ASKOFU SHOO AMJIBU LISSU/AKANA KUHONGWA MILIONI 150 NA GARI/AFAFANUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 95

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 4 дні тому +10

    HIYO NDIO MADHARA YA MAASKOFU KUINGIA SIASA 😢😢😢😢😢😢

  • @valerianimalya5448
    @valerianimalya5448 4 дні тому +3

    mimi mwenyewe nilishangaa shoo nauhuni wote huu unafanyika apongeze kweli au bandari alizokuwa anateteaa zimerudi

  • @ericfrancis9062
    @ericfrancis9062 3 дні тому +2

    Askofu shoo amepoteza integrity

  • @valentinoswenya748
    @valentinoswenya748 4 дні тому +2

    Mnapotosha hoja ela kapata wapi za kukupatia mtumishi wa mungu zaidi ya million 150 pamoja na hilo gari la zaidi ya mamilion mana mshahala wake unafahamika kikatiba sasa yeye katoa wapi iyo ela kama sio huujumu uchimi

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 дні тому

    Hilo ni neno la mungu litabaki kuwa neno la Mungu siyo la kujipatia maslahi

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 2 дні тому

    Kumsikiliza huyu ni sawa na kumsikiliz a Chizi yeye kapewa Milioni tano na ccm mbona kachukua mjinga kabisa huyu

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 3 дні тому

    Kule Kenya Kuna MWanasheria Fulani Machachari Anaitwa Dr. Miguna Miguna.... Ni Mtu Myoofu, Lakini Ana sifa Nyingine Kubwa, HE IS TOO DAMN SMART FOR HIS OWN GOOD AND HIS "BEHIND" TALK TOO MUCH SH...T NA TRUST ME HAKUNA PAHALI ALIENDA--- ANAENDA AU ATAENDA.

  • @AnaniaMmari
    @AnaniaMmari 15 годин тому

    Shooo duuuuu

  • @alimsellem6103
    @alimsellem6103 2 дні тому

    Watanganyika sie tunajuwa wazanzibar hamtupendi Ila ikosiku mtatuelewa

  • @JohnKabuka-o7h
    @JohnKabuka-o7h 3 години тому

    MATOKEO YA SERIKALI ZA MITAA NI ISHARA YA MITANO TENA MWAKANI KAMA KAWAIDA

  • @HamisWawila
    @HamisWawila 11 годин тому

    Ww muhongo raisi ni wawote toast sela mbona unaropoka kama unahakili na ww rudisha ulizo changing na ccm

  • @nanguniMtaita-hz4zt
    @nanguniMtaita-hz4zt 3 дні тому +1

    Askofu Shoo, kama hukuhongwa kwanini useme na kutetea uovu wa Samia. Samia atawale miaka kumi au mitano, nani kakuwmbia hayo? Umepokea hujapokea utayajua kwenyewe kwakuwa umeruhusu mashaka haya yakupate. Pambana na hali yako mzee.

  • @SengalaRajabu
    @SengalaRajabu 3 дні тому

    Lisu unapotea kisiasa usifikirie maneno yako hayo yatawafanya watu wayazingatie hayo yanaishia hapo hapo,unachafua majina ya watu kwa tamaa yako isio na mwendo,utapiga kelele na utanyamaza mwenyewe maana umepoteza dhumuni la mwelekeo,soma historia ya Tanganyika mpaka kuwa Tanzania ,uisone kwa utulivu ndipo utajua hii ni Nchi ya watu wa aina gani,utatulia mwenye.

  • @IbrahimMwakasembe-mu5fv
    @IbrahimMwakasembe-mu5fv 4 дні тому +2

    Shida watumishi mnatumiwa kisiasa. Kweli swala mama apewe mitano ni la kinabii??? Hata lingekua la kinabii ushahidi uko wapi?
    Kwa maneno yako ya mama aongezewe mitano kubali kushambuliwa, na kama maneno hayo ni ya kinabii. Usijitetee, aliyekupeleka (ikiwa ni YEHOVA kweli ndo aliyekutuma) atakutetea

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 3 дні тому

    Mimi nadhani kuna Kiki za kisiasa maana nimekumbuka milioni 150 mbona zilipokelewa kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa lililopo jimboni kwa mbowe na mbowe alikuwepo pia gari alichangisha mchungaji elionora kimaro ndiyo wakamkabidhi gari

  • @MihayoMageta-k4n
    @MihayoMageta-k4n 3 дні тому +1

    Hilo mzee ni lako, kitima usimtaje hapo hana uchawa huo.

