DDC Mlimani Park - Pata Potea

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @julithamuhale7271
    @julithamuhale7271 3 роки тому +3

    Leo nakurudishia uwamuzi wako uuuh! Asante DDC Mlimani Park! Sauti Tamu ! vyombo ndiyo balaa! R.I.P wote mliotangulia mbele za haki

  • @omarimoyo9077
    @omarimoyo9077 7 років тому +7

    ardhi imemeza. .Gurumo na wengineo Allah awalipe kwa mema mliyoyaacha

  • @salehesalufu5047
    @salehesalufu5047 7 років тому +9

    Hizi ndio nyimbo bwana muziki dakika7, sio hayo madebe yenu muziki ndio huu

  • @khalidmakumulo8294
    @khalidmakumulo8294 7 років тому +6

    Daah!!@ kweli yakale ni dhahabu

  • @philipmbunda3610
    @philipmbunda3610 4 роки тому +2

    Najua ni vigumu lakini najitoa rohoni mwako. Hatari sana enzi hizo.

  • @clementiddi5708
    @clementiddi5708 4 роки тому +2

    Hii ni elimu tosha, no matusi ila hawa wa cku hizi wajifunze hapa.

  • @gosogoso5287
    @gosogoso5287 6 років тому +2

    Jamani dar haipo tena Club taha. Leo Show. Sikinde ngma ya ukae

  • @sweetbetmpaluka7183
    @sweetbetmpaluka7183 7 років тому +3

    muziki wa ki'tz, ulio kwenye ubora wa hali ya juu!

  • @aloycetemba8652
    @aloycetemba8652 8 років тому +3

    Hapo Solo yupo Mulenga, bass yupo mwanyiro, rhythm yupo gamma. Waimbaji yupo Mzee Gurumo, maalim Kinyasi, Bitchuka

    • @allynayomo485
      @allynayomo485 6 років тому +1

      Aloyce Temba hapo mulenga alipiga rythm bass ilpigwa na mwanyiro solo abel

  • @yusufumatumbo6865
    @yusufumatumbo6865 4 роки тому +2

    Mliibeba Tanzania kimuzik,i Sikinde

  • @abdallaabdulrahman8319
    @abdallaabdulrahman8319 5 років тому +2

    ahsante sana Maalim kinyasi

  • @gosogoso5287
    @gosogoso5287 3 роки тому

    Enzi haipo maalim gurumo, bitchuka, joseph mulenga, abdalla gama, suleiman mwanyiro . Kwa kweli tanzania ile haipo na haitokuwapo tena.

  • @eisamulenga2749
    @eisamulenga2749 7 років тому +2

    Sikinde katika ubora wake.

  • @omarimakwajila8916
    @omarimakwajila8916 3 роки тому

    Nilikuwa dogo mwanzoni mwa 1980 hii nyimbo naikumbuka ilikuwa utambulisho(sound trak) wa kipindi cha misakato RTD

  • @patriciamaganga3891
    @patriciamaganga3891 4 роки тому +2

    Sikujali pesa wala muda

  • @mohamedjaffari1658
    @mohamedjaffari1658 3 роки тому

    Mimi mziki wa Sasa hasa siufahamu unatufunza nini kwa kweli

  • @twilamtumbi2647
    @twilamtumbi2647 10 років тому +2

    km nitakumbuka vyema upande wa tumba mwenyewe mzee jamwaka ametulia kbs

    • @allympekea6220
      @allympekea6220 7 років тому +1

      Ni bendi niliipenda mpaka naumwa ,haa sikindeee!!

  • @jangamagili2601
    @jangamagili2601 6 років тому +2

    nyimbo za kale whatap group

  • @nyangehassan902
    @nyangehassan902 6 років тому +1

    1982 Deri shule ya msingi

  • @aloycetemba8652
    @aloycetemba8652 8 років тому +9

    Kwa nini tusianzishe group letu whatsap

  • @twilamtumbi2647
    @twilamtumbi2647 10 років тому +2

    hata sijuwi anakwenda wapi mama watoto,muhidini, hamisi, hassani, mulenga upande wa gital, mwastahili hongera ilioje na wana sikinde wote.

    • @louismgema8570
      @louismgema8570 7 років тому

      Nilinyang'anywa Kata ya Maji ukweni sasa naombwa TARAKA

    • @mohamedmdoka2762
      @mohamedmdoka2762 7 років тому

      Hizi nyimbo za zaman mtu unaweza kulia kwakwel yalioimbwa miaka hyo sasa ndio tunayaona