@@m.mmarckus6298 😂😂😂eeh mtu akimchukia Kibibi ajikatae tu kwanza huyo Habiba ana roho mbaya alitakaga kumuua mtoto wa Kibibi wamesahau pia yeye ndiyo alikuwaga anampotosha Miraji
@@rosemahenge9071 kwahiyo mkuki kwa nguruwe.hivi unajua Fabrizo wetu atafungwa maana kibibi katupa watu kila kona wakumfatilia Sada.kiukweli kibibi ndoto yautajiri aliyoitaka aliipata lkn pesa zote anazitupa kuwatesa watu zinafanya kazi isiyo namaana
Dah habiba umeyataka acha yakukute sada alikwambia ila hukumsikiliza maskini weeee kibao kimekugeukia mwenyewe ila mungu mkubwa dah! pole anty biba
Roy kama dawa zinaaza kuisha
😭😭😭😭😭😭Anty Biba, kibibi Mungu anakuona
Tesa kapendeza lkn na tima 😅😅
aunty habiba uliyataka Mwenyewe 🙆♀️
Next video plz
Faraja kawa nani eti😅😅
Aunt Habiba Nate kisiran ameamua kuropokwa yote
Habiba mwana kulitafuta mwana kulipata🤣🤣
Jamani tumechoka na kibibi mbna yy tu kila upandee
Jb afanye kitu ammalize
🤣🤣🤣ndiyo sitering mkae kwa kutulia
@@rosemahenge9071 atupishe
@@m.mmarckus6298 😂😂😂eeh mtu akimchukia Kibibi ajikatae tu kwanza huyo Habiba ana roho mbaya alitakaga kumuua mtoto wa Kibibi wamesahau pia yeye ndiyo alikuwaga anampotosha Miraji
@@rosemahenge9071 kwahiyo mkuki kwa nguruwe.hivi unajua Fabrizo wetu atafungwa maana kibibi katupa watu kila kona wakumfatilia Sada.kiukweli kibibi ndoto yautajiri aliyoitaka aliipata lkn pesa zote anazitupa kuwatesa watu zinafanya kazi isiyo namaana
Yani kibibi una loho mbaya sjapata kuona
Masikini habiba haki kibibi ww mbinguni hutoingia 😭😭😭
Sada alimwambia aende taratibu
Hahaha Ila Nelly jaman😂😂😂
Kweli hizo ndiiyo Sheria za tz mmeshindwa kuzificha mnazionyesha wahalifu Wana haki
Maskinii habibah
Namchukia kibibi jmn na huba iishe sasa jmn inatuchoka bhan
Kwann huwa mnatuma kidogokidogo
Nelly hana shep😀😀😀
No
😭😭😭
Bibaaa umelikorogaaaa
Nelly umezid
Kibibi n mtu mwingn
Masikin. Habibi. Kafugwa. Sada. Ari kwambiy. Kibibi. Ana. Tumiya. Pesa..jaman😭😭
Habiba aliambiwa kibibi alijua anachokifanya akahamisha sm
Makubwa JB kilingeni.