Shirika la Reli ladai taarifa kuhusu kununuliwa injini za diesel kuendesha SGR ‘Ipuuzwe’

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 41

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po День тому +2

    Kenya kumamazenu woteee mamaezenu

  • @DonaldkilianiMmbaga
    @DonaldkilianiMmbaga День тому +5

    Tulikua na kiongozi mwenye maono ila amkutaka kumjuwa vizuri ila alikua ameona mbali sana

  • @edwardkagombora3782
    @edwardkagombora3782 18 годин тому +2

    Aliyetoa taarifa vipi amechuliwa hatua

  • @James-sz4ec
    @James-sz4ec День тому +3

    Daah hii nchi hakika inaitaji maombi tuna mtela songas Julius nyerere still umeme hautoshi serious tuanze kutumia diesel tena tuna toka kwenye usasa tunaludi nyuma au ni upigaji mbona huyu mama mnataka kumpa presha mabilioni hayo anayo yamwaga kwenye mradi bado mnashindwa kusimamia au ndo mnataka diesel ionekane shilika linaendeshwa kwa hasala viongozi mlopewa dhamana mjitasimini sana hili shilika linapaswa kulindwa kwa namna yoyote ile sasa mshaa anza kupewa lushwa muhujumu mladi

  • @salama1113
    @salama1113 День тому +2

    😂😂😂😂😂Hii sinema ya bongo muigizaji dude

  • @EriyaRichard
    @EriyaRichard 23 години тому +3

    Tatizo kubwa linaanziaga hapa mwenye maono yake akiwa ayupo aliye anzisha waliyo baki wana kuwaga hawana akili ya kuendeleza miladi iliyo achwana mwanziloshi wake.

  • @kamazima11
    @kamazima11 День тому +5

    BBC ni Adui mkubwa wa waafrika na maendeleo yake 😊 roho inawauma wazungu na wakiwatumia wakenya kufanya kazi hii ya kuchafua chakusahangaza Tanzania wana kila kitu cha kuweza kuwa na umeme wa uwakika shida ipo wapi? Nani anafanya Mchezo huu? Serikali inashindwa kujipanga kusimamia uendeshaji wa hii train? Inashangaza sana pia?

    • @skateweaver
      @skateweaver День тому +1

      Kabisa

    • @FredWabwire-w3q
      @FredWabwire-w3q 18 годин тому

      Uwezilala bila kutaja Kenya? Kenya nimamako? Ng`ombe nguruwe wewe.

  • @profiler883
    @profiler883 День тому +1

    Kumekuchaaaa 😂 mitano tena. Niliona hii taarifa kwenye the citizen nkasema lazima TRC wata kana taarifa tuu

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji День тому +1

    Dah hii kali dizeli tenaaa😅😅😅😅

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 17 годин тому

    Tusiilamu bbc alietoa habar za injini ya diseal ni nani ni bbc wenyewe au ni mkurugenz kadogosa

  • @MariaGrass-k1k
    @MariaGrass-k1k 22 години тому +1

    SNS KAZI RAHISI NI KUENDA KUANGALIA BAJET YA SERIKALI UTAONA

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v День тому +2

    Lisemwalo lipo n kam halipo bc linakuja tayari hyo

  • @jumamasele5793
    @jumamasele5793 21 годину тому +1

    Mhhm co umeme tena mbona celewi

  • @RobsonLugomi
    @RobsonLugomi 20 годин тому

    Kumbe tren ya umeme unaweza tukumia umeme sijawahi ona 😅😅😅😅

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 18 годин тому

    Sasa mlikuwa wp mda wote nakwnn isiwe gesi wakat gesi ipo ya kutosha kudhalilisha taifa tu

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 20 годин тому

    Mbeba maoni kafa.......ndo mwazo wa kufa mabilioni yanaenda kupoteza watu wanamirafi ya mabasi na marori.............

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul День тому

    Diesel kama wakenya 😂😂😂😂

  • @deobenedictakyoo3140
    @deobenedictakyoo3140 16 годин тому

    Haaaa😮

  • @francisakatsa3178
    @francisakatsa3178 День тому +1

    Hawana umeme itabidi watumie dizeli

    • @ditaely7309
      @ditaely7309 19 годин тому

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @stanleymartin2943
    @stanleymartin2943 День тому

    Lkn power bank c zipo

  • @yusufuosman8966
    @yusufuosman8966 День тому

    Wamesema upo umeme wakutosha sasa haina maana ya teen ya umeme baada kwenda mbele Wana rudi nyuma.

  • @joshateka1396
    @joshateka1396 День тому +2

    Tanzanians think they are much smarter than Kenyans.now see what is happening

    • @esem135
      @esem135 День тому

      I kept telling them when they were mocking Kenyans. In fact Kenya's train can be converted to electric. The choice to use diesel was because Kenya did not have adequate electricity. But that did not mean Kenya's train was bound to be only diesel-operated. It will not be shocking if TZ actually opt to use diesel. These SGR trains can use both diesel and electricity. TZ thought they were smarter. Their train even stalled twice on the day of the launch. And it keeps stalling. Their noise after they launched their SGR is what will trigger Kenyans to mock them after looking down on Kenya's diesel SGR. And you know how brutal Kenyans can be. Kenyans will give them 100 times the mockery after what they have been doing to Kenyans. And then they will cry foul like they always do!!

    • @christopherjoseph8330
      @christopherjoseph8330 День тому

      False information

    • @stevenlugojeremia2323
      @stevenlugojeremia2323 День тому

      Hizo ni proper gander za wakenya na BBC

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro День тому +3

    BBC Swahili Kenya ndio wa Propaganda wapotoshaji

  • @esem135
    @esem135 День тому +1

    Mtajua wakenya hawakuwa wajinga kutumia diesel kwa SGR yao!! Pia SGR ya Kenya inaweza kutumia umeme. Ni vile Kenya ilijua itakuwa na tatizo la umeme ndio maana wakaamua kutumia diesel. Watanzania, musdnagyike na chuki yenu kwa wakenya kudharau wakenya!! Mmetukana wakenya sana vile treni yenu na ya umeme na inakwama kila mara kwa sababu ya kupotea kwa umeme!! Kenya wana umeme mwingi kuliko TZ. Lakin Kenya ilichagua kutumia diesel mwanzoni na kubadilisha baadayw!! Zidini kujipiga kifua mkidhani ni TZ pekee ina maendeleo kuliko Kenya. Mtashangaa!!

  • @HurumaNdele
    @HurumaNdele День тому

    😅😅😅😅😅😅😅

  • @dunkchainz7237
    @dunkchainz7237 20 годин тому

    😂

  • @vt-kn6qf
    @vt-kn6qf День тому

    Economy war fair, this is propaganda kwasabu tuu maedeleo hao yanawauma wamagharibi lazima watumia kila njama ya kuaribu hisia za wanaichi the information war fair msizani hiyo hatuwa wanaipenda hata marekani 🚆 kama hiyo

  • @AminaHassan-r2f
    @AminaHassan-r2f День тому

    😂😂😂😂

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 22 години тому

    BBC ni propaganda media Tu amna jambo tunawajua

  • @ahamadiyusuphu6011
    @ahamadiyusuphu6011 День тому

    Mbona tunazidi kuwa wajinga ....