TAHARUKI; BABA AMCHINJA MWANAE NA KUTENGANISHA KICHWA NA KIWILI WILI NA KUWEKA KWENYE NDOO TOFAUTI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    UA-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

КОМЕНТАРІ • 74

  • @yonasimion3130
    @yonasimion3130 7 місяців тому +2

    Jamani, Sheria ya kunyongwa lini? Huyu Mzee anatakuwa kunyongwa. Mungu umlaze kiumbe huyu pema. Amina😭😭😭😭😭😭

  • @rafiaahmad168
    @rafiaahmad168 7 місяців тому +4

    Mwili umenisisimka jaman😭😭😭😭😭😭

  • @beatricemtui3766
    @beatricemtui3766 7 місяців тому

    Dunia tulipofika Ni Bora kuishi na wanyama kuliko mwanadamu mungu tusaidie

  • @MariamAbuubakar-e5o
    @MariamAbuubakar-e5o 7 місяців тому +1

    SubhanaAllh hidunia sjui tunaelekea wapi hasa arusha kila siku ukatili tu

  • @redmioman4371
    @redmioman4371 7 місяців тому +1

    SubhanaAllah yaa rabbi tupe mwisho mwema 😢😢

  • @sistajeremiakalinga5436
    @sistajeremiakalinga5436 7 місяців тому +1

    Mungu ww uliee muumba huyu mtoto shusha hukumu kali juu ya huuyu muuwaji akamatwe mala saaaba lana iwee juu yako ww ulie mchinja maalaika wa mungu

  • @QueenkelvinIssac-bs6br
    @QueenkelvinIssac-bs6br 7 місяців тому

    Jaman huyo ni baba angu mzazi vyote anavoongea sijamuelewa mm pia alinifanyia ukatili. Ikiwezekana police pia imkamate .muulizeni binti yake silivya yuko wapi.

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 7 місяців тому +1

    Subhanallah 😢😢 kwani kulivuka biashara ya vichwa nn mbona ndio watu wachinjwa 😢😢😢

  • @Lilian20248
    @Lilian20248 7 місяців тому

    Dunia haina huruma, sasa yule kijana alimchinja mtoto bila kosa lolote, sasa hakujuwa kwamba yule mtoto ni malaika wa Mungu na mkombozi wake! Mungu hamtupi mja wake, wengine wanaonea sana watoto bila kujuwa Mtetezi yupo, anaona yote na anasikia yote. Huyo mzee asingefungua ndoo ya maji na kuongea ukweli, ndo ingechanganya watu, ila tunashukuru Mungu kwa kufunua kinywa cha huyo mzee. 🙏🙏🙏Sifa kwa Mungu mkombozi wetu.

  • @janemcharo5371
    @janemcharo5371 7 місяців тому +2

    Mungu turehemu sjui tunaelekea wp!

  • @ariphkimani3790
    @ariphkimani3790 7 місяців тому +1

    Mama wa mtoto yuko wapi?

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 7 місяців тому

    Pole sana mzee kweli dunia ya MIUNGU tuna iharibu sisi wenyewe watanzania

  • @amoonatnzani9834
    @amoonatnzani9834 7 місяців тому

    Subhanaallaah

  • @basumegheMbotwa
    @basumegheMbotwa 7 місяців тому

    Poleni sana

  • @lucygwande-jf2cu
    @lucygwande-jf2cu 7 місяців тому +2

    Duuh mbn kuguma ivi jaman

  • @lazarosoja6522
    @lazarosoja6522 7 місяців тому +3

    hii ni unyama au ushirikina

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 7 місяців тому

    SubhanaAllah 😭 dunia imeisha

  • @newboy1995
    @newboy1995 7 місяців тому

    Doh pole😢😢😢

  • @IsanjaRose-tk4nn
    @IsanjaRose-tk4nn 7 місяців тому

    mungu asaidie watoto wetu tunaowaacha Kwanzaa baba zao

  • @joyce55727
    @joyce55727 7 місяців тому +1

    😭😭😭 jaman

  • @pendomushi6351
    @pendomushi6351 7 місяців тому

    Ee mwenyenzi Mungu tusaidie waja wako Dunia imekuwa ya vita watu hawana hofu Yako Tena ! Hatuogopi wanyama tunaogopa wanadamu ! Mungu tusamehe sisi na Dunia nzima ! Pumzika Kwa amani mtoto mzuri 😢😢

