BMW X1 REVIEW | Gari ya KISASA kwa BEI CHEE - Mr SABYY
Вставка
- Опубліковано 11 лют 2025
- Usibonyeze Link hii chini 👇👇👇 kama huna ROHO NGUMU juu ya MAGARI ....👇👇👇
/ @mrsabyy
Ndugu mtazamaji leo tumekuletea uchambuzi wa BMW X1....Kwa maelezo zaidi tumia mawasiliano yetu . Jifunze na share link kwa wengine , .......... ENJOY
Huduma zetu...
1: Kuagiziwa GARI JAPAN/UK/DUBAI
2: kutolewa Gari yako Bandarini ( Clearing & Forwarding ) kwa wateja waliokwisha nunua Gari
3: Kutafutiwa Gari mtandaoni na kupigiwa hesabu ni BURE
4: Kuagiziwa bidhaa mbalimbali nje ya nchi
5: Kusafirishiwa Gari yako popote ndani ya Tanzania
6: Clearing and Forwarding service Bandari ya DSM na Mipaka yote ya Tanzania
Tumia mawasiliano haya chini.
NB: Tunafanya kazi na watu binafsi /Makampuni / Taasisi zote
--------------------------------------
Social media handle
Instagram: / mr_sabyy
Whatsapp link : wa.me/message/...
☎️DM/Piga/Text 0653953900
☎️Whatsapp +255 653953900
📧 Email: charlessabikazi@gmail.com
🏢Company: CAIRO INTERTRADE Co. Ltd
📍Location: PSSSF SAMORA HOUSE, Ghorofa ya 6, Wing A-Room 3, Samora Avenue St.
Dar es salaam, Tanzania
All copyrights reserved under CAIRO INTERTRADE Co. Ltd © 2023
--------------
#Clearing_and_Forwarding #bmwx1 #bmw
#Clearing_And_Forwarding
#Clearing_And_Forwarding_Agent
#magari
#TANZANIA
Hongera review nzuri sana Mr Sabby 👏
Hizi gari za europe (BMW, Mercedes, Audi, Volvo)nk ni gari nzuri na zinahitaji matunzo ipe service inayostahili kwa wakati kama watengenezaji walivyoelekeza itadumu na utaifurahia tatizo watu wengi huwa wanaishi na hizi gari kama toyota ndo maana zinawaletea matatizo kibao mwisho wa siku wanaziita mbovu kumbe sababu ni wao wenyewe.
Umeelezea vzr sana, comment yako itawapa elimu watazamaji wengine… Ubarikiwe 💐💐💐
Nimekuelewa mkuu kikubwa ni matunzo tu
Umetisha broo
@@YumiiArbaz-wz4rg Thanks ❤️
Nikicoment viibaya kwenye post zako utanilaumu
Maelezo mazuri sana, Brother👏👏👏
Welcome brother 🙏
Vipindi vyenu viko vizuri 🎉
Mnahitajika katika Jamii ishie huku UA-cam tungependa tupate hii product kwny vtuo vya TV 🎉
Hongereni sana 🎉
Safi sana mr.Sabby🔥🔥🔥
Mr saby kwa mtu anaetaka gar used tofaut na used toka japan yan used hapahap Tz ila iwe imara mnaweza kumtafutia kwa bei nafuu
Yes boss, naomba Nichek kwenye WhatsApp 0653953900 . Asante
Na je,hili gari linahimili barabara zote au ni lami tu?
Naomba review ya bmw x3 ya mwaka 2013
Sawa boss itakuja. Review zetu ni za magari ambayo tumeyaagiza hivyo mpk tuagize Ndio tufanye review
Nice one
Thanks 🙏🙏
Review ime kaaa poa sana
Safi sana
Asante sana
Ni ya mwaka gani
Hii ya 2010 boss. Kwa maelezo zaidi tumia no yetu 0653953900 Whatsapp
@@MrSABYY 🙏🏽
Bei gani inauzwa
Shida yetu hatuwekagi bei kila mteja atapigwa bei yake
Hello. Bei zote za magari zinawekwa kwenye ukurasa wetu wa instagram@mr_sabyy | Unaweza follow na kuona bei huko. Asante
Shingapo
@@MbarakSaid-s3l Hello bei ya sasa ni 26Million . Kwa details zaidi karibu WhatsApp 0653953900 . Asante