Rich Mavoko - Miss You (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Video Directed By Visior Mufasa @Visiormufasa
Stream and Download "Miss You" -linktr.ee/bill...
-
Follow Rich Mavoko On:
Instagram: / richmavoko
Twitter: / richmavoko
Facebook: / richmavoko
Billionea Kid (Rich Mavoko) Official UA-cam Channel:
/ @billioneakid
--
#BillioneaKid #richmavoko #MissYou
Thank you for watching,Let's chat!!😊
Great,Sound yako kabisa usipotee tena, Love from Germany 🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🔥🔥🔥🔥
Thank you
Bonge LA pumbu
Usikae kimya sana bro hawa watoto wanaharibu sana music wewe ndio Maladona wa Bongo fleva don't Forget 🎉🎉
Good job boss 10/10
Rick mweny Voko zakr🎉🎉🎉❤❤❤
Eshima snaaaaaaaaa❤
Kama haingekuwa ulafi wa diamond mavoko ndo msani mkubwaa Tanzania 💯💯❤️🙏
Nipe like kama ni kweli
Kenyan artist
True
C akue sasa mkubwa shida iko wapi??
nakubali ni 🔥🔥🔥🔥🔥 ngoma kali
Kali nani anamkubali Rich gonga like zenu twende 1M
We bilv in U
Hii ni kubw sana kwe2🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Richi bro mashabiki zako tuko pamoja na wewe Toka ngoma tako ya silali mpaka Leo mess you ngoma kalii sana like za Rich jaman ziko wapi
❤❤❤🎉🎉 wee ndiounanifanya nizisake
KAKA MAVOKO KUWA SERIOUS BASII MASHABIKI ZAKO TUNAIMANI NA WEWE PIGA NGOMA JUU YA NGOMA NAFASI YAKO NAIONA KABISA PALE JUU M🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Fundi karudi sasa yeeeees🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
sindiooo huyu ndio mavokoooooooo oi wa TZ tuliopo kenya naomba like zenu
Kaka unajua kabisa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nyimbo Kali ...wakenya piteni na likes ❤
My brother rich yani wewe unajuwa tena sana❤❤❤❤
I missed you Rich mavoko, u really sings well bro keep it up my brother ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 kama unamkubali Rich mavoko weka like zake hapa
Asante sana tulisubiri sanaaa🙌🙌 🔥
Mavoko fans ...lets show love to our lost and found sheep😍😍😍
Aseee man Mavoko chill humu Ariff!!! Richar Mavoko hii mitindo ndio hua ulikua ukitoa ngoma kwere sana,weka kwenye mitindo hio,promo la ela yooote na itarudi kwa faida nzuri sana.
Wengi wa sasa wanakata pumzi mapema.
Dondosha mapini back to back kwenye styles na mitindo ambayo ndio ilikufikisha wewe kwa peak that time.
💥💥💥💥💥💥
Roho Yangu Pacha wangu Ibaki Story🔥🔥🙌 Yule mavoko tuliye msubiri ndio uyu sasa 🔥🔥🔥
Tatizo akitoa ngoma anakuja kupotea tena
🔥🔥🔥🔥 umetisha ngoja Kali sanaaaaa kaka
Kama umerudia hii ngoma mara 7 hapo kwa "I go miss uh very muchoo😂 ❤❤❤ weka likes za #mavoko 💪💪🇪🇹🇪🇹💯
Safi San bilionea kids endelea Kutoa vitu ukae kwenye nafasi yako ❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤maviko wangu dhaaaaaaa amekuja nilkuwa naliya sana mana uhhhhhu mavoko ft patoraking jamh aliuwa
Uñyma mwingi mavoko❤🇹🇿
Mdogo mdogo mpaka Tufikie tamati hamna kukata tamaa Fundi💯
Pongezi Saana Kaka Kwa Ngoma Kali🔥Kilosa stand Up
Huyu ndo ndo mavoko sasa💯💯💯💯
Came back again my Star boy 🎉🎉 uwezo unao Bado mwanangu uuuu
Moja kati ya ngoma Kali saaaana hongela kwa kazi nzuli bwana Rich 🥀🥀
Hii pure hii.
nomanoma noma bonge langoma🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nilikua na miss this voice❤❤❤❤ from Burundi 🇧🇮
Rich mavoko moto wa kuotea mbali. Timeless hit
Kesho nacheza hiii kwa gym after yoga class🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mavoko uko talented Sana pambana 2ko nyuma yako
Rich mwenye Mavoko yake apa Town 🔥
From motherland 254....lets gather here and appreciate this well done job by richer rich mavoko
Come back mavoko,we want you bad back to the industry
Lovely come back, I miss de voice....my best Tanzanian artist ❤❤❤❤
Welcome back bro
Uko sawa..do everything urudi back to town.. still young ❤❤
jaman apewe like zake maana kaweza na nyimbo ni nzuri sana
Ngoma noma he z back King of Bongo twende 🔥🔥
First comment from BURUNDI. Nipe like zangu
We had missed you,,, walisema umepotea ❤❤❤❤kali hii
Mavoko wangu wadhamani daah nakupata mwanangu wimbo mkalii sana
Ngoma ni Kali hii🔥🔥#Richardmartin
Umeuwa baba kuanzua leo tumekukamatia hapa hatukuachi kabisa ila tunasubiria new music with Kondeboy ndo mtawazima midomo kabisa let go team Vocal 🔥🔥🔥🔥🔥
Huyo ndo mavoko wa mwanzo akiemuogopa domo ❤❤❤❤
Huyu jamaa ana vocal hatari mungu akuenue kaka
Ngoma kali rich tuko pamoja toka mbeya tz
Nimefurahi Sana kusikia Sound zako bro ❤❤
ngoma Kali sana
Kaka please eeem tuletee mapianoo moja kali sana 😢tumemiss mingoma yako ya kuchezeka.
