Marlaw-Sorry Sana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 622

  • @dennisdesally6532
    @dennisdesally6532 Рік тому +46

    Wangapi tuko huku 2024?

  • @azizamponda
    @azizamponda 15 днів тому +2

    Nwipenda sana hii nyimbo naipenda sana
    It's new year 2025

  • @niceonechagagirl2070
    @niceonechagagirl2070 5 років тому +14

    Bongo flave ilikuwa zaman bwanaa kama unamkubali marlow gong like 2juane

  • @ericwambua7210
    @ericwambua7210 11 місяців тому +21

    Who's here in 2024??
    U see, most of my memories are triggered by songs. So I would hear a song and it would remind of long time ago.

  • @mugishaelena7424
    @mugishaelena7424 6 років тому +39

    Nakupendasanaaaaaaaaaaaa Umepoteleya wapi???.😭😭😭 Rudiiiiiiiiiiiiiiiiii.💋😍😘😭😭

  • @stephendaniel8412
    @stephendaniel8412 4 роки тому +34

    I miss my friend back in high school we used To sing this song alot especially when it was games time tulikuwa hatupendi kuenda games so tulikuwa tunakaa class tukijifunza maths huku tukiimba I really miss those days time flies

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 років тому +6

    Huna nyimbo mbaya marlaw, njoo uokoe bongo fleva tunaambiwa hatwendi mbinguni Mara nyegezi duh hatuelew, ridini jamani

  • @naomimbise-zp1xm
    @naomimbise-zp1xm 11 місяців тому +3

    Bado tunainjoy 2024

  • @EvaMontana-o9j
    @EvaMontana-o9j Рік тому +2

    Huu Wimbo ndo mara ya kwanza kuish na mtto shombeshombe kinondon akapata kaz mozambik ndo aliniambia niwe nasikiliza hii ngoma mpka Leo naipnda sana tena sana maana nilimpnda sana❤❤

  • @jiddahchiddy6203
    @jiddahchiddy6203 6 років тому +4

    Hiv hao wanaoekaga dislike n huwa wanatumwa ama jamn nashindwa kuelewa ila...plsss rud kwenye game 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 we love u etii unasaut nzur .nyimbo nzur jmn rudiii kwenye game😣😣😣😣

  • @ushiabdallah870
    @ushiabdallah870 7 років тому +101

    who is listening thls in 2017 ?
    cant get enuf of dis jam...mob love marlaw ❤

  • @mwinira
    @mwinira 3 місяці тому +3

    Tuko hapa 2024.tunawalidhe millennials.
    Gen z hawajui hizi ngoma

  • @mdarty7117
    @mdarty7117 6 місяців тому +2

    Marlaw 🎉🎉🎉 2024 and still a banger 💥💥💥Rudi kwa Game tumekumiss 💥

  • @leylaabdul8278
    @leylaabdul8278 8 років тому +46

    Marlow nyimbo zako nazikubali sana hasa hii yaani dah!

  • @aminajuma7427
    @aminajuma7427 6 років тому +24

    Nyimbo za ukweli🤗😘😘😘nani yuko 2019😄😄😄

    • @jafarisintoo3743
      @jafarisintoo3743 5 років тому +2

      Amina Juma tupoo 😋

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 3 роки тому

      Mimi niko 2021 tarehe 3 mwez wa 12❤️❤️

  • @dancersti
    @dancersti 5 років тому +33

    2019 nani tuko pamoja???????? gonga like

  • @AfricancityEntertainment
    @AfricancityEntertainment 6 років тому +24

    Marlaw sauti ya dhahabu. 2019 tunaingia na wewe

  • @gamblerjayzzz
    @gamblerjayzzz 9 років тому +10

    Hii ngoma inanikubusha sana washkaji wangu wa bongo. Love it so much.

  • @coneswafula4736
    @coneswafula4736 7 років тому +87

    16/2/2018 nani yuko nami??

  • @hamzarashid9705
    @hamzarashid9705 2 роки тому +11

    2023 and still my favorite song 😋

  • @liaonaoliver18
    @liaonaoliver18 8 років тому +22

    moja ya vipaji vilivyopotea bongo,miss u kaka

  • @masubogamaha5117
    @masubogamaha5117 5 років тому +1

    Huu wimbo huaga nikiusikiliza nakumbuka mbali sana hakika ninaupenda sana zaidi ya sana.