  • @LuluMeru-u8h
    @LuluMeru-u8h 2 дні тому

    😊mitano tena

  • @SalimMohamedFaraj
    @SalimMohamedFaraj 3 дні тому

    Watanzania bana wanavyoshangilia utadhani watampigia kura

  • @RashidMwasiposya-ck6py
    @RashidMwasiposya-ck6py 3 дні тому

    Moyo wake ndo shaidi ila mungu yupo kama kweli itamu hukum milele

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 2 дні тому

    Hapo ni haki ipi umeisimamia? Hapo ni ipi, ipi? Kwani million 150 huna mpaka useme ungevaa kiatu kipya? Hiyo hela ni ndogo sana kwako tusitake kudanganyana bwana! Jiwekeni mbali na siasa.

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 3 дні тому

    Samia Alitoa Ujenzi wa Kanisa Kibinafsi, May Be Ni Hela Chafu, But Also May Be Ni Hela zake Binafsi... Samina analipwa Mshahara na Kila Anapofanya ziara za Ndani na Nje Analipwa Posho Per DM etc... So Politics is Complex.. Nasikia Samia hata Akitembelea Mtanzania Mgonjwa Nje ya Nchi Huwa anampea Something For Supu au Asali mh!

  • @elishuaisaya4176
    @elishuaisaya4176 3 дні тому

    Watumishi wa mungu nyie ni watu wa kipekee sana

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 3 дні тому +1

    Sasa hapo Unasimamia haki Gani😂😂 huku Watu wanatekwa wanapotezwa? Nyie Mkoo Kimya

  • @JeradiMaulidi
    @JeradiMaulidi 4 дні тому +1

    Miminapenda ccm iendelee ilitu otehakili ccm

  • @joseph-fc6ry
    @joseph-fc6ry 3 дні тому +1

    lisu ana busala

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 3 дні тому

    Mtu yeyote akizeeka huwa akili inalema hivyo askofu shoo mmsamehe ni uzeee

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 2 дні тому +2

    Wewe Lisu wacha kudanganya watu, Mbona wewe unahongwa na wazungu watu haukusemi.

  • @KemiChilstopher
    @KemiChilstopher 4 дні тому +1

    Kama umehongwa du mungu atakunyoosha Hadi kizazi chako chote😂😂😂

    • @omarmussa5130
      @omarmussa5130 2 дні тому

      Kama hakuhongwa je? Tuwe makini na wanasiasa

  • @alimsellem6103
    @alimsellem6103 2 дні тому +1

    Wewetundu lisu weww mgombanishaji mshenzi mkubwa tunataka zanzibar yenye maulana kamili

  • @rahimsadru-ct4ot
    @rahimsadru-ct4ot 4 дні тому +1

    Kweeeeeeeel,,,askof rudsha pesa 😂

  • @williampaulmashoke7402
    @williampaulmashoke7402 3 дні тому

    Kama sio rushwa mitano ulishabikia ya nini? Si ungekaa kimya😂.

  • @MaulidyMadyo
    @MaulidyMadyo День тому

    Eti unajua tunabebewa akili

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 4 дні тому +1

    Kwahiyo lisu anaakiki zote kwel?

  • @AllanLyombile
    @AllanLyombile 4 дні тому

    Askofu uliyataka mwenyewe, tunakujuwa kuwa unamsimamo mkali siku zote, ulilogwa na nani hata ukaanza kusifia ujinga kiasi kile?

