VLOG| likizo 🇹🇿 mafuta mazuri kwa ngozi na cleanser, foundation original wai kabla havijaisha😘

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 45

  • @barikikaroli6088
    @barikikaroli6088  3 роки тому +1

    Karibuni tena wapenzi kwenye video nyingine.
    Ninafuraha kuwambia kwamba kuna vitu ambavyo nauza kwa bei ya kawaida sana
    mafuta, sabuni aloe Vera gel, sabuni ya kunawa uso ( facial cleanser) foundation
    Ila vitu ni kidogo kwahiyo wai mapema😘
    Njoo instagram ndo nimepost kila kitu kwa jina
    Instagram: kutibu__chunusi
    Kama hauna instagram niambie nitakutumi picha WhatsApp
    Nitafurahi sana kuonana na nyie pia 😘

    • @officialzu3772
      @officialzu3772 3 роки тому

      Mbona nineishac hilo jina my hakuna kutibu chunusi

  • @Kenchiyh
    @Kenchiyh 3 роки тому

    mi trip moja tu nilipata safari na my brother and dad ilikua more fun kuliko kusafiri alone

  • @lydiangishu695
    @lydiangishu695 3 роки тому +2

    Enjoy your vacation and ukiwa TZ salimia wakenya wenzangu

  • @agnesflorentin263
    @agnesflorentin263 3 роки тому

    Iyo cleancer ya Cetaphil kwa Tanzania inapatikana wapi

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 3 роки тому

    Uwiiii umenitamanisha kwenda dar aise nakutakia safari njema mpenzi

  • @Kenchiyh
    @Kenchiyh 3 роки тому

    ivi covid test ni bora kupima one day before the flight? au inategemea na mda wa results kurudishiwa ?

    • @ddkisa944
      @ddkisa944 3 роки тому

      Inapendeza ukifanya pcr ndani ya masaa 24 kabla ya flight kwa sababu huwa test inakuwa valid for 72 hours

  • @MohammedAli-vq2dk
    @MohammedAli-vq2dk 3 роки тому +1

    Na mm soon nakuja dar

  • @LifestylewithLyne
    @LifestylewithLyne 3 роки тому +1

    Mimi jinsi wanapima Corona kwakweli nitasubiri tu kusafiri uwiiii naweza ruka

  • @chemistrigiki731
    @chemistrigiki731 3 роки тому +1

    Umepata chanjo kabla ya kuja dar?

  • @gracesamson2441
    @gracesamson2441 3 роки тому +1

    Naitaji dear uso wangu Wa mafuta

  • @anglealex364
    @anglealex364 3 роки тому +2

    Bariki ntapata lotion ya kunitoa Darksport

  • @hadassahmakuna7954
    @hadassahmakuna7954 3 роки тому +1

    Nilikumiss Sanaa nibamuda sijakuona nimefurai

  • @flavafleury
    @flavafleury 3 роки тому

    😉👍

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 3 роки тому +1

    Da bariki nakupenda bure

  • @nadiabakari2589
    @nadiabakari2589 3 роки тому +1

    Mbona sijasikia km umekuja? Vipi usharudi au bado?

  • @nasrasadick3365
    @nasrasadick3365 3 роки тому +2

    Jaman ntakumic

  • @officialzu3772
    @officialzu3772 3 роки тому +1

    Mashallah❤️

  • @hamisahodari9229
    @hamisahodari9229 3 роки тому

    Sweden to Dar unatumia muda gan dear

  • @annabrown3315
    @annabrown3315 3 роки тому +1

    Waooo welcome dear

  • @zainabzz7241
    @zainabzz7241 3 роки тому +1

    We dada nakupenda bureeeee👌👌

  • @hellensahani7578
    @hellensahani7578 3 роки тому +1

    Bariki umeshafika dar? Nami niko dar

  • @judymoraa4220
    @judymoraa4220 3 роки тому +1

    Safe flight

  • @rentadelilah
    @rentadelilah 3 роки тому +1

    Video fupi jamani...

  • @salomemsangi3752
    @salomemsangi3752 3 роки тому +1

    Namimi nataka ngozi yangu ni yamafuta

  • @monicamagesa8571
    @monicamagesa8571 3 роки тому +1

    Tunapataje Sasa Kama mim mwanza

  • @esterbenard4069
    @esterbenard4069 3 роки тому +1

    Tunaomaba uwe na wakala