  • @allykango9440
    @allykango9440 5 років тому +18

    2020 am still wtchng dth sng like nw ons

  • @elizabethkimalio3900
    @elizabethkimalio3900 6 років тому +1

    Oooh yeah... Ningejua toka mwanzo ulinipenda ! Nisingewaza nlowaza Mimi....oooh I love you Marlow

  • @angatecaren9626
    @angatecaren9626 7 років тому +16

    Na mapenzi yasha niliza. nice song marlaw

  • @AbisageAwuor
    @AbisageAwuor 6 місяців тому

    Many years bt the song still touches my soul. Much love to Marlaw ❤❤❤

  • @jafarijacob6368
    @jafarijacob6368 4 роки тому

    Bado naikubali na kuipenda hii nyimbo kiukweli ni bint mdogo sana alitokea kunibadili tabia respect kwako.....2003 to 2020

  • @joycekapwela6781
    @joycekapwela6781 4 роки тому +1

    Kama uliumizwa mnooo then ukaja ukapata baby pia Na ndoa ikafungwa ...na x akashangaa kuona kumbe na we upo gongs like apa

  • @catemuthoni2705
    @catemuthoni2705 Рік тому +2

    Who is here 2023
    This will never get old
    I love his voice is magical🥺💘❤

  • @cynthiamutesa8640
    @cynthiamutesa8640 6 років тому +1

    I really like educative songs like this....Nilishaapa sitoingia tena penzini.....umenibadilisha mengi,umenisahaulisha mengi..

  • @ianmbatha7119
    @ianmbatha7119 2 роки тому +2

    hii ngoma ikona emotions inaeza kufanya ulie😍😭😭😭

  • @walteroupa7302
    @walteroupa7302 6 років тому +1

    love you so much marlaw hii nyimbo inanikumbushaga mbali sana

  • @bahatimatiku4294
    @bahatimatiku4294 7 років тому +144

    Who listening this song right now 2018?

    • @beezytvonline9434
      @beezytvonline9434 7 років тому +1

      Bahati Matiku me too

    • @bahatimatiku4294
      @bahatimatiku4294 7 років тому

      Beny Ponera good boy

    • @theastephen5878
      @theastephen5878 7 років тому +1

      Bahati Matiku am listening now i remember those days past🙄🙄🙄

    • @janethsaulo4020
      @janethsaulo4020 6 років тому

      its so amaizing this Song cn make someone crayz even if u lie

    • @kinghk5734
      @kinghk5734 6 років тому

      Very nice driving song.

  • @saralusinde53
    @saralusinde53 Рік тому +6

    2023 this is still my favorite song ❤❤🙏

  • @elyviarespicius728
    @elyviarespicius728 4 роки тому

    16/08/2020 one love👍👍👍 piga kelele kwa sorry yake weweeeeeeeeeeeeee. ....tunaikumbuka bado hii song brother 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪

  • @ceciliakaari782
    @ceciliakaari782 5 років тому +1

    Mie nishafika kilele cha mapenzi...kuvunjwa moyo mara ya kwanza na nishatia kikomo! Tosha.

  • @manuaripatrick3302
    @manuaripatrick3302 4 роки тому +1

    Wajanja bado tupo huku 2020 hii Nani mwingine bado yupo huku

  • @emmanuelelias5144
    @emmanuelelias5144 4 роки тому

    Marlow 2020 kama tulikukosea mashabik zako bas tusameh naomba urud mziki bado unaudai na sisi mashabik zako tunakudai

  • @charleskombo3515
    @charleskombo3515 4 роки тому

    Mbona sioni 2020.. mumeitupa saana jamani hii kitu ni 🔥🔥 saana nikiiskiza hasa kama nimekwazana na kamamaaa wangu

  • @iddishelton
    @iddishelton 2 роки тому

    What a cool and sweet .., apology kwa mrembo😍😍😍😍😍

  • @olebulaligo6791
    @olebulaligo6791 5 років тому

    Du !!! Mpaka 2020 namkubali sana 254 twende sawa

  • @joharikabalaza6899
    @joharikabalaza6899 5 років тому +1

    Daaaah jamaa arud tena tumemic nyimbo za hisia qali gonga like kama unamkumbuka jamaaaaaaa

  • @aubahkidy8386
    @aubahkidy8386 5 років тому +12

    Tupo wangapi 2019???