  • @JecintaAchieng-n7c
    @JecintaAchieng-n7c 7 місяців тому

    Very sad 😭😭

  • @user-tn8jt8nd2k
    @user-tn8jt8nd2k 7 місяців тому

    Yan hawa watu wote wanatakiwa kuwajibika kwanini mwenyekiti anahuzunuka lakin babu anaongea kama stor tu yan mpaka tumbo limeniuma kweli

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj 7 місяців тому

    Subhanallah 😢😢😢

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 місяців тому

    Babu pole sana

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 7 місяців тому

    😭😭😭😭😭

  • @ElibahathMichaell
    @ElibahathMichaell 7 місяців тому

    Duhu hii duni jmn

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 7 місяців тому

    Unamtenda.mtoto jambo gumu ukimuangalia usoni kweli mtoto awezi hata kujitetea inakuwaje.Mungu tusahidie sana😢

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 7 місяців тому

    Huyu babu anavyoelezea km story haiendani na jinsi alivyo na macheni alovaa na umri wake. Polisi wafanye kazi yao inawezekana sio baba aliyemchinja mwanae

    • @Mina.15
      @Mina.15 7 місяців тому

      Kalewa

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 7 місяців тому

    Pamoja na yoote..kuna tatizo zito kwenye family hii wakaseme na wazee

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 7 місяців тому

    😭😭😭😭😭😭subhannallah dunia simama nishuke poleni wafiwa lakini inauma sanaa jamani anamakosa ganii mtoto huyoo kudhulhmiwa roho yake?

  • @AshaIbrahimu-w6k
    @AshaIbrahimu-w6k 7 місяців тому

    Jaman dah hii dunia mbna imekua na majaribu sana malaika mdogo kama huyo amemkosea nini jaman du binadamu tumekua na roho za ajabu sana 😢😢😢

  • @mariyamsalalah8204
    @mariyamsalalah8204 7 місяців тому

    Hii dunia daaah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 7 місяців тому

    😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 7 місяців тому

    Hii familia sio salama huyu baba anaongea lakini kuna jambo hajui kwenye familia bibi Wa mama na kijana wake kuna walakini ila hakuna siri duniani hapa

  • @SharonKelvin-m7o
    @SharonKelvin-m7o 7 місяців тому

    wote watakuwa wanajua kitu skilizen maongez yao vizuli na bibi pia haojiwe wanapasiana hao wachaw wakubwa

  • @petronilamtei7470
    @petronilamtei7470 7 місяців тому +1

    mtoto mdogo sana jamani.....kwa nini mama alimuacha nyuma

    • @urbanmission3072
      @urbanmission3072 7 місяців тому

      UYO MAMA AKIJITOKEZA TUU KUULIZA MAJIBU YAKE YAWE KUWEKWA RUMANDE AFU ASJIBIWE CHOCHOTE BAADA YA SIKU TATU AACHILIWE AKIULIZA TENA WEKA RUMANDE, LABDA KAMA MAHAKAMA ILIAMURU MTOTO KUISHI NA BABAYE APO MAMA ATAKUWA HANA HATIA

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 7 місяців тому

      Wazazi hakuna sikuizi

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 7 місяців тому

      user-lt1bi5nr1x yani kuna WENDAWAZIMU TU😢

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 7 місяців тому

    Lahaula walakuwat ilabilah 😢😢😢😢😢😢😢

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 місяців тому

    Ukiua uuliwe aya mambo yataisha. Ila kwa sheria za nchi hii polisi wanafanya uchunguzi. Yatatokea mengi

  • @khadija5761
    @khadija5761 7 місяців тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 7 місяців тому

    Akikamatwa auawe na wew

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 7 місяців тому

    Jamani TANZANIA tuna WAGONJWA wa AKILI ni wengi mnoo sana Waziri wa Afya watu wapimwe AKILI

  • @stellamanda4466
    @stellamanda4466 7 місяців тому

    Arusha teena!!!🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 7 місяців тому

    Arushaaaaaa ,AISEEE, WAZAZI AMBAO KWENU SI ARUSHAAAAAA, MSIRUHUSU WATOTO WENU WAKAISHI ARUSHAAAAAA, ARUSHAAAAAA NI ZAIDI YA WANYAMA,PYUUUU,TUPA KULE😢

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 7 місяців тому

    Roho za mashetani

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 7 місяців тому

    Kichwa kimo kwenye ndoo na amekuta mjuu wake ameuwawa mmefahamu?

