu, maji taka kile eneo. jiji baya

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 2 місяці тому

    Acha Uppuuuzi Mzee, Niko Mwanza, Lakini hamna maji Nyamagana baadhi ya Maeneo mengi.

  • @EmanuelChisna
    @EmanuelChisna 4 місяці тому

    HONGERA SANA MHESHIMIWA WAZIRI WA MAJI KWA HOTUBA NZURI SANA .

  • @chonjohousesofdrinks
    @chonjohousesofdrinks 4 місяці тому

    Mweliw

  • @eliudkwesigabo9321
    @eliudkwesigabo9321 5 місяців тому

    Duwasa juu wizara ya maji safiii

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 6 місяців тому

    Tanzania Darsalam mzuri Sana kweli 💖

  • @jafarikideghesho6509
    @jafarikideghesho6509 6 місяців тому

    Congrats Dr Karia and the entire Team of Water Institute

  • @user-wm7bw1sr4u
    @user-wm7bw1sr4u 7 місяців тому

    Baada ya ufunguzi mgao ukaanza na sasa hayatoki kabisa.

  • @alicechoaji1000
    @alicechoaji1000 8 місяців тому

    Asante sana Mha.Rais wetu hakika kila sekta umeupiga mwingi ,kwa mwaka 2024:Mungu akubariki tuna lmani nawe kuelekea 2025 inshallah alla ataendelea kutenda kwako na nchi yetu

  • @user-oj1gx7uu2j
    @user-oj1gx7uu2j 9 місяців тому

    Tanzania mnafahamu umuhimu wa udugu Jamani, hapa qwetu,,,we,, hata mafuriko qwetu yaonekana kitu ya kawaida.

  • @vediowkiritasi3163
    @vediowkiritasi3163 9 місяців тому

    Asante sana Viongozi wetu

  • @user-qw8pk6cb6c
    @user-qw8pk6cb6c 9 місяців тому

    Uyu mbona kama sio kiongozi ana maneno ya kiuni

  • @CharlesLutandula-y3c
    @CharlesLutandula-y3c 9 місяців тому

    Mama hongereni sana mnafanyakazi nzuri watendajiwenu wanawaangusha sukumandani iliwajifunze

  • @leobalige7069
    @leobalige7069 9 місяців тому

    Kakonko maji hakuna sasa

  • @leobalige7069
    @leobalige7069 9 місяців тому

    Mchezo huu upo sehemu nyingi hapa nchini. Fuatili sana mama utaona vitimbwi vya hawa DMs

  • @MACHUNGWA2
    @MACHUNGWA2 10 місяців тому

    Hongereni sana...Mahafali imekuwa na mafanikio sana. CHUO CHA MAJI MMEPIGA HATUA KUBWA Kitaaluma na Mazingira ya Kujifunzia

  • @bestonebukoli1012
    @bestonebukoli1012 10 місяців тому

    congratulations

  • @florencehaule4257
    @florencehaule4257 10 місяців тому

    Hongera sana Water Institute kwa Maendeleo haya ya Technology

  • @JacksonNdahani..
    @JacksonNdahani.. 10 місяців тому

    🎉🎉🎉

  • @winfridamnandi
    @winfridamnandi 10 місяців тому

    Wooow fanyakazi mh. Maryprisca

  • @tysonngeka6863
    @tysonngeka6863 11 місяців тому

    Mhe. Hii kero ya Maji Idweli ina zaidi ya miaka mitano mpaka leo, Pesa zishatoka lkn inavyo onekana zimepigwa, Mhe. Aweso tunaomba ufatilie hili swala, huu mradi ni tegemezi kubwa LA wananchi zaidi ya vijiji 4 vikubwa vinautegemea, vijiji vyenye shule tano za msingi, secondary 2, just imagine watu wote hao wanaishije, wataalamu Wanatupunguzia hoja kwa wananchi, kero yoyote ikiwa ni ya mda mrefu kwenye jamii kibinadamu inapunguza nguvu ya kuisemea serkali yako. Maana wanao teseka ni wananchi, ni sisi wenyewe, Mhe. Nakuamin naomba ufatilie huu mradi. By Tyson Ngeka Katibu mwenezi chama cha mapinduz kata ya Isongole, Mbeya wiraya Rungwe

  • @makejamaduhu7618
    @makejamaduhu7618 11 місяців тому

    Duuuu. Ila Kuna maisha baada ya hapo jamani.

