Usiwahi confront mwanaume hata ukiwa na hasira namna gani..av seen two divorces occuring due to that. Wait for ur spouse in the house and talk everything. Men get embarrassed and degraded if u do that. Then gets advices from wale walioskia ukimtusi..na akifuata maahizo yao ndio umeendaga. All the best..u hv a gentleman..kuwa mpole.
🤣🤣🤣🤣Nifute kazi na wewe uende kwenu,, always i will fight for boyychild🤣💪💪💪💪💪na girl child musione tukinyamaza alafu mutuleteee,, tatawablock hadi mujisaree🤣🤣🤣🔥🔥
Ukiona mko kwenye uchumba halafu mwingine ana milipuko ya hasira my friend jitoe for your safety! halafu mbona watu ambao tuko serious tunapatana na watu bang'aa tu
Daaaah hata mm nakuwanga na hiyo asira but mm hua situsi ila tu nanyamaza hadi nitulie hasira iishe ndio nitampigia simu baadaye uzi wa my fiance ananielewa nikiwa na hasira hua anakataa simu after 3hrs ndio a nicall ndio Sasa nimuulize kilicho tendeka but yuko humble so plzzz gyz mnisaidie nifanyeje ndio nipunguze hasira?
😂😂😂 tunafanana!! Niko na bwana mkenya mwenzenu hua nikipanik hua hanijibu chochote!! Hata nimuulize nn!! Ananiambia mpk hasira iishe ndo tuongee! Sasa akiniambia hivo hasira ndo zinazidi tunalala tukipeana migongo!! Usingizi unakuja bas uwiii!! Nimejaribu sana kubadilika Ila nashindwa nikikasirika hua natamani nikule hizi gorofa zote za kenya naniwahamishie bongo!! 😂
Kama ukiona hakujibu na hapokei simu yako bora uachane nae kwa sababu unajiaibisha tu . Kwa tabia hiyo huwezi kuishi na bwana wa aina yoyote. Jirekebishe.
Point of correction ,,,Mary Joan never say ati mi nakuanga hivyo ,,,what???,,,you can change if you want if not marriage will be total trouble please please if you are team marriage secret of keeping a man is to respect him coz men don't like paraaaaaaaaah ...I belt you if you respect him n check your words he will love you like no other ,,men in the house do you agree,???,,,,,anyway Kuna wenye watarusha mawe rusheni nijenge.
Sio mpole ni mkimya haongei, ntu mpole ni yule mnyenyekevu anamsikiliza mdogo na mkubwa anawaheshimu wakubwa na wadogo, anatumwa na mkubwa na mdogo, anawatumikia wakubwa na wadogo huyo ndio mpole, asie ongea ni mkimya tuu sio mpole, naona tu ww dada angu mwache tu huyo ww endelea na maisha yako huyo atakusumbua
Kariuki was wrong ,why block someone you love ,why can't you receive calls from your gf,bf or spouse ? That's shows he is not interested with this girl ...move on girl , kariuki ana mwingine ,hakutaki,upole wa kariuki ni ugaidi
Caro kemunto watching from saudia team saudia mko wapi?? haaaa wewe mama uko na mdomo, yani unafwata mwanaume kazi mjinga sana
Mm cpendi mwanaume mpole,,akikacrika aneza kufanyia kitendo hutawahi sahau maishani mwako...
That man has a golden ❤️ to forgive .May God keep the couplr
Ma shaa Allah this man is one ☝️ of millions
Shida ya hawa watu wapole wenye hawaongi, ni vichwa ngumu sana
Giddy huyo joan akam aolewe na my brother,yeye uanzia kelele kwa gate,kitambo afike kwa nyuma ashafungua ngumi 🤣🤣🤣🤣unaundwa hadi unasema asante
Pwahahahaha
Hahahaaaaa
🤣🤣🤣
Huyu aoe mnyeri naye audwe kisawa
@@tabithawanjirundegwa7861 😄😄😄😄
Like redio patanisho gidi na ghost
team C.R.A comment readers association..mko where
Napenda patanisho sana
Wanawake, hii women’s conference let’s discuss this issue ati ukiwa blocked songa mbele kama injili, inaonyesha hautakikani
Sometimes be silent & let your progress speak for itself...!!!
Nkirote,wameru nomaa..
Gidi uko n kazi sana
Huyo mwanamume haha Jane na huyo musichana kabisa kufata mumewako kasi I kumupa haibu mbele yawensake that is unfere
Kukosana ndio maisha,na mnapokosana,mnaendelea klearn .the only way of relationship is honest and respect.
Karis ako very humble
Number one
Vile Ghost amejibu haraka then unasema siyo hiyo haki Giddy😂😂😂😂
Uje mpaka kazini kwenye nafanya Kazi unitusi in front of my workmates? How can you do that Lady? Lol! I can't have you in my life again.
