🚨Kocha Julio Afunguka Kinachoendelea Kambini,kocha hamtaki Onana,anahitaji no 10 Mpya.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • #football #alikamwe #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #ahmedally #simba #simbatanzania #simbaislive

КОМЕНТАРІ • 19

  • @islamIbrahimmussa
    @islamIbrahimmussa 2 місяці тому

    Bora mzee julio umeongea vzur

  • @MichaelMwandola-jr1bf
    @MichaelMwandola-jr1bf 2 місяці тому

    Km kweli anafanya hivyo basi viongozi watatuelewa kwann tulisema abaki kramo na sio onana maana onana mpira anaujua ila anadeka km watoto wadodo au km wanawake

  • @musamsangi1610
    @musamsangi1610 2 місяці тому

    Hawa wachambuzi njaa kweli timu sio lazima kucheza mechi za kirafiki Simba tumuachie kocha anajua zaidi.

  • @saidsoudamiri4054
    @saidsoudamiri4054 2 місяці тому

    Kwani msimu mzima timu inajiandaa kucheza mechi mbili tu.

  • @abuuaisha9095
    @abuuaisha9095 2 місяці тому

    Uchambuzi maandazi..!!Kucheza na Timu ya Daraja la 2 sio hoja kwenye mechi za pre season..!!Ndo maana kina Bayern Munich wanacheza na Timu za madaraja ya chini! Hata Leicester hali kadhalika..!! Vipi kuhusu timu za Taifa ambazo hukutana wachezaji wageni na kocha mpya pia..? Ingekuwa ni kujipima na timu ngumu baadhi ya timu za Ulaya zisingecheza na timu dhaifu..!! Kuweni weledi Acheni umaandazi..!!

  • @ramaseta6362
    @ramaseta6362 2 місяці тому

    nyinyi watangazaji wa hiki kipindi kweli ni michezo mbona siwaelewi mnatangaza hovyo

  • @kassimamiri4131
    @kassimamiri4131 2 місяці тому

    Dada si uchambuzi umepita we unarudia nini? Acha miyeyusho

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 2 місяці тому

    Onana aende

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 2 місяці тому

    Chamsingi ni matokeo , muunganiko badaye hivyo point 3 @ mechi ni muhimu na muunganiko utakuja taratibu

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 2 місяці тому

    Siwanafanya mazoezi @ siku

  • @AshaShariff-lr6ry
    @AshaShariff-lr6ry 2 місяці тому

    Timu ya taifa mbona wachezaji wanatoka sehemu mbalimbali na mbona timu zinashinda

    • @dreadlocksspecialist7195
      @dreadlocksspecialist7195 2 місяці тому

      Kiwango cha ushindani national team na vilabu ni vitu viwili tofauti timu za taifa zote zinaitwa once hata hivyo timu zinazopata wachezaji kuanzia saba kwenye timu zao za taifa kutoka club moja hufanya vzr zaidi tulieni maendeleo hayaji kama radi kutoka kwenye wingu la blue

  • @gamakykyara4295
    @gamakykyara4295 2 місяці тому +4

    Swala la Simba kuwa na wachezaji wapya si jambo la kuhofia. Mbona timu za taifa wanaitwa kutoka kabla mbalix2 na nchi tofauti na wanafanya makubwa? Simba ni timu ya Taifa ya CUF la Tanzania.

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 2 місяці тому

    Ww Julio c mtu mipira miezi miwili watu wazima wasishike flsafa ya mwalimu

  • @RobatAllaya
    @RobatAllaya 2 місяці тому

    Kwani Kuna nchezanji ambaye hujui mmjukumu yake

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 2 місяці тому +1

    Kwahy timu za taifa Zina kaaga miaka mingap??yaaaan wachambuz wa mchongo bn

    • @Dhulqarnain-qc6gz
      @Dhulqarnain-qc6gz 2 місяці тому

      Timu za Taifa ni watu wanaojuana wanaongea lugha moja ni kama ndugu

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu 2 місяці тому

      @@Dhulqarnain-qc6gz kujuana au kuongea lugha Moja sio muunganiko wa timuu!