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 11 місяців тому

    Nitakuweka lockup sasa hivi..😮

  • @yasiniswedi8835
    @yasiniswedi8835 11 місяців тому

    Hata mkiwawakali mkuuwanchi mpole kwahyonikazibule

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 11 місяців тому

    Waziri nenda na kijiji cha Matemanga huko Wilaya ya Tunduru.ukaone tabu ya maji,watu hawana maji,yakitoka mwezi mara 1 au mbili ni shida kweli Mhe.

  • @salmanmagwe222
    @salmanmagwe222 Рік тому

    Wafanyakazi wengi wa serikali hawajitambui na ni wavivu mno ni hadi wasukumwe kama muheshimiwa waziri anavyofanya. Mngewaajiri kwa miaka 5 halafu watathiminiwe upya ili atakayeshinda aongezewe tena

  • @raishahatibu7095
    @raishahatibu7095 Рік тому

    Mungu ni mwema kwa kuwapa maji ili watoto watumie muda mwingi wa kusoma, hongera kiula na staff yote ya mangaka, japo wetu wamemaliza ila wenzao wanaokuja watasoma kwa ufanisi

  • @user-oe2rb1lw7y
    @user-oe2rb1lw7y Рік тому

    Ila duuu bac bhana

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 Рік тому

    Kidole du

  • @alexmadinda323
    @alexmadinda323 Рік тому

    Nzuguni karibu mwaka watatu huu mabomba hayajawai kutoa maji, kila nyumba ina kisima cha mkono, jambo ambalo limekua ni hatari kwa watoto wetuu

  • @agustinokasindi4580
    @agustinokasindi4580 Рік тому

    Hongeren wizara kazi inaonekana

  • @agustinokasindi4580
    @agustinokasindi4580 Рік тому

    WIZARA YA MAJI IMEUPIGA MWINGI

  • @phillymagina3986
    @phillymagina3986 Рік тому

    Hongeren wizara kazi inaonekana

  • @henrydmunuo8989
    @henrydmunuo8989 Рік тому

    Fantastic. Hongera Buwassa, Hongera wizara ya maji.

  • @sundayijengo7292
    @sundayijengo7292 Рік тому

    Much congratulation for the hard work🤝

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 Рік тому

    Asate chifu

  • @peternjumbo8371
    @peternjumbo8371 Рік тому

    Mungu ndo Kila kitu bariki maji mbeya

  • @jumabahati6474
    @jumabahati6474 Рік тому

    Kashwasa hongereni kwa kazi nzuri 👍👍

  • @georgekaduga6204
    @georgekaduga6204 Рік тому

    Upo vizuri Mkuu ila kuna baadhi ya watendaji wanakuangusha...uwizi, ufisadi wa namna mbalimbali kupitia manunuzi, kufanya estimate kwenye miradi ya maji juu zaidi ya takiwa.

  • @stoppersan
    @stoppersan Рік тому

    🙏🏾🙏🏾💧🌱

  • @melkisedekkaijage2777
    @melkisedekkaijage2777 Рік тому

    Iyumbu iyumbu iyumbu mtaa wa Mwinyi mheshimiwa waziri tafadhali. Tumechoka kubeba vidumu kila siku kwenda kwa majirani kuomba maji

  • @simonkipondo1453
    @simonkipondo1453 2 роки тому

    Sio Kijiji kipya msomera ni Kijiji cha zamani semeni tuu nguvu ya serkali imepitiliza sana hapa msomera

  • @saliminimmari850
    @saliminimmari850 2 роки тому

    Hongereni sana Wizara ya maji Mungu awabariki sana

  • @nuhunyambulapi5320
    @nuhunyambulapi5320 2 роки тому

    Bonge la Nyimboo... Naikumbuka Dodomaaa.

  • @shaacollection801
    @shaacollection801 2 роки тому

    Kwangu kuna mijus

  • @shaacollection801
    @shaacollection801 2 роки тому

    Mimi nataka fimbo

  • @beatriceatieno6274
    @beatriceatieno6274 2 роки тому

    Na unga jee?

  • @kasangalajoseph7162
    @kasangalajoseph7162 2 роки тому

    Saf sana !!