  • @The_Village_Girl254
    @The_Village_Girl254 7 років тому +45

    In 2017 and still listening to this. Nzuri sana

  • @faithnice4597
    @faithnice4597 7 років тому +97

    kma kuna jamaa napenda song zake Ni huyu

  • @liliankamau3889
    @liliankamau3889 7 років тому +36

    Marlaw umelost xna come back

  • @yusuphsamwel5969
    @yusuphsamwel5969 4 роки тому +1

    Marlaw uko wapi 2020 jaman huku hatuoni mziki wa kusikiliza twakusubili sana

  • @popekariuki5041
    @popekariuki5041 5 років тому

    Marlaw Marlaw uliende wapi kaka....real talent,tunangoja your comeback#2020 rudi

  • @tabithamininga5830
    @tabithamininga5830 5 років тому

    Nikiwa mdogo mpaka Sasa nazipenda, ludi kwa mziki my brother

  • @khamissaid878
    @khamissaid878 3 роки тому +1

    2021🔥🔥 Huyu jamaa ananambia mm au..😘

  • @nasserrashidalghaithy9860
    @nasserrashidalghaithy9860 5 років тому

    Old is gold waungwana jamaa upo juu napenda saut yake saiv wadogozenu mliowaachia game no wabanapua tu

  • @vincentmuthumbi9742
    @vincentmuthumbi9742 6 років тому +1

    Umenisahaulisha mengi ....marlaw you still rock...i love your music...

  • @lolungpatrick8754
    @lolungpatrick8754 7 років тому +10

    so crazy about Marlaw's hit, so much talented and good choice of words and awesome, in 2017 and still Marlaw my Best choice.
    please come back we are missing your voice.

  • @annahockson1427
    @annahockson1427 7 років тому +5

    Nakubali sana kazi yko, mimbo yote iko vzr

  • @melaniaanney4731
    @melaniaanney4731 4 роки тому

    Yan Leo clouds mlinikosha trh3 2020 nymbo imenikumbusha enz hizooo ndo tunaanza milik smrt daaah bonge la song

  • @samwelonyango8794
    @samwelonyango8794 4 роки тому +3

    2020 bado tunajipata hapa. who else

  • @jjazzzz
    @jjazzzz 3 роки тому +1

    Hongera Sana ! eey mziki huu inaamsha mahisia mazuri toka pale zamani 🔥

  • @peterkosgei6570
    @peterkosgei6570 4 роки тому

    Elvo, shem ,khalwale the song reminds me of machines exam venye ilitu harass

  • @justinemwenda6854
    @justinemwenda6854 6 років тому

    Dah the best song trending on da year 2007 kitambo sanaaaaaaa Dr's la nne mazngr fulan iv ya uswaz usang mbeya Mbarali madibira

  • @nataliekamaka1298
    @nataliekamaka1298 5 років тому

    2020 na ntazd kuja bt apo nmeona ka kafanana na mboso😁 au ni macho ya kummiss marlaw

  • @lifelenswithken
    @lifelenswithken 6 років тому

    It really touched my heart...nikamwambia mpenzi wangu ayo yote sababu nishapitia yote aliyotaja duh

  • @solomonwahome56
    @solomonwahome56 8 місяців тому

    Sijausikiza wimbo huu kwa zaidi ya miaka kumi 🎉🎉alafu ghafla ukaja akilini mwangu na kumbe sijasahau ataaa😊😊
    Wanikumbusha mbali❤❤
    6/5/2024

