TT Comedian SAFARI YA MATESO
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- TT Comedian_ safari ya mateso
Kenya's youngest Comedian.
It's about: Comedy Laugh's.
For Bookings/Enquiries: +254 738 712728, comedianttke@gmail.com
FB: / ttcomediankenya
IG: / ttcomedian
Twitter: / comediantt
#TTcomedian #tt #LadhayamtaTv @chikunde254 @ TT Comedian
Duh! Dogo yupo bomba kwa ukweli. Love you and your crew..The Naija dude is good in acting too.
i really respect the team behind this! is because of them TT do all this.. ongera team TT,
Thanks sana
my pleasure mzee wa kofia!
Thanks
Ngai tt leo umekomesha mikono birika,your my favorite comedian mwaaah 😄🤣😂😆
TT LEO UMEKULA NAMACHO Lakini uko juu Bravooo
Wazi
I salute you good work. Napenda tt anasema kweli kabisa hongera
Thanks sana
Thanx
Mjukuu mpee mzee wa kofia roles nyingi I love him aki 💕💕💕💕💕
Wazi shukran sana
Maashallah maashallah mungu akuzidishieni yaarabi mfike mbali na maendeleo ya kazi nzuri mnayofanya yaarabi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏💞💞💞💞💞
Thanks sans
Amin
Nakupenda sana TT..karibu Tanzania..🇹🇿👍
Dah! Leo tt wamekuweza aisee. Yaani umekula kwa macho. Ingawa nawe hukosi solution ukawakomesha wakapitiliza wanakoendaaa🤣🤣🤣🤣 good work. Mungu aendelee kukujuza little boy tt and all your team. Thanks you for making us happy. 💘💘💘🔥🔥🔥🔥
Hahahahahahahaha
Wow thank you keep it locked
Heheeee, Ttt umerevedge heheeee apele unainjeria nahuko 😀😀😀
Hahhahaahha hapo sasa
Hongereni sana kwa kazi nzr Mungu awape afya njema na 🙏 abariki kazi zenu Inshaallah Much love 💘 for my big boy 👦Tt. All the way from Zanzibar.
Thanks
Thank you so much Zanzibar keep the support
Guk
Twe
Good work tt na team wako MashaAllah
Aki Tt reminds me when I was younger kwa mat😄😄😄😄😄😄wallai nilikua hivyo
Asante sana
Hiyo kutafuna jo ni noma sanaaaa 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 This is the best of the best 🔥🔥🔥🔥 mdomo birika 😂😂😂 kweli hii ni Safari ya mateso 🔥🔥🔥🔥
Shukran sana
TT utanimaliza aki🤣🤣🤣🤣🤣 ati Chapo anameza Kama abunuasi🤣🤣🤣🤣
Vile TT anaangalia mandazi na uncle🤣🤣🤣🤣🤣then boom"uncle kwani ni kipofu"🤣🤣
Thanks
TT anataka mandazi ya uncle
🤣🤣🤣
Tt you are so funny with your aunt eti Mjomba ni tumbo karatasi kumbe wanaume wote kwa hiyo gari ni atari kwa chakula
Alsee tt you never disappoint you have already made my day happy to watch your next clip
Hahahahahahahaha
TT 🤣🤣🤣🤣🤩unangalia mandazi 😂,🤣🤣🤣🤣aje si uchukue ukule ....made my evening safari ni mateso ungebeba superloaf na maji
Hahahahahahahahaha
Hahahaha tunakula nyama mkimeza mate,,tunakula kwa macho
My boy tt kazi Safi one love respect from Somalia tt family salute
Shukran sana
Some work hard to get Talent some are born with it natural Talent Akuna kama TT natural Talent
Thankful
The mzee is back, , unswallow the chapsati and use it as a map.🤣🤣🤣hillarious😅😂😂😂🤣
Hahahahaha
😂🤣🤣😂,,,huo mzai hawezi kuona tt ako unenge mbaya
Mzee wa kofia wacha kula mandazi na hasira 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣TT never disappoint 🤣🤣Mzee wakofia mbona unyime TT chapati aki...TT and your team nawapenda sana💞💞💞💞💞💞👏👏👏🙌🙌🙌🙌
Thank you
Daah kweli safari ilikuwa ya mateso TT lakini usijali hao wazee watapata kipindupindu kwa sababu hawakunawa mikono🤣🤣🤣
😂😂😂
Noma!
