Kwa nini baadhi ya wakaazi wa Nairobi huita eneo la kibiashara (CBD) nyumbani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2023
  • Kwa kawaida wakazi wa jiji la Nairobi huishi katika mitaa iliyo nje ya eneo la kibiashara la jiji hili. Hata hivyo, kuna wale wanaoliita jiji la Nairobi nyumbani. Wengine wanaposongamana kuabiri magari ya kutoka nje ya jiji wakishafunga kazi, wao hutembea tu kuelekea nyumbani kwao.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 9