Tamu sana
Hahaaaaa watu wa mahasira tutakipatapata....na unapata tunapenda kabisaa
Umesema ukweli dear, am among of them
Wacha tu shida
Team 🇸🇦🇸🇦kujeni huku😂😂
Tuko kama tarehe🙄🙄🇰🇪🇸🇦
Tupo Dani Sana
Hahahaha
Jambo jambllee
Giddi must be a joker, ati "opposite attracts"😂😂😂 nakupenda bure Gidii💪💪💪
Leo nmejaribu 😊😊
Nasemanga Mimi ni kasuku lakini huyu amenishida tabia
Primitive very very....
But you should know that when you call someone na number iko busy doesn't mean the other person is on call
No.6 makofi kwangu
This once happened to me
Mbona usishungulike na Mambo yako instead ya kumfwata job na wajua mmeo anakuja jioni nyumba na anakupea kila kitu.Style up dada weweeee 🇰🇪.
It's called LOVE wenye wivu tafteni tent munywe madafu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂
Na kama hakuna madafu kunyweni mnazi
😂😂😂😂 True
Forgiveness and reconciliation is the freedom
Sasa mutakula nini ukifuta mume kazi juu ya vitina ,ukufikiria njia nyingine yeyote ya kusuluhisha hili tatizo🏃♀️🏃♀️🏃♀️🤔🤔🤔
Nilikua na dem ka huyo wah. Nilikiona..😂
Akufukuzae akwambii toka....hati ghost nae anasema actions speak louder than words 😂😂😂😂
Patanisho oyeeeeee !
Daaah huyu ni Mimi kabisa makasiriko ya haraka
Hii dunia ina mambo kweli
Usiwahi confront mwanaume hata ukiwa na hasira namna gani..av seen two divorces occuring due to that. Wait for ur spouse in the house and talk everything. Men get embarrassed and degraded if u do that. Then gets advices from wale walioskia ukimtusi..na akifuata maahizo yao ndio umeendaga. All the best..u hv a gentleman..kuwa mpole.
I wish you guys could do a follow-up 🤔
Mary ako na shida kama yangu tu hata mimi sipendi kuongeleshana na mpenzi wangu na akose kunijibu mi ukasirika haraka sana
Waaah na makhuvaa
Uloli?
🤣🤣🤣🤣Nifute kazi na wewe uende kwenu,, always i will fight for boyychild🤣💪💪💪💪💪na girl child musione tukinyamaza alafu mutuleteee,, tatawablock hadi mujisaree🤣🤣🤣🔥🔥
Aki watu wa comments you'll kill me one deiyoooo😂😂😂😂
Aki watu wa comments you'll kill me one deiyoooo😂😂😂😂
@@annaauyo1958 🤣🤣🤣🤣🤣 niletee upuuzi nakublock🔥🔥🔥🔥🔥si simu ni yangu🏃🏃🏃🏃
@@annaauyo1958 🤣🤣🤣🤣🤣 niletee upuuzi nakublock🔥🔥🔥🔥🔥si simu ni yangu🏃🏃🏃🏃
🤣🤣🤣
Tupo pamoja toka tz
Mimi kiviangu naona pia kijana ako kiburi how comes dem akikukol number busy huku anasema network haimake senc
Very true si bac angemshow hamtaki instead ya kumblack list.
Waa Mary tunafanana
Dada chunga sana
Sijasema ni Mmeru but anaitwa Nkirote.
Woiii spare my rips 🤣🤣🤣🤣mangaaa likes za gid zikam😁😁
Joan n kiherehere sana apunguze maneno 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukiona mko kwenye uchumba halafu mwingine ana milipuko ya hasira my friend jitoe for your safety! halafu mbona watu ambao tuko serious tunapatana na watu bang'aa tu
Even me My ex boyfriend alikuwa mpole shida ilikuwa hasira zangu tuliachana tu
U regret. Give your man peace of mind
Hasira hasara
Ameogopa kushika yuko kwa mwengine
Kwanza aende chooni ndio ashike please
Hold on
Hey 5 karioki
Daaaah hata mm nakuwanga na hiyo asira but mm hua situsi ila tu nanyamaza hadi nitulie hasira iishe ndio nitampigia simu baadaye uzi wa my fiance ananielewa nikiwa na hasira hua anakataa simu after 3hrs ndio a nicall ndio Sasa nimuulize kilicho tendeka but yuko humble so plzzz gyz mnisaidie nifanyeje ndio nipunguze hasira?
😂😂😂 tunafanana!! Niko na bwana mkenya mwenzenu hua nikipanik hua hanijibu chochote!! Hata nimuulize nn!! Ananiambia mpk hasira iishe ndo tuongee! Sasa akiniambia hivo hasira ndo zinazidi tunalala tukipeana migongo!! Usingizi unakuja bas uwiii!! Nimejaribu sana kubadilika Ila nashindwa nikikasirika hua natamani nikule hizi gorofa zote za kenya naniwahamishie bongo!! 😂
Ghost ati waru waru 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu na hasira zake na kuaibisha mwanaume hajamuoa akae akijua huyu hatamuoa,na akimuoa itakuwa ndoa ya shida tupu.
