Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Baba mungu akupe nguvu zaidi
Moja kati ya wahubiri ninaowapenda na kuwakubali hapa duniani ni huyu. Mungu akubariki sana Askofu Kakobe
Mungu awabariki.Mutumshinwa Mungu kitabu hicho tunakihitaji nawafwatilia nikiwa Marekani.Amina
Barikiwa sana Mtumishi
Thanks 🙏
Asante baba nimebarikiwa
THANKS AMEN
Mungu ni mwema na ataendelea kutenda
Ubarikiwe sana
Ni vema kuwa na Yesu kuliko dini ,
Baba nazidi barikiwa nikiwa mwanza
Nawezaje kukipata kitabu hiki by Eliya James nikiwa Airport Dares salaam
Tumebarikiwa
Amen
Naaaaaam,Nuru yang'aa gizani
nawe nikapataje kitabo hicho ?anae na information may type inbox to talk about it
Naomba hicho kitabu nipo makambako
Naomba mnitumie naomba ya Sm tuwasiliane
je uliwahi kupata namba yake
Naombeni mwenye namba ya simu ya Askofu Kakobe tafadhari
Nipateje baba kitabu hiki??
Tunaomba vital tarakea
Naomba kitabu icho jamani