Family TODAY, Esther Nasuwa, Wilbroad Mastai: The Role of a Father in the Family and Society

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 5

  • @loycep7785
    @loycep7785 2 роки тому

    Amina mchungaji Mastaar Ubarikiwe sana
    Yaani ktk ndoa zetu kama tungelidhika Neno na tukakaa ktk nafasi zetu kama Mungu alivyotuagiza ndoa zote Duniani zingekuwa na Amani

  • @kissamwamwitwa4540
    @kissamwamwitwa4540 Рік тому +1

    Bwana Yesu asifiwe. Nimependa Sana kipindi hiki kitaponya ndoa/family za wengi.
    Kuwa Wana ndoa ambao nimeshuhudia wengine wanaanza vizuri kuweka kipato chote kwa pamoja, lakini baadae mmoja wao ana misuse kipato hicho. Na migogoro inaanza na ndipo wengine wengi huanza kujitenga hiki changu hiki chako. Je hili linawekwaje? Maana ni kinyume na makusudi ya Mungu.

  • @ZittoKundaeli
    @ZittoKundaeli 10 місяців тому

    Ameeeeen sana

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 Рік тому

    Mama mchungaji hiyo rangi huko kichwani iondoe. Haimtukuzi Mungu. Inashusha hadhi yako na ya Mchungaji. Pili, acha kudandia mazungumzo. Waache hao watumishi waongee mpaka wamalize.

  • @CalistNyaku
    @CalistNyaku Рік тому

    Mama mchungaji, Nia Yako ni njema,ila lugha mnayoitumia mtawafanya wengi wasiwaelewe! Chagua lugha eitha kingerea au kiswahili.