AHLULMADINA WAJUTIA KUHAMA QADIRIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • QADIRIA WAKIONYESHA VIPAJI VYAO LIVE

КОМЕНТАРІ • 81

  • @salhahaji8730
    @salhahaji8730 4 роки тому +1

    Ahlulmadina ni zaid ya qadiria maana hapo mm sijaona cha ajabu

    • @hafidhakhamis5924
      @hafidhakhamis5924 4 роки тому

      Ulicho kicema ni kweli mm pia cjaona kipya ahlul madina ni zaidi ya qadiria

  • @abubakarayubu8938
    @abubakarayubu8938 5 років тому +3

    innaalillahi wainnaailayhi raaji'uun kwa hali hii tunamtihani tuandae la kumjibu Allah siku ya siku

    • @omarsuleiman2944
      @omarsuleiman2944 Рік тому

      MPKA SAUTI HAINA TOFAUTI NA KIBANATI, MTIHANI MKUBWA

  • @humairahtomicky2454
    @humairahtomicky2454 5 років тому +2

    we hakuna km ahlul madina wao ni moto wa kuotea mbali pend sana ostadh hafidh 😍😍😍

    • @mohdomar109
      @mohdomar109 5 років тому +2

      Hahaha unampenda kwamengine tu uyo hafidh juzi ulisema unatamani anekuwa mime wako...au ulishafuta ile comment hahahah atari fire qadiria wanavocal na niwastarab atakucheza kwao

    • @mohdomar109
      @mohdomar109 5 років тому

      Sikio lahizidi kichwa

    • @zenasalim6964
      @zenasalim6964 5 років тому

      @@mohdomar109 Hehee Mmmh

    • @mudysalamy2916
      @mudysalamy2916 5 років тому

      Humairah Tomicky ww nini ndio yan icho kipaji wamepata kutoka kwa qadiria yan ahlulmadina mzim n shekh khafidh t na yy anatoka qadiria apo huna kitu

    • @bintykigan6236
      @bintykigan6236 5 років тому

      Kadiria kama Kawa Allah azidi kuwapa nguvu

  • @freeugandans
    @freeugandans 5 років тому +1

    Mashallha! Muko wakali sana!

  • @binmussa8636
    @binmussa8636 5 років тому +3

    Mnajitahidi lkn ahlu madina wapo vizuri zaidi yenu

    • @ramseyrmsy3366
      @ramseyrmsy3366 5 років тому

      Bin Mussa hawa hatar mimi sio mzanzibar ila Fakh hatar alafu ndio Hafidhi

    • @ayoubmohd8733
      @ayoubmohd8733 5 років тому

      Nakukubali wajipange ahlul madina wapo juu

    • @omywhite1995
      @omywhite1995 5 років тому +1

      Aqaz haitokei asa kuzidiwa hamaa waachiwe tu

    • @noshadmadini5768
      @noshadmadini5768 5 років тому

      Aqaz mziki mwingine

  • @zuhramohd5393
    @zuhramohd5393 5 років тому +6

    mnaharibu kazi zenu mnapochnganyika kike kiume.msiifnye kharam kua hulali

  • @kassimsuleiman543
    @kassimsuleiman543 5 років тому +1

    Mungu atuhifadhi

  • @MaryamMaryam-hd7es
    @MaryamMaryam-hd7es 5 років тому +6

    Mbona ahlumadina nao pia wanaweza jamni msiseme ivo wote tunawapenda

    • @mudysalamy2916
      @mudysalamy2916 5 років тому

      Maryam Maryam sio sote m siwapend hawana ishu

    • @noshadmadini5768
      @noshadmadini5768 5 років тому

      Hawauwezi huu moto mwingine

    • @rehemabakali494
      @rehemabakali494 5 років тому

      Napita tu naona kawaida mnajipa mawazo waangaliaji wenzenu wapo poa

    • @rehemabakali494
      @rehemabakali494 5 років тому

      Haifai kumchukia mwanadamu mwenzako km ingekuwa hvyo basi ata sisi allah angetuchukia kwa tunayoyafanya mengine aya mridhidhishi yy aliyetuomba unapoongea usimalize maneno uwezi jua unapoongea atakayekuja kukisaidia nn

  • @seraphetid
    @seraphetid 5 років тому +1

    Mashaallah 👌🏽👌🏽😍😍

  • @kassimsuleiman543
    @kassimsuleiman543 5 років тому

    Mtihan huu tujiandae lakwenda kumjibu Allah

  • @aishaamini7508
    @aishaamini7508 5 років тому +1

    hakika ni nzr sana

  • @nailatyahmad7298
    @nailatyahmad7298 5 років тому +1

    mashaallah

  • @bintykigan6236
    @bintykigan6236 5 років тому

    Mashaallah aqaz

  • @youmnaaboubakar9671
    @youmnaaboubakar9671 5 років тому

    ☺ kwakweliiiii👌👌👌👌 مشاالله

  • @ramseyrmsy3366
    @ramseyrmsy3366 5 років тому +2

    Ila kiukweli Fakh hatar kuliko ila anafuata Hafidh alafu Juma Fakh hao kwangu sina neno wanajua sana

