HEMED PHD - "WATOTO WAZURI | WANANIITA SAIDI | NAHONGA SIMU AFU USIPOKEE"
Вставка
- Опубліковано 19 сер 2024
- HEMED PHD - "WATOTO WAZURI | WANANIITA SAIDI | NAHONGA SIMU AFU USIPOKEE"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Ni kweliiiiii kabisa ujumbe mzuri mashaallah
Mashallah duuu uko vizuri sanaa
Nakuombea p.h.d hemed upate mipesa ya kutosha brother salute xana🤝🤝
Eh bwana kwanza tai yang imekaa vzur😂
Eti.mtoto kamzaa ye mwenyewe!!kumbe mwenzetu ana zaa🤣🤣🤣
Hili jamaa hili halizeeki dahhhh aiiiiiii
Very cool guy talks nice and professional keek up
Jamaa namkubali sana
Hili jamaa ndo yale yanayowapataga watoto kwa maneno tu vijana jifunzeni maneno ya kutoa samaki ziwani bila nyavu
Nimependa lugha yako nitaifanyia kazi ila siyo kama ulivyo sema
mtoto wa kiislamu na msalaba masikioni anawafundisha nini watoto wetu? Allaah Amuongoe huyu mtu atoke katika giza
Kwani msalaba ni dhambi kumbe huna akili e
Amin
Namkubali sana Hemmed
Saiidi aiiih
Tai yangu imekaa poa kwanza....
The King 🏆
Oyaa unyama mwingi Sana PHD 💣
Mzee Baba uyo
saidiii aiiiiiy😂😂😂😂😂
Hili jamaaa nalipenda sana 😂😂😂
Ila hemmed nakukubali sanaaa
Eti saidii 🤣🤣🇰🇪
Kweli kabisa hakuna iyo uo uvumi tuu sixpark ni nini broo wambie ao waache kujidanganya hakuna dema kwamba kama huna six p hupendwi. Acheni
ILA HEMED NI MZURI SAAAAANA TENA SAAANA NIKIMUONA HUKUMBUKA MY X BOYFRIEND ❤🇰🇪🇨🇿
😃
Kabisaa
😅😅😅
Uliachwa 2najua😂
Hahahaha!! hemedy umepinda ety sasaivi wananita saidi😂😂😂😂 haahaa watto wazur mkizengua mtakula zakichwa simnajua!! jamaaa ni saidi
Saidi aiiiiii🤣🤣na serikali ipo kmy, ila emed wew na Ep wapi na wapi jmn haya ngoj 2subili 😁🤣🤣
Ni mwanamuziki pia
@@mackenzie8037 kumbe anaimba me nilijuwa anaigiza 2
😂😂😂
@@neemazee1864 kuna wimbo wake unaitwa 'rest of my life' naupenda sana
Anahangaika kuangalia na hio miwani si avue tu kwàni lazima
Yeye hapendi kuvaa miwani lkn watoto wakali ndo wanamfanya avae maana wanapenda sana macho yake😅😅
Mguu wa mtoto
Aiiiiiiii
Hemedi Suleiman
Kwanza Ile series yake ya uhuru Ina gharama zake ilkua freshi kabisa
Kweli
Ukafiri unamzingiwa hana lolote huu mhuni. Eti Sulayman Hemed na herini la msaraba skiyoni , mshenzi tu Wana dhalilisha uislam
Ukafiri kwako ni kuvaa msalaba ,dah mbugunyesi ni wengi kuliko maconshaz
Kuvaa msalaba na kuacha swala.
We fala hujui chochote kuhusu dini
Acha kujua jua wewe ni mtume? Pumbavu
Aah papi 😂😂
Saidi aiiii
Namkubaliii sana uyu mwambaaaa
Papy😂😂😂
#Pappination
Aii😂😂
Saidi😂😂😂ayee
Aaliya kitumbo mbwi
Hahahaa hemed bana
Hahah uyu jamaa anajua sana PhD 😂💥
🤣🤣hemed said
Nakukubal sna mwamposa
Nyie huyu😂😂😂😂😂
🌋
Muhuni sana huyu jamaaa
Mmmm oraity
Nani kasikia naweka sana
saidiiii
HemeD Said Aiiiiiiiiii😂😂😂😂
Afu ujue kuanzia leo hemed hajazaliwa dar. Kazaliwa tanga na kakulia tanga ww
@@amanimanase3122 kwahyo
😂😂😂😂
😂Saidi mwamposa
Damu ya mpemba iyo walizaa sanaa dar wapemba
Mtanga uyo
@@zikirination6769 uliza vizuri kakwambia nani kama mtanga
Acheni ukabila cha msingi ni Tanzania
@@fatmakhanii1676 asa aulize vuzuri nini..si katokea tanga kweli
Huy jamaa nlikuwaa cmjuii kabsa. Baada ya kusemaa said aiii nmemjuaa.kweli kuwa maarufu ni akir tuu. Jamaa ni anamisemo.
We mdhur bwana
@@hawahawa6132 cjakuelewa
Utakaponasa kwenye miwaya akili itakukaa
😂😂😂
🤣🤣🤣said 🤣🤣🤣🤣
Six park mwapoxa 🤣🤣🤣
Uyuu jamaa anajiona Sana
Aahhh papii🤣🤣🤣
anazingua mchizi komedy nyingi
Bro acha kumuonea wivu mwanaume mwenzio Mzee baba huo ni umama
Ebana Tai yangu imekaa POA........ Aayiiiiiii
Ana kitambi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
AAA puppy🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
@@neemazee1864 atari
Mwamposa Ana vituko 🤣🤣
Electro grams ngapi alafu na MUWANI weka vizuri
mzanzibar hy mashaka
Mtanga uyu
Nani?, km ni yy hapana ceeeeee :(
@@fettyabiola1389 mtanga
Simtanga huyu
Hili jamaa halina chochote maishani zaidi ya kuongea upumbavu tu, ko likizeeka litajisifia au watoto wake watasifiwa huo upumbavu, kila mtu anakula waschana, ata mi pamoja sifahamiki tanzania ila nakula waschana wazr sana, kuna miwatu mingi e ni bure kabisa maishan, patia picha ndo akili za hvyo zinakuwa mbunge wako
Kuvaa hereni masikio mawili ni ishara ya kuwa unafirwa sasa wewe Hemedi upo fungu gani la machoko?? au ushamba hujui ufanyalo ni kuiga tu???
Acha makasiriko kaka
Chuki itakuua mapema sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwamposa weweeeeee
😆😆😆😆
💕💕💕💕
Chapa ilale babuuu
😂😂😂😂😂😂😂
Pacha UDUDU
Futur husband wng mung akuwek ❤️
🙈🙈🙈😂😂🤣🤣
Mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Fyucha habby anayevaa mahereni
Muonekano wa kishoga??? Haaaa wazazi wapetata hasara Tuu..
Primitive
Shoga yuko kazin
#HAHAHA HUYU JAMAA NI UONGO MTUPU HUWA ANATOWA SANA PESA TAZAMA HAPA UTAAMINI TU
ua-cam.com/video/XDQlaMEen-g/v-deo.html
Phd😂💔
😆😆😆
Kwaiyo mshikaji unavaaa Elena dar wabongo bhana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