at utumie chapati yako kwa tumbo kama Map🤣🤣🤣🤣 TT we balaaa
😂😂😂😂😂 T,T, Leo umepata uchungu kweli. Pole sana jamani, lakini umewakomesha, eti atafute ramani kwenye chapati.🤣🤣🤣. Love you T,T.
Thank
TT comedian my boy that's the true usilete ufara ya Nigeria hapa karibu Mombasa 🙆🙆😂😂 utumie chapati kama map 🤣🤣 keep it up my boy you are going far 👏👏👏👏
Hahahahahahahaha
😀😀😀😀😀TT oga atembe.mwingine anakula kama bunuwasi😀😀😀nimetowa stress na kicheko
Katun tengeneza tt nywele vzuri ❤️❤️❤️
Tt love u papa from TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Thanks
255 wazi
🤣🤣🤣 makubwa hayo ama kweli leo TT ameumbuka kinoma daaaah isay mtoto wawenyewe jamani
😂😂😂😂😂😂tt congras mtu haezi alone na atake umsaidie akk
Thank you keep it locked
Ata kama sijaifika Mombasa 😂😂😂hapo ni Kitengela town
Wapi likes zangu za kuwa makini💥💥🤗
😆😆😆😆tt comedian, hata hanioni😂
Santi sana
This is a tv show ❤️❤️❤️😂🤣,TT never disappoint
TT comedian Leo hujatoa kashikashi kwa hao mabraza men kabisa sio kila ck uwin the battle safi sana
Thanks
Hhhh ttt leo umepatikanaaa kula kwa machoooo
Tt congratulations 👏🎉👏👏 daddy,kwani ni kipofu
Wewe TT si uwanyanganye wewe unangoja adi wanamaliza ukimeza mate, pole mungu atakurushia vyakula mingi
Hahahahaha ok
Nimecheka kwa sauti 😂😂😂😂
Oooh yaaa, kweli @TT Comedian, hii Safari ilikuwa ya Mateso, unyimwe Mandazi, Chapati na Chips tena wao watched usaidizi wako. Wamekula huu 🤣🤣🤣
Hahahaha kabisa
😂😂😂😂 TT kanguu wooiye I can't stop laughing 🤣🤣🤣🤣 hakuoni
Shukran sana
Leo tt umekomaa😂😂uzembe wako si ungeombaa tu
Heheeee, aky Tt jameni umenyimwa madazi na uncle 😀😀😀
Inauma sana
Hahaa eti qwani ni kipofu...hahaaa TT u made ma day
Hahahahah keep it locked
😂😂😂😂mdomo birika.. tumbo karai😂
Kitengela imekua Mombasa 😄 🤣 😂 😆.
hahahha
Good work Tt and ur team ,,,salimia katwin,, following u from Mombasa
Wow
Yah
TT endelea kushiba kwa harufu😀. Leo umewezwa lakini hata pia chipo umehata haki😂😂😂.