Kariuki usirundi don't come back
Oooh! My God why can't you give me such a man.
Kama ukiona hakujibu na hapokei simu yako bora uachane nae kwa sababu unajiaibisha tu . Kwa tabia hiyo huwezi kuishi na bwana wa aina yoyote. Jirekebishe.
Achika mama kanyaga kubwa kubwa
Joan anakaa mama mzee, so kijana hana Lake
Huyo dada hana adabu kabisaa
Nyinyi u cheka watu
Awesome men are not easy to forgive a Lady like me😆😆😆😆 it takes longtime
🤣🤣🤣🤣 Kirui
@@annaauyo1958 kweli 😁😁
Yap
🤭chunga tempa yako Mum
Kua single ni raha sana
Mwanamke ni kelele
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈🙈🙈🙈
Point of correction ,,,Mary Joan never say ati mi nakuanga hivyo ,,,what???,,,you can change if you want if not marriage will be total trouble please please if you are team marriage secret of keeping a man is to respect him coz men don't like paraaaaaaaaah ...I belt you if you respect him n check your words he will love you like no other ,,men in the house do you agree,???,,,,,anyway Kuna wenye watarusha mawe rusheni nijenge.
Pam huyu hapa ni Quinn c nikiwa kwenye patanisho Leo
He doesn't want you...leave him..he will come looking for you if he still needs you...usijilazimishe kwa mwanaume
Really nigga what are you talking about,, either ulilala darasani wengine wakisoma ama wewe ni kichwa malenge.
@@josephcrew140 devil worshippers....I belong to God
@@gloriatoo22 kumbe wewe ndoo unapeananga Religions didn't know that,, happy dreams my friend
Atleast leo niko mapema
Nkirote ako na hasira za wameru.
Maryjoan hadi kazini surely 🙄🙄hukufanya poa 😏😏
Joan ukiachwa achika tu ukiona mtu amekublock hana shuguli na wewe ameona u can not make a good wife for him.
True
Kabisa
Is called the power of love,, kama hujaipenda I can understand your point, or wewe ni sinia ule wa huyu wa wale.
Am drama queen but a meet very cool guys 🤣🤣🤣
Same here hahahaha
Sio mpole ni mkimya haongei, ntu mpole ni yule mnyenyekevu anamsikiliza mdogo na mkubwa anawaheshimu wakubwa na wadogo, anatumwa na mkubwa na mdogo, anawatumikia wakubwa na wadogo huyo ndio mpole, asie ongea ni mkimya tuu sio mpole, naona tu ww dada angu mwache tu huyo ww endelea na maisha yako huyo atakusumbua
Kwel kabisa
Ukiona vimelea jua imeundwa gidi
Siezi date chali kaa huyo. Wakunizimia simu that lady is desperate
Haki huyo Kariuki ni mpole sana
Haki hii kicheko ya Gost Mulei
Kelele ya mwanamke it will always keep your man off
Napenda sauti ya mary,,anaongea poa sana,,Vile anaongea inavutia sana.
Hizo patanisho zinakuwanga dogo sana
nimetoka kusikiza madmax wacha nisikie huku🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mwanaume mpole anakuanga mbaya Sana usimchezee
Sasa hiyo ndio kukosa adabu
Penzi halina makombo ati😆😆ashura Machupa anasema ulichezea shilingi shimoni imeshakuponyoka🙂🙂
Huyu mwanamke
Drama queen Mary waw, but hawa majamaa wapole ndo ni wambaya sana.....
Wambaya sana very true.wangu ni mpole sana en I really regret ni vle naogopa kuachanisha hii ndoa my 3kids watateseka😭
@@naimawambui2822 Helloo what your IG handle
Meru na kisii hasira mengi waliumbwa hivyo?
How mwanaume afutwe na job ni ya mwanaume
Kwani waru waru hupoteza network😂😂😂
Watu wapole hatuongeangi mingi...once mmetukosea ni hvyo
Kariuki was wrong ,why block someone you love ,why can't you receive calls from your gf,bf or spouse ? That's shows he is not interested with this girl ...move on girl , kariuki ana mwingine ,hakutaki,upole wa kariuki ni ugaidi
Hi yaleo nikali
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂sipendi wanaume wapole aki😂😂😂😂Huyu sikumoja anaweza pandwa na hasira akumalize ghaiii mwanaume mzuri ni mtu anawachilia slap
🙆♂️🤣🤣🤣
I don't like watu kama hao mwanaume kwanyumba na haongei nonononono?
The guy is so my guy.. Utaropokwa ukichoka unyamaze, yee atakuangalia tu
Mine too ,Unyamaza hivyo mpka nashindwa what is wrong with him so mm umchokoza ili achangamke.
Ghost hiyo kicheko inauanga
Akufukuzae hakwaambii toka...wacha nisugue Hamam kwanza...mengine badaye
Team Bahrain tuko ndani kabisaa😁😁