Maandamano ya kizazi kipya yashuhudiwa jijini Nairobi
Вставка
- Опубліковано 30 вер 2024
- Maandamano ya leo ya kupinga mswada wa fedha yalijumuisha vijana ambao walijikusanya katika makundi kwa kutumia mitandao ya kijamii, katika kile kinachoonekana kuwa mabadiliko ya desturi ya maandamano humu nchini. Tofauti na maandamano ya awali yaliyoongozwa na wanasiasa na waandamanaji waliojihami kwa mawe na silaha butu, maandamano hayo yalijumuisha kizazi cha vijana waliojieleza kwa maafisa wa polisi kuhusu haki zao kwa lugha ya kiingereza. Hii hapa taswira ya maandamano ya kizazi kipya.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: twitter.om/KBC...
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
PEACEFUL DEMONSTRATIONS AND PICKETING ISWITHIN THE LAW.THEREFORE NOBODY SHOULD INTRFERE WITH THAT
So proud of the youngones.
Gen Z proud of you.
These twin's are my neighbours at kisii
So so so proud of you all beautiful youth.. to imagine this was once me.. a journalist and a human rights activist. Fearless in th fight for justice in this country.
Hii ni mchezo ...Azimio inafaa iwaonyeshe jinsi ya kuandamana ....
Mombasa is silent
We deserve accountability
Kuzazi Kipya ni shida tupu,walevi,malaya and lazy people
Mbwa Mzee ww
I hope this generation won't be corrupted by tribalism.