Wawooo ❣️🌹❤️❤️ tulimiss kusikia saut
Mavoko uko vzr kk nakukubali tangu ba4🎉
Kenyans nipeni likes ka mmeikubalii hii bonge la track 🔥🔥🔥
MUNGU AKUSAIDIE MSANII WANGU MAVOKO
welcome again rich mavoco nice song and big up 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤️🇧🇮 umetisha kinoma noma wangu
Mavoko wangu jamaniii😊🥰
KING OF DANSO TZ HATA AFRIKA SIJAONA WA KUKUSHINDA B-KID
Big up sana Mungu akujalie mara tene na tene Billionaire Kid
kama unakubali ng'ombe hazeeki maini hebu sema #fuegooo🔥🔥🔥🔥
Sisi bado tuko n wewe bro 😊
This is now kenye tulikuwa tumezoea na tukanyimwa....am happy to hear this voice again....This man is so talented May His God do something to this man through our prayers
Ameen 🤲🏾🤲🏾🤲🏾
nakubali kaka amka nauendelee 🔥🔥🔥
Bonge langoma kama unampenda movoko weka comet Yako apo utakua mjanja sana
Unapotea Sana rich sema unajuwa Sana kuimba tulikumic Sana mashabiki wako
Love ya mavoko kwa hii comment
Kazi Zuri zidi kuwakubusha we ndio mwamba
Naumia sana ju ya hii talanta watu kutoizingatia. Plz guys let support rich mavocal awe kama yule wa PACHA WANGU 🙏🏼
mavokoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo wew mkaliiiii sanaaaaaaaaaa
Mavoko 🚀🚀🚀🚀🚀
🎉
Tulikumiss sanaaaaa 😢🎉🎉🎉
Usher Raymond WA Bongo kaachia banger napenda SANA anavyosheki
Wewe mavoko tulia kipaji chako hata modi hakufikii we msanii mmoja atari sana
Bad man riiiich mavoko 🔥🔥🔥 imeweza song naikubali sana 🤟🏿
❤❤❤❤ my favorite always gonga bit kaka😊😊
Watu wa Burundi nipe like kwa ajili ya enfant billionaire RICH MAVOKO
Huyu ndo wajina ninae mjua Mimi wimbo huu ni fantastic kaka🎉🎉🎉🎉
Shabiki kutoka Kenya 🇰🇪 show love 💕
Kaka hii yenyewe hii😍
My brother kaza kamba bro we love your vibe man🇰🇪🇰🇪✅
Baby bariid inanifany usingizi sipat du noma san iii ni kali ya mwenz brza kwaz sija hwai kuk pinga
Mavoko is a true definition of talent ,guy is so underated Tanzania doesn't know what their having i wish this guy was a Ugandan according to his art of writing music keep shining Mavo'🙌
He must come to Uganda and do his music from there
Your song sihitaji kufikiriaaa ndio niskize....bora it's from you it's a hit song man.....
Hata ukiwa kimya sana hutoi wimbo ,
Mimi sikati tamaa, huwa naamini uko busy sana ukitunga ngoma kali ya kufunika zote hasa za watani (WCB).
Wewe ndio wetu.
Pewa maua yako.
Rudi kwa Game bhana rich hata kama umetoka kwa lebel yetu WCB still nakukubali💪💪💪
A star is back, we missed you man
Jamaa mkali huyu
Nimekuwa Wakwanza Nipeni Likes zangu
Aaah we muongo sowakwanza
ungekuwa wakwanza umechelewa kidogo like yangu nimekupa
Sauti ya zahabu,,,, mziki mzuri,,,,, unajua sanaa
No wonder he's been trending kumbe Kuna homa Kali kaachia go man we need more of you
Kazi Nzuri Mzee endelea Kupambana...
I'm happy to see you 🎉 once again, this guy never disappoints 💯💯💯💯 nipeni likes 20 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jamaa fundi sana
@@Heisfeisalmwema sure
I really love this song Rich mavoko is my mentor and I really love this man mtu simple SI kama wale hujiita Simba
Just two seconds into the intro I knew it's a big thing on fire 🔥🔥🔥. Mavoko ni mzito
Same thoughts
🙌
Huyu ndo rich mavoko nnae mjua
HUYU JAMAA HANAGA NGOMA MBAYA ❤❤TUNAOMBA COLLABO NA CHINO KIDD DANCER WAKO❤❤❤❤❤
Dah bro umeludi bonge ngoma❤❤
Diamond akisikia hii sauti huwa anavurugwa
The king 👑 is back 🔥🔥
Shabiki kutoka Burundi jameni gongeni likes kwa hii comment.
Jamaa alikua mkali sijui walimfanya nini,mziki bana