  • @saadaliy3979
    @saadaliy3979 2 роки тому

    Hatar sana

  • @marafundujenzi4315
    @marafundujenzi4315 5 років тому +1

    Wapumbavu wakumba hiyo nikasida

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 5 років тому +2

    Ivi kweli mnaijuwa dini nyinyi wallah kike kiume kukaa pamoja ivo Haram fanyeni vitu venye kueleweka sometimes. Nyinyi ndo ma ustadh kasda zenu nzur mashallah lakini jaribuni kutengana kike kiume mnapoelekeya ivo saiv pabaya.

    • @salhaothman4038
      @salhaothman4038 5 років тому

      damamu hujambo

    • @mariyamgharib940
      @mariyamgharib940 5 років тому

      @@salhaothman4038 sijambo alhamdulillah. Vp na ww?

    • @omywhite1995
      @omywhite1995 5 років тому +1

      Mm nimpenz wa kaswida ila kuchanganikana kike kiume hili si jambo zuri uko sahihi da mamu

  • @shamakhhamad2768
    @shamakhhamad2768 4 роки тому

    Mashaallah

  • @azizahabdalla2338
    @azizahabdalla2338 5 років тому +9

    munapoandika caption za video zenu ziwe na maana na sio ugombanishi kama utasema wajutia sasa hapo wanajutia kwa kipi na kama kushirikian kinachofanyika Qadiria basi wapo pamoja.

  • @eddykocha9712
    @eddykocha9712 5 років тому +3

    Nzuri kadiria hao hawana mbaya

  • @omanoman728
    @omanoman728 5 років тому

    Mashaa Allah😘😘

  • @fatumaomar2542
    @fatumaomar2542 5 років тому

    Mashaa Allah

  • @zahraally7500
    @zahraally7500 4 роки тому

    Ally.ahmad.ongera

  • @naaidd3378
    @naaidd3378 5 років тому +2

    Hawez kujuta sababu wappo vizur

  • @rahmaali4009
    @rahmaali4009 5 років тому +1

    Jaman naomben hi kaswid kwenye wht sp

  • @mbwanasembwana703
    @mbwanasembwana703 5 років тому

    Jaman hadi kukumbatiana maulid bidaa

  • @fasitakhalifa2208
    @fasitakhalifa2208 5 років тому +1

    Asante kaka faki

    • @mohamedyabdy6341
      @mohamedyabdy6341 4 роки тому

      Halihamdulillah mungu anatunusuru na maisha ya dunia

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 5 років тому

    😚😚😚😚😚😚😚😚😚😚mwa

  • @rehemabakali494
    @rehemabakali494 5 років тому +1

    Aqaz mipaka mnaivuka lkn

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t 5 років тому +1

    Kka unafeli post zako

  • @hamadhaji1623
    @hamadhaji1623 5 років тому

    Kashaacha mumezoea vibaya Aqazi

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t 5 років тому

    Cut shot hueki kwnin

  • @patimaali5490
    @patimaali5490 5 років тому

    Hahaaa kwa kitu gani???

  • @alfajrtvtzonline9315
    @alfajrtvtzonline9315 5 років тому

    Kaka jikaze

  • @ahmadothman2269
    @ahmadothman2269 5 років тому +2

    Panga vizur maneno yako, sasa walichojutia hapo ni kipi kwanza qadiria kwa kaswida za harusi bado kabisa.

    • @hadijahusseni3274
      @hadijahusseni3274 4 роки тому

      waislam kwel majanga kila siku kutengana mnafundisha nn utengano ama mana sijaona kipya alaf jamn kama taarabu duuuuh

  • @ahmadsayyeed2974
    @ahmadsayyeed2974 5 років тому

    Wajutie tu mana wanajifanya sana

    • @hafidhakhamis5924
      @hafidhakhamis5924 4 роки тому

      Ww vipi awo ahlul madina ndo wanajidai mbona ww muongo

  • @nailatyahmad7298
    @nailatyahmad7298 5 років тому +1

    mashaallah

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 5 років тому

    MashaaAllah

  • @zenasalim6964
    @zenasalim6964 5 років тому

    Mashaallah

  • @shakilaseif3510
    @shakilaseif3510 5 років тому

    Masha allah