MIMI MARS - "DIAMOND NILIOGELEA NAYE SIKUJUA KAMA MARIOO ANGEUMIA/SIWEZI KUWA NA MWANAUME HANA HELA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 68

  • @jenniphergiovane2688
    @jenniphergiovane2688 2 роки тому +7

    Nampenda huyu dada kwenye jua kali anaongea kiswahil vzr kweli bila kuchaganya kingereza hongera sana unaweza.

  • @harymo-by8gh
    @harymo-by8gh 2 роки тому

    aiseee hii vibes ni kali sana , hongera sana mars

  • @zuweinaally2413
    @zuweinaally2413 2 роки тому +22

    Mnajisifia sana kisha mnaolewa na waganga.na waume wa kushare tena bureee...

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 2 роки тому

      ndo wengi wa waTz

    • @ibrahimnadir4490
      @ibrahimnadir4490 2 роки тому +2

      Kwani kuolewa mke wa pili ilo ni kosa au kutokua na thamani tuanzie apo zuena

    • @zayanazayana5353
      @zayanazayana5353 2 роки тому

      @@ibrahimnadir4490 Sio kosa lkn inategemea kwa Staa mwny jina aolewe mke wa pili tena na mganga au aje abanane na mm mw'ke wa kawaida kw mume asieweza kumtunza huko kunamaanisha amekosa wa kuendana nae yani kibinadamu iko hivo

    • @dorcasgagarinour1346
      @dorcasgagarinour1346 2 роки тому

      😅😅😅😅😅umenichekesh

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 2 роки тому +1

    Nakupenda bule kwenye jua kali umetisha mbaya

  • @ababu7468
    @ababu7468 2 роки тому +2

    Ahhhhhh ....who is this 🤔 ambaye ako na bahati ya kumpata queen of my heart nimeumizwa but ni sawa tuu .....wacha tuone ...😭😭😭

  • @teddyaloyce1957
    @teddyaloyce1957 2 роки тому +8

    Mmefanana na dada ako

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 роки тому +2

    She is very talented kwene movie keep it Dada

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 2 роки тому +2

    Mwanakondoo😍😍

  • @zandanitv2894
    @zandanitv2894 2 роки тому

    Ni kwelii

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 роки тому +2

    🔥❤🔥

  • @ramamwakande249
    @ramamwakande249 2 роки тому

    Kimeumanaa🤣🤣🤣mimi mars hutuwezi kukuelwa......hamna tofauti na juma jux

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 2 роки тому +5

    Kaka Diamond hajawai kumuacha mtu salama.

  • @SalimSalim-ec9jo
    @SalimSalim-ec9jo 2 роки тому

    Asante Mungu ulie weka kuzeeka na kufa...

  • @mhifadhi797
    @mhifadhi797 2 роки тому +5

    Hilo sauti

  • @yakobonjalika6091
    @yakobonjalika6091 2 роки тому +3

    Hapo ngoja kwanza nicheke 🤣🤣

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 2 роки тому

    Maria

  • @ChugganBoy
    @ChugganBoy 2 роки тому +2

    Wee K,,,,,,,,,,,,a kweli

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 роки тому +5

    Ndiomana mausiano mengi ya kisasa yamejaa kudanda danda tu maana mawazo hayapo kwenye upendo wa dhati na kweli miyoyo mingi inazama kwenye maslah binafsi tu wazee wetu adi kufikia vikongwe nawapongeza sana sasaivi hamna mapenz kbs

  • @kristofuraha3369
    @kristofuraha3369 2 роки тому +3

    💎🌎🔥👑

  • @tristantz5744
    @tristantz5744 2 роки тому +2

    Mmmh mbona wakati wazile tuzo ilipost cardi flani hivi

  • @davidmbwilo4954
    @davidmbwilo4954 2 роки тому +3

    Ngoma kali

  • @prochatv
    @prochatv 2 роки тому +2

    "Kwisha yake habaaariii"Kwa mbali mondi amesikia mbn hehehe ncheke kwanza

    • @hbboe1849
      @hbboe1849 2 роки тому +1

      😂😂😂😌 nmeskia babuu

    • @prochatv
      @prochatv 2 роки тому

      @@hbboe1849 tayariii keshachinjaa😅

  • @robertmwambia9774
    @robertmwambia9774 2 роки тому +2

    Hio urembo ya mwanaume ana hela hauna...what are you bringing?