Hahahahahahahaha
I can't stop laughing to this Tt you made my day anyway keep going nice episode praying hardly for you over here
Santi sana
Kwani ni lazima nicheke nikiwatch TT🤣🤣🤣🤣
Hii sura ya uncle akikura mandazi mbona zio friendly 😂😂😂
Thanx
Mtajua amjui wakati mlikua bila kujali TT ebu mjipange sasa😂😂😂😂
Alaaah TT uyo mzee wa kofia anakula aje 😂😂😂😂
hahaha iko nene
Anakula solo hadi akuonii 😂
Aki uncle ona tt comedian umpee mandazi kidogo aki🤣🤣🤣🤣
Hahahahahaha
Happy to see Mzee wa kofia once again,well done my friends
🤣🤣🤣🤣🤣TT hana bahati leo
TT mwenyewe umepata Mzee kofia Leo umekulia kwa macho leo
Ya leo kali keep it up young
Thanks sana
TT comedian leo ametulizwa🤣🤣🤣🤣
Mjomba kakausha 😂😂😂😂
I LOVE IT WHEN I GET A NOTIFICATION 🔔 THAT "YOU HAVE A NEW SUBCRIBER" INANIFANYANGA NAKUWA NA BIDII SANA
Tt u will always make your mom and our 🇰🇪 broud of u keep it up baby boy👍👍
Shukran
Jjj
Tt leo kaingia kwenye msoto hatariii
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 TT yaani kila siku nikiangalia video zako siachi kucheka
Hahaha Mzee Wa Kofi na kukula
Macho ya TT jameni itafanya bazuu ajiume ulimi
Good work TT. Maintain that👍🏽👍🏽👍🏽
Thanks
Sure
Team Tt hongera mko vizuri
Thanks
TT leo nimekuwa wa kwanza
Asante
Leo nimecherewa kidogo but niko ndani, ndani, ndani kabisa.
🤣😂😂🤣😂 ufara ya naijaria asituletee😂🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣😅Nimecheka sna hakiii daaaah tt jaman na ankoo apeani maandazi yake ama kipofu
Hhhaahahaha
@@ttcomedian 😅🤣
Me i was waiting for the continuously previous video of T T akikimbizwa 😂 after kukuka pesa ya wenyewe😂
Coming up soon
@@ttcomedian So nice and if possible pia try doing collabos with other comedian abroad e g like Kansiime Anna from ug ...just an advice....big up to team T T
Huyo mama nivyenye amejizuia bt acheka mbaya navyenye tt analalamikia chakula😅😅😅😅😅
🇹🇿🤓 Chukua hiyo chapati yako kwa tumbo ifanye kuwa map🤓
Kwani ni kipofu 🤣🤣🤣 TT leo utakula kwa macho
Tumia chapo kama map waa Tt nawapenda bure
Hehehe... TT Comedian stop being Angry with food 😂😂
Thanks
Sema kimeumana😂😂😂😂huwezi kula pekee ako alafu uniulize uko wapi😌😂😂
hahaha Tumia chapati kama map
@@ttcomedian kweli hyo😂😂😂
Tt never disappoint....
I wish Mjukuu angekuwa involved
😄😄😄😄😄😄😄😚😚I can't stop laughing although wallai aki wainguru wanauliza am I sick
Hii haikushika vizuri; safari ya mateso kweli!
🤣🤣TT ako na njaa na jamaa hamuoni
Hahahahaha Leo wamenifanya vibaya
Future legend current star 🌟🌟🌟✨💯✨
Asante sana Brother...
Karibu
Naekana saccco ni za kajiado 😂😂😂😂
Hahahaha shukran sana
Hahahahahah tumia hiyo chapati kama Map....kali sana
Am from Tanzania
Napenda Sana kufuatilia t
Tt comedian
Nauliza hiyo stick kwa mdomo ni kusema nini? Tt hako anafanya vzur
TT expecting you high level in coming days
Wazi
Hahahahahhaha tt jamani kuna watu wana roho ngumu hahahaha
This boy is going to kill me 1 day with laughter🤣🤣🤣🤣
Hahahahahhahaha
Happy to see Mzee wa Kofia 🤣😅
Salute
🔥🥰🥰🥰. Congrats TT. One hour late.
TT 😂😂😂 kwani nikipofu 😂
😂😂😂😂big up tt🔥🔥🔥💯💯
Eiiish kama ni mm Tt aki kata na mm pia na kata 😂😂😂
heheheh
Naukipigwa😂😂😂😂😂
🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥😅😅😅😅🤣🤣🤣hataenda mbinguni