TUNU MWENDESHA BAJAJI ALIYEFANIKIWA KUJENGA NYUMBA YA ZAIDI YA MILIONI 30 NA MIRADI MINGINE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Tunu Ndege ni Mkazi wa mkoa wa Mara aliyeanza kazi kwa kuajiriwa kwenye kiwanda cha Samaki na badae kupata mtaji wa kununua pikipiki, alifanya kazi ya bodaboda kwa miaka kadhaa na kufanikiwa kununua Bajaji, Amejenga Nyumba anaduka la rejareja na miradi mingine, fuatilia makala hii kwa undani zaidi. Mtayarishaji Gigwa Mhule, MpigaPicha na Mhariri Picha ni Lucas Maziku, Jarida Maridhawa liliruka Star Tv

КОМЕНТАРІ • 8

  • @khadijakisingo7920
    @khadijakisingo7920 3 роки тому

    Safi Sana nimependa mno

  • @muhsinsalum2305
    @muhsinsalum2305 4 роки тому

    Hongera saana dada tunu.

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому

    Hy Mmama mmoja anawivu eti mwanamke kuendesha bajaj cy kz yk

  • @esterchristian7651
    @esterchristian7651 5 років тому

    hongrea sanaaa

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 Рік тому

    Wa tz washambatu tulizoea umbea mwanaume ndio alete pesa sasa tunapambana adi wanawake

  • @mariamtzd2890
    @mariamtzd2890 3 роки тому

    Yuyomwna mke ongera dureva wabajaj

  • @rehemabonza4529
    @rehemabonza4529 4 роки тому

    Huyo mama anaeleza kuwa mwanamke siyo jasiri, nataman nimchape vibao

    • @morjanoman5181
      @morjanoman5181 Рік тому

      Niwivu alonao nchi za waarabu madereva wengi wanawake uku nijambo la kawaidatu