UYU DADA MMEWE AJIPANGE . ANAFANYA KILA KITU .

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 10 місяців тому +3

    Ila mafundi wa sasa jamani mtatuuua na ayo ma hips ya gauni ya kutengeneza mpk mtu anaonekana km mdoli jaman 🤣🤣

  • @HusnahOmari-xn6bf
    @HusnahOmari-xn6bf 10 місяців тому +1

    Noma sana 😂

  • @RehemaIdd-gi9ix
    @RehemaIdd-gi9ix 10 місяців тому +1

    Oyeee

  • @user-sq4hf7ro4r
    @user-sq4hf7ro4r 11 місяців тому +6

    Uwiiiih Mme jiandae kupika😂😂

    • @zakiakhatib1977
      @zakiakhatib1977 11 місяців тому

      Kwenda zako wivu tuuu kwaan uliambiwa anaenda kupika huko

  • @DainesMwapela-mr4wc
    @DainesMwapela-mr4wc 11 місяців тому +6

    Awe baraka Kwa mumewe🙏

  • @dorinally4698
    @dorinally4698 11 місяців тому +2

    Mumewe popote alipo aende veta kujifunza kulea familia na kupikq

    • @zakiakhatib1977
      @zakiakhatib1977 11 місяців тому +5

      Kwenda zako wivubtuu na kwan mme alikwambia anamuoa ili akampikie kaz ya mke kwa mumewe inajulikana.
      Nandio maana hata soma humuandaa bint kuwa mke na sio mpishi au mfanyakaz wa ndani kwenda zako na hasad zako

    • @user-go6xm3ef1o
      @user-go6xm3ef1o 10 місяців тому

      Ataekwa dada wa kaz na uyo dada atakua mke mwenzie 😂mambo kusaidiana