Kigoma yetu ya sasa Kutoka Mwandiga hadi Mlole

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024
  • Kigoma yetu ya sasa part II. Kama hujafika Kigoma kwa muda utashangaashangaa inavyozidi kupendeza jionee hautaamini.hadi kutokea Mwandiga hadi Mlole 2020- 02 -12 .
    Enjoy the video, UFM -Unique Facts Media bila hiyana tunakufikia popote ulipo kiganjani mwako.
    usisite kusubscribe and kutoa comment yako hapo chini au tuandikie na kutupa habari kupitia anuani hii hapa :
    uniquefactsmedia@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 30

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 роки тому +1

    Nyumbani ninyumban I misss KIGOMA kwetu pamoza Sana 🙏🙌

  • @limimaziku7488
    @limimaziku7488 3 роки тому +1

    Hongera Sana wanakigoma kwa kuboresha miundombinu kwa asilimia kadhaa, lakini bado inahitajika nguvu nyingi kuimalisha miundombinu hizo

  • @AmanduceFesto-nb6kh
    @AmanduceFesto-nb6kh 9 місяців тому +2

    Miondombinu serkal imejtahd ila vjumba vlvyochokachoka ni vingi

    • @uniquefactsmediaufm6735
      @uniquefactsmediaufm6735  9 місяців тому

      Hahaha !! Endelea kuwa nasi sisi kwa kutazama vipindi vyetu vingine vya SakuaSakua na UFM na Imba na UFM .Ni hapa hapa the unique Facts Media (UFM).

  • @alexjumanne939
    @alexjumanne939 3 роки тому +2

    Kigoma ya sasa so kama ya zamaniiii yazd kupendeza

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 11 місяців тому +2

    Samia suluhu oyee

    • @uniquefactsmediaufm6735
      @uniquefactsmediaufm6735  11 місяців тому

      Endelea kuwa pamoja nasi katika kwa vipindi vyetu vya SakuaSakua na UFM pia imba na UFM.

    • @uniquefactsmediaufm6735
      @uniquefactsmediaufm6735  8 місяців тому

      Karibu endelea kuwa pamoja nasi hata katika vipindi vyetu vingine vya SakuaSakua na UFM na pia vya Imba na UFM.ni hapa hapa the Unique Facts Media UFM.kukuletea kweli za kipekee(Unique Facts).

  • @mariamuseifu3065
    @mariamuseifu3065 3 роки тому

    Nyumban kwetu 💕💕

  • @mustapharama4063
    @mustapharama4063 3 роки тому +2

    acheni usenge mnapasifia kigoma mkiwa mbali mnapo fanikiwa hamkumbuki kuludi kwenu kujenga hata vibanda ili papendeze

  • @omanatr8729
    @omanatr8729 2 роки тому +1

    Nimemisi home jaman

  • @Omary-d7n
    @Omary-d7n 8 місяців тому

    Matokeo kitato Cha nne mwandiga secondary kigoma

  • @amanimatokeo4591
    @amanimatokeo4591 3 роки тому +2

    duuu home kgm nimepamis

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 9 місяців тому +1

    afazali ivyo kuliko bure na vumbi

    • @uniquefactsmediaufm6735
      @uniquefactsmediaufm6735  9 місяців тому

      Hahaha . Endelea kufuatilia vipindi vyetu pia vya SakuaSakua na UFM na pia vya Imba na UFM. Asante kwa kuwa nasi. Siku hizi Kigoma inan'gaaa !!! Alika na wengine kufuatilia the Uniunge Facts Media UFM.

  • @husseinmrisho5207
    @husseinmrisho5207 3 роки тому +1

    Nyumbani kwetu K. Town

  • @OmanOman-bh4yh
    @OmanOman-bh4yh 3 роки тому +1

    Wacha wee kigoma yetu iyoo

  • @eliudmkondo4290
    @eliudmkondo4290 3 роки тому

    Kahabwa barabarani magofuuuu