Neema Mwaipopo Afunguka Mengi Ndani Ya "WATAFUTENI" Bishop: Gaudence Pius Mihungo Vol.2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @josephmakore
    @josephmakore Місяць тому

    Asante sana mtumishi wa MUNGU. neema nyimbo zako zilinisaidia. na zilinitia moyo sana.
    Nimoja ya sababu yakufika vihi Sasa Leo.

  • @elizabethmwende5659
    @elizabethmwende5659 Рік тому

    Asante Mwaipopo nilipigana sana na maama halisi ya msanii. Being an artist means it's your own composition and mot the work of the holy Spirit. Kaa na Roho dada. Elizabeth from Kenya.

  • @SteveNyombo
    @SteveNyombo 10 місяців тому

    Rahaaaaa jipe mwenyeweeeeee!!!! Moyo wangu ninafurahaaa

  • @rehemanmmari
    @rehemanmmari 4 роки тому +1

    Unanifurahishaga sana Neema wewe ni jembeee ulikuja na raha jipe mwenyewe sasa niache hunijui safi sana nakupenda Ney wangu😘😘😍

  • @evalineokuku8108
    @evalineokuku8108 2 роки тому

    Mungu akuinue zaidi dadangu

  • @cathymbula3188
    @cathymbula3188 4 роки тому +1

    Napenda sana Nyimbo zake Neema Mwaipopo.Mungu azidi kumuinua juu sana kabisa

  • @devothamasaki5513
    @devothamasaki5513 4 роки тому +1

    Nakupendasana Dada Mimi shabiki baabkubwa kwangu nikama kwako maana nyimbozako zinarindima kilawakati

  • @rhodanzinza6773
    @rhodanzinza6773 4 роки тому +2

    I had really missed to hear from you woman of God i love the gift n grace upon your life God bless and keep you safe

  • @ruthmateleka5613
    @ruthmateleka5613 4 роки тому +1

    Nampenda Sana'a sanaa

  • @moraaontiri4082
    @moraaontiri4082 4 роки тому +1

    Your songs blesses me so much may God bless you dear Neema sipati picha

  • @MisangoMusic
    @MisangoMusic 4 роки тому +1

    You are a blessing to many Neema.

  • @winniengesa9421
    @winniengesa9421 4 роки тому +3

    Very powerful....Neema God bless you

  • @joshuaowiti6143
    @joshuaowiti6143 4 роки тому

    Mtumishi Nehema ,nyimbo zako zanibarji sana karibu mishomoroni Mombasa tena ubarikiww

  • @agnesnabalayo4041
    @agnesnabalayo4041 4 роки тому +1

    May the Favour of the lord be upon u always.

  • @monpere823
    @monpere823 5 років тому +2

    Mungu akubariki Sana baba kwa huduma yako

  • @SteveNyombo
    @SteveNyombo 10 місяців тому

    Na penda sanaaaa nyombo zako

  • @angelakiswili3403
    @angelakiswili3403 4 роки тому +1

    Barikiwa sana Mum Neema.Raha jipe mwenyewe...I like the song.

  • @violetteniyonzima7712
    @violetteniyonzima7712 4 роки тому

    Nakupenda sana dada Nema kwahuduma unazozitowa 🇨🇦🇧🇮pote hapo tunaku penda sn

  • @keeptimenimrod3770
    @keeptimenimrod3770 4 роки тому

    Amina, watu wanatoka mbali jaman

  • @monicakihanza1652
    @monicakihanza1652 5 років тому +2

    Be blessed Bishop

  • @danielkwilemba4715
    @danielkwilemba4715 5 років тому +2

    Barikiwa

  • @bonifacewambura498
    @bonifacewambura498 5 років тому +1

    Barikiwa mtumishi

  • @jacksonmalota2995
    @jacksonmalota2995 5 років тому +1

    Barikiwa baba kwa uduma

  • @witnessphilipo691
    @witnessphilipo691 5 років тому +1

    Barikiwa my dad

  • @paulmwati7539
    @paulmwati7539 4 роки тому

    Amen kweli ubarikiwe mama Mungu akuzidishie zaidi

  • @dicksonmalota776
    @dicksonmalota776 5 років тому +1

    Ni kipindi cha Baraka sana kiukwel

  • @ernestkitundu9714
    @ernestkitundu9714 4 роки тому

    Tunaomba nyimbo yake ya fungeni mkanda autoe video tuliupenda sana

  • @albinahaule6325
    @albinahaule6325 5 років тому +1

    You look smart Dad

  • @joshuaowiti6143
    @joshuaowiti6143 4 роки тому

    Dada Neema Kanisa ya KLPT yamanisha nini in full

  • @Graduation2024Live
    @Graduation2024Live Рік тому

    Acha kuongea sana tunataka kumsikia mgeni sio wewe mwenye video

  • @josephkairu1544
    @josephkairu1544 Рік тому

    Let neema do much of the talking.kindly don't keep on cutting her now and then.