WAKILI WA MAHKAMA KUU || OMAR SAID SHABANI || AWAFUMBUA MACHO VIJANA WA ZANZIBAR JUU YA MUUNGANO

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 13

  • @user-hu4sd7bg8n
    @user-hu4sd7bg8n 19 годин тому

    Ndio baba. ❤❤❤❤❤

  • @SleimanMsellem
    @SleimanMsellem День тому

    Upande mmoja tukae act upande mwengine wakae ccm

  • @OTHMANEvra
    @OTHMANEvra День тому

    Tunataka kongamano na ccm

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 День тому

    Wazanxibar wanataka kula yani chakula sio story

  • @OTHMANEvra
    @OTHMANEvra День тому

    Tutaka kongamano na ccm

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu День тому

    Napia hawamtaki wanamtukana kukicha

  • @SleimanMsellem
    @SleimanMsellem День тому

    Nawashauri act wazalendo ngome ya vijana tufanyeni midahalo na ccm katika hoja za maendeleo ya znz kuwepo n judge kuwepo n media kuwepo n vyomb vya usalam ili kutoa elimu y kweli kwa wananchi

  • @alitwaqwa739
    @alitwaqwa739 День тому

    Siasa haifai muda wote walikua wapi hakuna lolote litakalokua nilazima tuwache huhuu ujinga wa kuwanufausha watu walio tufanya sisi mitaji tusipotezeane muda miaka ishakua mingi hakuna lolote huyua anaesema yeye ni wazir

    • @user-bl1jq7hj9k
      @user-bl1jq7hj9k 23 години тому

      usione kama unadanganywa kutafuta haki ni process ndef wee chukulia mfano senega t wapinzani walipambana Kwan muda gani wafikiria lakin sas hivi siyo wapa madarakani kwahiyo ucivunjike moyo mungu anaweza kufanya lolote tunatakiwa kuwa na Subra t

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni День тому

    Huyu mwenyewe ni ccm hana lolote

  • @issahajjiira5411
    @issahajjiira5411 День тому

    Nyote ccm

    • @w4058
      @w4058 День тому

      Hahaha mtu akiwa hana hoja hubaki na dhana zisizo na mashiko

  • @w4058
    @w4058 День тому

    Hakuna anaetukanwa acheni reputation zenu hebu kuweni na akili anaambiwa kweli na ndio kazi za upinzani