MKE WA MSHINDI WA BIL 1 WA SPORTPESA AFUNGUKA MUMEWE ALIVYOKUWA KABLA NA BAADA YA USHINDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 51

  • @nurusanga995
    @nurusanga995 2 роки тому +5

    Ma denis uko vizuri pendaneni na pesa isije ikawatenganisha ila mtatoboa BRAVO!!

  • @jastinmollel9592
    @jastinmollel9592 2 роки тому +1

    Hongera sana Baba Denis Kwa kua pamoja na mke wako pamoja na kupata pesa Bado una mpenda na iwe fundisho Kwa wanaume wengine mkipata pesa mzi wache family zenu MUNGU awabariki sana

  • @amosjuma4536
    @amosjuma4536 2 роки тому +2

    Mungu naomba namm nije kushida Mana nabet kweli Ila naliwa Sana mungu. Naomba unishushie namm niodowe umasikini ulioko kwetu

  • @TipisJoseph
    @TipisJoseph 10 місяців тому

    Concratulation ❤❤❤mm

  • @kendrieckinc
    @kendrieckinc 2 роки тому +5

    Nmependa mama Denis alvyo ongea 🤩

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 2 роки тому +5

    Mama Denis ni commedian anajua kujadithia

  • @abdulmajidikimaro5036
    @abdulmajidikimaro5036 2 роки тому +2

    Hongera sana kk😂😀😀 impressive

  • @kennethyego3750
    @kennethyego3750 Рік тому

    Dah Mama Dennis Kiswahili chako kuzuri kweli, sisi Kenya twatapatapa sana kuongea Kiswahili 😂😂 Pongezi kwa Baba Dennis 🎉🎉🎉

  • @shabansalee4924
    @shabansalee4924 2 роки тому +3

    Kucheko cha ela BWANA 🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣😂🔥🙌💯👏💯👏😂🤣🙌

  • @maphieemanuel3137
    @maphieemanuel3137 2 роки тому +5

    Hahahahahaha jaman huyu mama Denis kanipa Raha kweli anavyoadisia sasa kama vile nilikuwepo

  • @clintonnyaluke1567
    @clintonnyaluke1567 2 роки тому +3

    Hongereni sana

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 2 роки тому +1

    Safi sana mpendane ivyoivyo jamn

  • @shau78
    @shau78 2 роки тому

    pesa iwepo isiwepo ni Baba Denis na Mama Denis. milele. nawapongeza sana. keep staying strong together

  • @Amaniolodi-c6f
    @Amaniolodi-c6f 2 місяці тому

    Mama denis niite boss😂😂😂😂😂

  • @edwinondieki9265
    @edwinondieki9265 2 роки тому +1

    Supportive woman there

  • @TipisJoseph
    @TipisJoseph 10 місяців тому

    Mamá Kelvin pongesi😅😅😅😅😅😅

  • @blessedcaptainkanyi7515
    @blessedcaptainkanyi7515 2 роки тому

    Glory to God. I like your testimonies.

  • @enickosanga4921
    @enickosanga4921 2 роки тому

    Dah noma sana

  • @kelvinnjawike1808
    @kelvinnjawike1808 2 роки тому

    Very supportive wife 💪💪💪

  • @joelkarata9399
    @joelkarata9399 2 роки тому +3

    Hongera kaka Mungu amekukumbuka

  • @prospersanga7942
    @prospersanga7942 Рік тому

    Duuuuh huyu mdada mashallar kw hyo story bless sn kwenu Mama Denise's

  • @saidmauka249
    @saidmauka249 2 роки тому +2

    niite boss😂😂

  • @sadymchawi8853
    @sadymchawi8853 2 роки тому +2

    Big up Sana mwamba

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 Рік тому

    Hili movie iliishia wapi

  • @amosjr2790
    @amosjr2790 2 роки тому +1

    💪💪🙌🙌🙌👍

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 2 роки тому

    Meneja mama denisiiiiiiiiiiii

  • @tommillia7816
    @tommillia7816 Рік тому

    Nice wife...

  • @greatmushisa
    @greatmushisa 2 роки тому

    Behind every successful man there secret painfully story

  • @athumansuphian5891
    @athumansuphian5891 2 роки тому +2

    HAO TRA NIWAIZI TU HAPO WAOSIWAMEASHA CHUKUA KODI YAO WAKATI ANABETI HIZO ZINAWAHUSUNN TENA KAMA SIO WIZI

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 2 роки тому +2

    Michongo dili

  • @jasminealphonce4783
    @jasminealphonce4783 2 роки тому +1

    Sasa kapata pesa omba asikubadilishe wewe maana wanaume balaa

  • @faithhunja3316
    @faithhunja3316 2 роки тому

    Mimi nataka kujua mtu acheza aje hii game

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 2 роки тому

    Hamna kitu.
    Nyote majizi mnapangana hee ili bmuwainoe WTZ

  • @andrewgadimrinji4534
    @andrewgadimrinji4534 2 роки тому

    msiache kumtolea fungu la kumi na shukrani

    • @saidomary3645
      @saidomary3645 2 роки тому

      ushaanza kuwapangia matumizi sasa kama wewe ungetoa vile🤩🤩

    • @andrewgadimrinji4534
      @andrewgadimrinji4534 2 роки тому

      @@saidomary3645 kwa sababu haujui unachoongea...kwa vile hauna dini..fungu la kumi ni agizo la Mungu mwenyewe..

    • @divine6145
      @divine6145 2 роки тому +1

      Sio kwa hela ya kubet

    • @mtwaracity9254
      @mtwaracity9254 2 роки тому

      @@divine6145 fact

    • @mimikimanga3126
      @mimikimanga3126 2 роки тому

      @@saidomary3645 utafikiri yeye kila mwez hua anatoa 😅😹😂🤣

  • @smfkingdom9944
    @smfkingdom9944 2 роки тому

    ua-cam.com/video/EoUNzHZowFY/v-deo.html
    Ka🌴 pombe isikupite hii

  • @lmksdali4222
    @lmksdali4222 2 роки тому

    hiyo michezo ya dili tu hamna mshindi wala ninii

    • @chachawambura4030
      @chachawambura4030 2 роки тому

      Kumbe na wewe una akili kama zangu 😂😂😂Hapo hakuna mshindi wala nini

  • @mfaumehassan8522
    @mfaumehassan8522 2 роки тому

    Acheni uwongo nyinyi

    • @promisetenson7258
      @promisetenson7258 2 роки тому +4

      Tunaobeti ndo tunajua kapiga pesa mm mwenyewe nilikuwa najua ni uongo mkenya aliyeshinda bilion 4 na milion 800 mwaka 2017 ndi aliniamsha na sasa nina vitu vingi nilivyovipata kwa njia ya kubet hata hii cm ninayotumia

    • @saidomary3645
      @saidomary3645 2 роки тому

      mueleze huyo

    • @severinemallya9542
      @severinemallya9542 2 роки тому

      @@promisetenson7258 unafanyaje fanyeje

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 роки тому

    .

  • @tommillia7816
    @tommillia7816 Рік тому

    How much is that in Kshs...
    I Wonder...
    I won 35,000,000 Million kshs na siku enda kwa press conference NGO!
    NILI TOA HELA ZANGU KIMYA KIMYA TUU...

    • @Soon815
      @Soon815 Рік тому

      62,000,000 Million kshs

  • @saudaramadhan5855
    @saudaramadhan5855 Рік тому

    Hongera sana