  • @chillmoves6473
    @chillmoves6473 2 роки тому +4

    Ajui kuhoji uyu

  • @yakobonjalika6091
    @yakobonjalika6091 2 роки тому +4

    Yani wewe utakuja kutumuliwa we nyanyasa wasio na hela wahuni semeni ameen maombi yamejibiwa

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 роки тому +3

    HUNA ISHUU

  • @poncan1133
    @poncan1133 2 роки тому +2

    Dadekiiiii .....kina jeuri hikiiiii

  • @خسنموس
    @خسنموس 2 роки тому +2

    Ni wale wale wakusema bila 500M uwez niowa alaf wanaangukia waganga 😂😂😂

  • @watuhuru6128
    @watuhuru6128 2 роки тому +3

    Hans jambo nyota Ziro kutwa kuliwaza diamond

  • @Bullah_tz
    @Bullah_tz 2 роки тому +3

    *Kuna yule jamaa ambae hua anahoji yuko wapi saiv mbona ndo alikua anafaa*

    • @frankbubahe
      @frankbubahe 2 роки тому

      Nielekeze Mkuu Nina biashara online NATAKA nianze kuzitangaza

  • @luganoessom1464
    @luganoessom1464 2 роки тому

    Media zetu hizi zimekosa content kabisa ,tukio la koegelea lilitokea 2020 linazungumzwa Hadi Leo Tena kuogelea😳

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 роки тому

      Walilifufua wenyw kwa kiki zao za kuachia ngoma,, maana bila Diamond 💎 hawaend

  • @jontezdiamond670
    @jontezdiamond670 2 роки тому

    Kimeumana 🔥🔥😂🤣😂😂

  • @eliascherehani2905
    @eliascherehani2905 2 роки тому

    Mtanzaniaaa furanii huyooo ni nanii

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 2 роки тому +2

    Kwahiyo mnaona kutanganza uzinifu ndio inshu

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 2 роки тому

      Kwani wewe nini kilichokuleta huku?

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 2 роки тому

      @@josephstephen1079 siwezi kulaumu sababu kafiri huona maovu sawa

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 2 роки тому

      @@fatmafatu1128 Sasaa wewe usiyependa maovu unakuja kufanya nini huku?

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 2 роки тому +1

    Ndio muziki tumebaki nao

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 2 роки тому +2

    weee fala siujib kam anakuzagamua mariooo fyuuu

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 роки тому +3

    Mtangazaji unauliza mswari gn

  • @mshefamshefa2845
    @mshefamshefa2845 2 роки тому

    Movie kulufi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍

  • @chany9950
    @chany9950 2 роки тому +1

    Muko mayani yacayi tu iyo sauti sasa Africa bwana ina mambo kweri

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 роки тому +2

    Machoo yetu

  • @mintv7534
    @mintv7534 2 роки тому

    Marioo ni kaka yako shida wadau wakipiga ua galagaza marioo ana lia lia 😂😂😂

  • @MostWorldOfSports
    @MostWorldOfSports 2 роки тому +1

    Mnazingua tunatak santana ndo anajua kuhoji bhn...🤧huyu jamaa kam muimba kwaya😂

  • @errylopez3360
    @errylopez3360 2 роки тому

    Mond kashamla kitambo

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 роки тому

    Marioo hatakwi asilazimishe atakuja aibika mjini

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 роки тому +1

    HUNA ISHUU