  • @lucyjohnkachele3173
    @lucyjohnkachele3173 5 років тому

    Napesaa Sana Hii nyimbo sorry sana 😘😘😘😍

  • @mankaalex1457
    @mankaalex1457 4 роки тому

    Jamani rudi studio penda sana wewe❤❤

  • @zakiasuleiman3643
    @zakiasuleiman3643 5 років тому +35

    Nackiliz leo tar 21/03/2019

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 11 місяців тому

    Wangapi 2024 ❤❤❤

  • @kinanjaonline6205
    @kinanjaonline6205 6 років тому

    Waooo unajuwa sana kaka ....mbona upokimya sana

  • @tausimajeni308
    @tausimajeni308 5 років тому +2

    Nakupenda jaman nyimbo zako nzuri sana

  • @evanslangat100
    @evanslangat100 2 роки тому

    Marlaw rudi tena kaka,napenda sana ngoma zako

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 Рік тому

    Ooo my Good marwal ulikua mkali sana boy

  • @laurahmugaduka5243
    @laurahmugaduka5243 2 роки тому

    Miss u Caro tukiwa form 3 ukipenda this song

  • @emilyanamnyakongo4378
    @emilyanamnyakongo4378 7 років тому +2

    mimi napenda kweli hizi song maana nakumbuka mbali sana

  • @liliankimaro1010
    @liliankimaro1010 5 років тому +7

    Penda sana hii nyimbo2019❤️

  • @modestaboniface7544
    @modestaboniface7544 5 років тому +1

    4th febr 2020...........watching still

  • @judykwamboka9837
    @judykwamboka9837 4 роки тому +4

    Gonga like kama unaskiza 2020🥰🥰bado

  • @carolgithigi4623
    @carolgithigi4623 7 років тому +1

    i just love this jam all the way....marlaw go....go....go....lotsa love

  • @danteboychild994
    @danteboychild994 4 роки тому +2

    In 2021 am listening and really missing this talented voice one day someone will come who will be checking on heroes like this kina matonya belle nine where are those guys

  • @mwanamisimsangi9215
    @mwanamisimsangi9215 7 років тому +2

    U a more than a srar, keep it up& Good job. FANTASTIC

  • @skisterfidelis9616
    @skisterfidelis9616 5 років тому

    Marlow upo wapi dahhh wewe ni msanii nicyochoka kusikiliza nyimbo zako

  • @charliebwanji9049
    @charliebwanji9049 7 років тому +10

    talent cant fade my hero make a come back

  • @missamayombi1985
    @missamayombi1985 7 років тому +10

    oh Marlow! you make me remember those days when in high school ! U made someone trust me,hahahaa ,u so trick!

  • @joshuandiritu7142
    @joshuandiritu7142 11 років тому +21

    reminding me of the best times in my life...I love this song crazily!!

    • @stevtz391
      @stevtz391 5 років тому +1

      Napendagaaa nasikiliza now 27 sept 2019

  • @denicejohn2328
    @denicejohn2328 4 роки тому +1

    Hii ngoma ni noma nani yuko na mimi 2020 like hapa👇

  • @milylover5199
    @milylover5199 8 років тому +17

    Sorry sana and rita drive me crazy mily kenya

  • @miriamcherotich6170
    @miriamcherotich6170 5 років тому +5

    I'm listening to this now and its still beautiful!

  • @asteriakimaro6117
    @asteriakimaro6117 5 років тому

    Jmn Marlow kwann unatutesa hiviii rudi basiiiii

  • @lovekambua7413
    @lovekambua7413 7 років тому +2

    since was in school upto today i listen to this song marlaw we need you back

  • @davidkabyemela8140
    @davidkabyemela8140 5 років тому +1

    Mziki mzuri sana

  • @alexntale1883
    @alexntale1883 5 років тому

    02/02/2020 still watching it Haichoshi yan kuisikilza! Marlaw fanya kurudi tumekumiss!

  • @salemn-bx1ii
    @salemn-bx1ii 4 роки тому

    Marlo kapotelea wapi toka utotoni 2020 bado nacheza wimbo zake

  • @EliaikaWilhelm
    @EliaikaWilhelm 9 місяців тому

    2024 where are you darling❤❤❤

  • @fredkutiri5393
    @fredkutiri5393 11 років тому +1

    l love this song coz inaguza maisha yangu sana,,,,

  • @anitaw5292
    @anitaw5292 7 років тому

    one of the best artists east Africa had,wachana na hawa wanakam

  • @kareemlungu6820
    @kareemlungu6820 8 років тому

    aseee, sipati la kusema juu ya hiki kipajina wimbo mzr ka huu... Heshima kwake

  • @saramruma9995
    @saramruma9995 5 років тому

    Naupenda sana huu wimbo

  • @eddotom4982
    @eddotom4982 5 років тому +1

    Nani anaangalia Nov apig like zak

  • @frenkphillemon9044
    @frenkphillemon9044 7 років тому

    please marlaw come back in game tumekumiss fans wako.hakuna wakuziba pengo lako kwa sasa atleast one song inatosha

  • @manassehjoseph3740
    @manassehjoseph3740 4 роки тому

    2020/05/11 mpaka kieleweke nakukubali sana bro

  • @NoelyNjelekela
    @NoelyNjelekela Місяць тому

    tupooo wengiii hapaas 2024ama veep

  • @linusiedesi940
    @linusiedesi940 4 роки тому

    Uyu jamaaa anajua sana