JANGWANI BAADA YA MVUA TABU NI ILEILE, HAPAPITIKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @mikaelchazi4616
    @mikaelchazi4616 11 місяців тому +2

    Mungu awasaidie mpone na mafuliko

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 11 місяців тому +1

    Jangwani nani alaumiwe
    1) engineer wa mwendo kasi kimara gerezani pamoja na watendaji wake
    2) waziri wa ujenzi wa kipndi hicho
    3) meneja tanrodi wa kipndi hicho
    4 mfugale
    5 kikwete
    Hao ndio waliofanya jangwani iwe hivi mpaka leo Mungu anawaona
    Ila 6 nyie mliobuni mradi wakuweka skaveta12 zikae hapohapo nanyi Mungu Anawaona

  • @MNHAMAOFICIAL
    @MNHAMAOFICIAL 11 місяців тому

    inshallah allah akumbukwe

  • @ZahirAlly-p2u
    @ZahirAlly-p2u 11 місяців тому +1

    Serekali iweke daraja kutoka mapipa mpaka faya tofauti na hivo hiyo hali haitoisha

  • @mohamedsalum9465
    @mohamedsalum9465 11 місяців тому

    Mabonge baka kujieleza shidaaa

  • @AsiaSaleh-yf9cr
    @AsiaSaleh-yf9cr 11 місяців тому

    Ningekuwa naweza kusikika hapa ndipo ilitakiwa fly over ianze kujengwa kuna wanafunzi wafanya kazi eote wanapoteza umuhumu wao mama liangalie tunakuamini

  • @HRCopexcontractors
    @HRCopexcontractors 11 місяців тому

    Kaeni kwa kutulia

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 11 місяців тому +1

    Ccm oyeeeee

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 11 місяців тому

    Maana hata balozi tu wa nyumba 10 asinge weza kukubali kujenga hitendi la mwendo kasi jangwani afu Aache kujenga daraja hapo naamini hata teja wakipindi kile angeulizwa chakufanya asingekubali kilicho fanyika so Tujengeeni daraja

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 11 місяців тому

    Lijengwe Daraja la Chuma la Kijeshi hapo ndio Sululisho!

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 11 місяців тому

    Hii ndo serikali sikivu miaka nenda rud jangwan Ni tatzo,na wako dar miaka yote,

  • @goodramamwanyombo6756
    @goodramamwanyombo6756 11 місяців тому +1

    flyover ni muhimu sana , ili kutatua tatizo !

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 11 місяців тому

    Maandamano ya chadema yaanzie hapa, hii hatari kila mwaka tatizo ile ile?😢

  • @BagramenshZuma
    @BagramenshZuma 11 місяців тому

    Serialism acheni siasa pajengwe jangwani ukarabati sio sulihisho mmeahidi kila kukicha ila watanzania hatuoni utekelezaji acheni kuwafanganya watanzania msiwafanye kama hawana akili

  • @mjemamjema9695
    @mjemamjema9695 11 місяців тому

    WATU WAMEONGEA SANA MAMBO YA JANGWANI. CCM SHINGO NGUMU

  • @NeemaKayinga
    @NeemaKayinga 11 місяців тому

    wanawaambia kila siku wahame hawasikiii

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 11 місяців тому

      unamanisha kuhamisha Bara bara

    • @KulwaGuga
      @KulwaGuga 11 місяців тому

      ​@@kwisa4899amekulupuka huyo😂

    • @daniellagianna-ll3dc
      @daniellagianna-ll3dc 11 місяців тому

      Mnavyoongea watu wahame,huwa mnajua na kipato cha Maisha cha hao watu au swala la kuhama mnalizungumziaje?Alafu serikal isiruke majukumu ake.
      Watu wanaenda wanajenga sehemu hatarisha hawasemi wala kuzuia mwisho wa siku wanapeleka umeme,Maji n.k lakin Mafuriko yakitokea ndio wanakuja na sera za kusema watu wahame wanakaa mabondeni.