Nikweli huyo ni sipika wa Dunia ndiyo maana hatujali sisi anajali huko duniani sasa awamu hii RAISI wetu wa mbeya tuna mperekabungeni asubuh kabula jogoo haja weeka
SEMA MSIJITAPE SANA HATA NYIE CHEDEMA SIO KWAMBA MMEKAMILIKA NA NYIE MNAMADHAIFU KIBAO KO NYIE NA CCM N WALE WALE KWAN NYIE PIA S MULIWAH KUPEWA NAFASI MLIFANYA NIN CHA MAANA HIZO N SIASA TU
Mimi nauliza, ile miji iliyokuwa ni misafi hadi ukikwangua vocha unapata baridi na kujiuliza wapi utatupa hiyo takataka imeishia wapi? Moshi kuchafu, Mwanza, Iringa nk haktamaniki! Wapi tumejikwaa?
@@markoshem-ij6cf unakula ugali nyumbani kwenu utaelewa kitu sasa. Sugu kwa wajinga kama nyie sawa ila kwa sisi wazawa wa mbeya huyo na wewe ni mbwaa vile vile.
B@@isaacmwaseba9972lakini kumbuka 2020,ilikuwa oya oya walipita wabunge wengi kwa msaada wa serkali,sasa sijui 2025 na Mama kaishasema kila mtu afe kivyake
Iyo nikazi ya serikali yeye kazi yake nikupeleka maoni ya wanaichi serekali ifanyie kazi ila coz akili zenu ndogo ni mbunge ngani wa ccm na alijenga mladi kwa kutumia pesa yake
Safi sana mkuu🎉
Mbeya stend up #Sugu
Saf sana kamanda wetu
Mkuu 💪💪
Mbeya ❤❤❤
Pamoja sana sugu
Sugu moto Juu
Barabara za Mbeya vumbi sana.
Mi nadhani Ccm ilipofikia ,Sugu hahitaji hata kufanya kampeni, wana mbeya, mimi ni Ccmpeni Sugu
Sugu moto chini Sugu moto chini ahaa moto chiniiiiii,
Mnyonge mnyongeni lakini Sugu apewe Jimbo lake
I miss you my brother
Tulia ndio anajitambua wati kauza bandari na kumvukuza mpina bungeni wacheni Hilo jike halijitambui
❤❤sugu❤❤
Sugu oyeee 🎉🎉
Siku izi bunge halina mvuto rudini makamanda bunge lichangamke
Chadema nguvu moja
Mbea hakunaga uchawa
Ushamba unawasumbua
Roho inakuuma Sugu hamumuwezi @@jumakapilima7295
Mshamba n ww na familia yenu @@jumakapilima7295
😂😂Mbeya president
Jongwe✌️
Sugu ushindi wako kamanda
Hilo ni kweli
Bunge limepoa kabisa asaiv
Haya
WANA MBEYA AMKENI....CHADEMA NI CHAGUO LENU SAHIHI....MPENI KOMREDI SUGU UBUNGE.
Sigu hana mpinzani mwaka 2025 niwake kushika jimbo la mby mjini
Mbeya na Mara ndo mikoa wenye misimamo kuliko mikoa mingine Tanzania
Da ila mbeya tunatia aibu. Uwanja WA sokoine hauna taa adi leo
mimi ni ccm ila daa! hapa sina usemi chukua jimbo lako coz mwenye macho haambiwi tazama.sodhani hata kina haja ya kampeni
Tumeshakuewa kabla ya maelezo
KAMANDAAAAAAAAAAA!!!!
Kampeni ya nini Kila kitu iko sawa
Jongwe muda wako umeisha unataka tukupe kura ili ujenge Hotel nyingine ??? 😂😂😂 kwendaaaaa, wanaokudanganya kuwa ugombee wanakutaperii😅😅
Hivii unarudia kwa hizo sera daaa...
Upambane na Spika wa Dunia.
Nikweli huyo ni sipika wa Dunia ndiyo maana hatujali sisi anajali huko duniani sasa awamu hii RAISI wetu wa mbeya tuna mperekabungeni asubuh kabula jogoo haja weeka
day worker
😂😂😂😂chuma chakavu
Sugu apewe mkoa wake
Mmm. Maigizo ...
Ndo mnayoyaweza kwa sasa
Mi ni ccm lakin apa we chukua tu jimbo kaka
Aliyesikia sio generator hiyo ni greda nimekuja kutengeneza barabara za umeme...
Tutambuane apo.
Nyinyi mnaweza? Uyo ni spika wa dunia. Tena damu ya Yesu inamulinda kila anapokwenda. Kushinda ni lazima.
SEMA MSIJITAPE SANA HATA NYIE CHEDEMA SIO KWAMBA MMEKAMILIKA NA NYIE MNAMADHAIFU KIBAO KO NYIE NA CCM N WALE WALE KWAN NYIE PIA S MULIWAH KUPEWA NAFASI MLIFANYA NIN CHA MAANA HIZO N SIASA TU
🤚🤚🤚😂❤
Mimi nauliza, ile miji iliyokuwa ni misafi hadi ukikwangua vocha unapata baridi na kujiuliza wapi utatupa hiyo takataka imeishia wapi? Moshi kuchafu, Mwanza, Iringa nk haktamaniki! Wapi tumejikwaa?
