Ni kipindi bora sana I wish dada zetu wanaokesha tiktok wangeshtuka waje uku waje waskilize girls wenzao wanatoa elimu bure wangekuja kushare mawazo Yao lakini nasikitika sioni comment ya dada zetu 😢sad generation... Mungu awabariki dada zangu kwa kuandaa hichi kipindi godbless y'all again
Khadija mzee napenda kukuita reiyaan uishi Sana Dada ukiambatana na mweny jina la mtoto wangu wa kwanza wa mwaka 2027 uishi sana pia kwa ajili yetu 🌹🌹🌹
Ni kipindi bora sana I wish dada zetu wanaokesha tiktok wangeshtuka waje uku waje waskilize girls wenzao wanatoa elimu bure wangekuja kushare mawazo Yao lakini nasikitika sioni comment ya dada zetu 😢sad generation...
Mungu awabariki dada zangu kwa kuandaa hichi kipindi godbless y'all again
Nipo hapa na wawakilisha nitawaambia
Khadija mzee napenda kukuita reiyaan uishi Sana Dada ukiambatana na mweny jina la mtoto wangu wa kwanza wa mwaka 2027 uishi sana pia kwa ajili yetu 🌹🌹🌹
This is the most good topic you guys ever made and I really enjoyed listen and educate my self .. God bless you girlss.. love from USA 🇺🇸
Nataka kuliza madhara ya kutumia sindano ni yapii❤