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 7 місяців тому

    Alitaka akauze figooo

  • @sheikhaswalehsalim3392
    @sheikhaswalehsalim3392 7 місяців тому

    Wote wa kamatwe ina onekana wana husika

  • @user-ez7lk3it5s
    @user-ez7lk3it5s 7 місяців тому

    Au.waye.kwapanga.naye.atakufa.panga

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 7 місяців тому

    Mshilikina alitaka utajiri

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 7 місяців тому

    Sasa mshaaona kichwa kimekatwa, huo mwili mnaenda kuuchunguza nini?

    • @gasperelasto8842
      @gasperelasto8842 7 місяців тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 7 місяців тому

    Uenda wazimu na kutaka Mali. Na wanawake mchunguze wanaotaka kuwaoa sio kuolews tu mnawashwawashwa

  • @urbanmission3072
    @urbanmission3072 7 місяців тому

    MBONA UYU BABU HANA UJASIRI ANAPOONGEA? ETI STRES KWA AJILI YA BODA BODA, PORICE FINYA MASKIO NA PUA KWA PRAIZ UYU BABU ATAJIELEZA YOTE

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 7 місяців тому +1

      Utamwonea bure, mzee anaeleweka! Ukumbuke mauaji yakitokea ndani ya familia ni kizunguzungu!

    • @urbanmission3072
      @urbanmission3072 7 місяців тому

      @@bcozhenry2698 kWERII KABISAA NDUGU, HATA MI ILIWAI KUTOKEA NYUMBANI, KWER INAUZUNISHA NA NI KIZUNGUMKUT

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 7 місяців тому

      @@urbanmission3072 🥲pole

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 7 місяців тому

      ​@@bcozhenry2698babu anaeleweka sanasana na anauchungu sana

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 місяців тому

    Mbona Arusha kuna matukio ya ajabu Sanaaaa hawana hofu ya Mungu hawasali na hawaswali Mungu ingilia kati matatizo haya ya Mkoa wa Arusha Kilimanjaro

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 7 місяців тому

    😭😭😭 MUNGU wangu ashikwe piya yeye yani a wacha kwenda kutafuta kazi kumleteya chakula mtt amuuwa

  • @urbanmission3072
    @urbanmission3072 7 місяців тому +1

    MABODABODA KUPOTEA NA UHAI WA MTOTO WAPI NA WAPI, NA KWANINI BIBI AMESAFIR UKU NYUMA TUKIO LINAONEKANA? MI SITOSHEKI NA MAELEZO YA BABU

    • @lazarosoja6522
      @lazarosoja6522 7 місяців тому

      bibi kuondoka kwake ni safar za kawaida tu kijana Alisha dhamiria jambo kutekeleza hivo alipopata Nafac ndo alitekeleza

    • @iantussa9064
      @iantussa9064 7 місяців тому

      Mama anakosa gani hapo? Usiwe unamuingiza mtu mwingine unamhisi vby kwakosa gan hapo? Wewe ukifanya tukio ahusishwe mzaz wako?

    • @urbanmission3072
      @urbanmission3072 7 місяців тому

      @@lazarosoja6522 YAANI SJUI NINI KIMEMPATA KIJANA

    • @urbanmission3072
      @urbanmission3072 7 місяців тому

      @@iantussa9064SAWA MZAZI HANA KOSA LAKINI MBONA MAELEZO YAKE HAYANYOOK? AU AMEPATA HUZUNI SANA LABDA, BAS MUNGU WA MBINGUNI AMPE NGUVU YA KUSTAHIMILI KWA KIPINDI ICHI, KAMA IVI WENGINE TUNA LAUM LAKIN FAMILY HUSIKA IMEHUZUNISHWA ZAIDI