Wahusika saivi wooote wakusimamia wamekua viroboto bana
Hyoo
Virabu vilijaa
Sasa hakuna bunge, ni story tu za kuuza Mali za wananchi
Kwa hiyo Mbeya mi ya kwako ?
Hatuwezi poteza sifa nzuri za dunia sababu yako unamtukana Rais wa dunia.
Huyo ni Rais wa Dunia yako.sio Rais wa Dunia Mungu au Dinia ya Allah
@@Mussaphanuel-p1q uislam na mambo ya dunia wapi.na wapi tafuta elimu ahera tu.
Wewe nimubwa sugu ndoo habar ya mbeya
@@markoshem-ij6cf unakula ugali nyumbani kwenu utaelewa kitu sasa. Sugu kwa wajinga kama nyie sawa ila kwa sisi wazawa wa mbeya huyo na wewe ni mbwaa vile vile.
Hoja imesha usimix na matusi
😅😂
Nilidhani kuna tulia Sina haja na sugu
Endelea kizani hivo hivo
Utasuguliwa tuu
Speechless we mpumbavu umejaa chuki atakupola nani humuwezi madam tulia huyo ni msomi umejenga kwa hela ipi kunguni wa chadema
@@nyembobea7285 kuma La mama akoooo🤣
@@nyembobea7285 quma la mama akoooo 🤣😂😁 imekufikia
Acha kutukuna.we huna Akiri Jenga hoja.Mbeya ni sugu2 Huyo malaya wako Akiacha kuiba kula ubunge bas
@@Mussaphanuel-p1quko vizur mwamba achana nauyo chawa jina lake lenyewe Lina mchafua aache shobo atashikwa tako
@@AgaelJoackim😂😂😂😂👆
Kiongozi ajaye huyoo! Eti kudadeki!😢😢😢😢
Unapaka rangi upepo
Kaka njoo uimbe mziki tu 2lia humuwezi
Acha kudanganya watu muogope MUNGU
Kaka wewe nimhuni lete sela usitulete mambo ya kijiweni sela zenu zote nizaushamba badlikeni
WAPE VIJANA PESA ZA HOTEL WAZITAFUNE,MWACHE KICHWA CHENYE PHD DUNIA NZIMA WAMEKIELEWA DR.TULIA MBEYA HAKUNA WAKUFANANA NAYE.
Endeleeni kuja na matokeo tu mkishindwa mnasema mmepolwa kula
Panya domo lako ujambe uka lale kelele za chura hizo
Sasa Sugu wewe sawa na Diamond. Kwa huyo Spika hufiki mbali kaka.
Hivi mbunge akizungumza bungeni au akiomba bungeni huduma fulani na akatekelezwa na serikali, atakuwa amefanya yeye au serikali?
Usipoomba ukakasisitizia hupewi sasa wakileta ukiwa ulisisitizia kwanini usiseme ulileta wewe,
2025 kazi ipo mbeya
@@PaulMsema hamna kazi yoyote hatuwezi poteza jimbo kwa akili za sugu.
B@@isaacmwaseba9972lakini kumbuka 2020,ilikuwa oya oya walipita wabunge wengi kwa msaada wa serkali,sasa sijui 2025 na Mama kaishasema kila mtu afe kivyake
Tuambie pesa za mahoteli ulionunua umezipata wapi?
Nyie nyie mnamaazisha watu wasilipe kodi alafu unatuletea ngonjera mtajenga mnajena na makelele au
Wewe pumzika imetosha sasa hivi atutaki sura zile zile tunataka vijana wapya utashangaa mbowe atagombea ubunge Lema atagombea nyie kuweni washauri
We ndo ukawe mshauri Wakina sugu.wakaw wawakilishi we2
Hivi wewe ilikuwa unajuwa shida za mbeya au ilikuwa unajenga hoteli zako na kuniimarisha wewe na familia yako Leo ndio unakumbuka unajuwa mbeya
Leta sera utatusaidiaje walala hoi??? Usilete matusi.
Iyo nikazi ya serikali yeye kazi yake nikupeleka maoni ya wanaichi serekali ifanyie kazi ila coz akili zenu ndogo ni mbunge ngani wa ccm na alijenga mladi kwa kutumia pesa yake
Hakuna kitu hapo ni kamdomo sugu ameisha
Umeisha ww Sugu we2 tunampenda
Punguza shobo man utashikwa tako
Kenge wewe.
Hujitambui mbowe atakunyosha siku moja
Tamnyosha na kipi
@@bonifasimichael1320 walikuwepo wakina lowasa sumae msigwa zito silaa mashinji Bado hamshituki tu
Ss kumbe na ww unatembelea nyota yko ya bongo freva
Wewe unatembelea nyota ya wifi yako siyo!
Kwamwenye akilitimamu hawezi kuku puuuza
Mwambie huyo sungu. Hajitambui .tulia na vazi lake la uspika
Pumbavu sana huyu. Kutembelewa na balozi wa Marekani ndio majivuno yako hayo. Wananchi linawasaidia nn hilo? Hao ni mabwana zenu
Propaganda za kipuuzi kabisa, mlijenga mlikuwa na serikali?
Issue ni ushawishi na utaahi sio tu Serikali italeta tu hii ukuzubaa mnakuwa wa kuleee.
Unajidanganya wewe hupati ubunge
Si mna utaratibu wenu
Ubunge anapata Vizur.Ndo kiongozi Bora na anapendwa na wanainch