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 3 дні тому

    Kesho saa 12 nipo kituo cha kura

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 4 дні тому +6

    WEWE HUNA AKILI HUFAI KUWA RAIS HUNA MIPANGO YAKUSAIDIA KULETA MAENDELEO

    • @alphoncewilliam4325
      @alphoncewilliam4325 4 дні тому +1

      Lisu ni mwanaharakati kajaa ubinafsi hafai

    • @melch3097
      @melch3097 4 дні тому

      Kwani lazima umchague

    • @elishuaisaya4176
      @elishuaisaya4176 3 дні тому

      Kweli

    • @richardbegga6679
      @richardbegga6679 3 дні тому

      Zero brain bana😂😂😂 Samia ana Mipango gani?

    • @SengalaRajabu
      @SengalaRajabu 3 дні тому

      Pamoja na shida tulizonazo kuna wananchi wengine wanafaidika katika uongozi huu unatupiwa mawe,Cha msingi nikukazania haki itendeke japo haliwezi kupatikana kwa siku moja tujitahidi kwa Uwezo wetu ipatikane kwani inawezekana.nikamavile tulipotaka kujitawala kutoka kwa Waingereza na tulifanikiwa.

  • @CopperBelt
    @CopperBelt 4 дні тому

    Tundulisu janja sana hii yote kutafuta wafuasi sema wamebanwa skuis hawafurukuti

  • @SalimMohamedFaraj
    @SalimMohamedFaraj 3 дні тому

    Unao ushahidi

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 дні тому

    Lakini si mlipokea madhabahuni?

  • @onesmohmasuka3720
    @onesmohmasuka3720 4 дні тому +1

    Ila bishop!!??

  • @jameslaiser6276
    @jameslaiser6276 3 дні тому

    Kaa kimya Mnafiki mkubwa ww...umehongwa mbona hilo lipo wazi?

  • @NassoroKulondwa
    @NassoroKulondwa 3 дні тому

    Tanzania ni nchi ya kidemokrasia kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yke,kwa kuzingatia sheria za nchi,hivyo hata viongoz wa dini wanahaki pia ya kutoa maoni.shida udini,tofauti za vyama,zinatufanya kuchukia viongozi wetu,tukumbuke kiongoz amechaguliwa na MUNGU iwe humpendi,unampanda ndiye kiongoz wako,kubwa la kufanya ni kuwaombea viongozi wetu mungu awape hekima na busara.MUNGU ILINDE AMANI YA TANZANIA IDUMU MILELE NA MILELE.AMINA

  • @Lugiko-o2j
    @Lugiko-o2j 4 дні тому

    Kwa Hali hii hatuwezi kutoboa maisha yataendekea kuwa magumu mi siwalaumu watawala shida iko kwa Sisi wananchi wenyewe ngoja kiendelee kutulamba,

  • @AhmedDimoso
    @AhmedDimoso 2 дні тому

    Lissu chizi tu apuuzwe

    • @athumanhassani805
      @athumanhassani805 День тому

      Askofu kasha piga mpunga sasa analeta siasa kanisani hii nchii bwana

  • @VenceslausPeter
    @VenceslausPeter 2 дні тому

    Wee mjinga

  • @MarwaWambura-l7u
    @MarwaWambura-l7u 3 дні тому

    Sasa unakataa nini

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 4 дні тому +1

    MBONA CHADEMA NAO WANATOA PESA MAKANISANI,NA HATA KUWANUNULIA MAASKOFU MAGARI?NI VIZURI KUHESHIMU VIONGOZI WA DINI.

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 4 дні тому

    Suti ! Askofu suti! Suti askofu inakosekana kweli?

  • @AkimuWaziri-u9b
    @AkimuWaziri-u9b 4 дні тому

    Niviongo vichungajii.

  • @melichmahingule2896
    @melichmahingule2896 4 дні тому

    ASKOFU UMEZINGUA, RUDISHA HELA HARAKA

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 2 дні тому

    Magufuli alikuwa anahonga sana tu

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 4 дні тому

    Rudisha fedha askofu

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 4 дні тому +1

    Lisu ndivyo anavyowashambulia Amina makonda na wengine wengi kwa tuhuma mbl mbl hata kuhusu tukio lake ambalo kimsingi alilitengeneza yy mwenyewe na dereva wake ndio maana amemficha uberigiji

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 4 дні тому

      Duh umefiliska akili kiasi hicho??

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 4 дні тому

      @lusajomwaipopo5042 habari umeipata msijikamatishe kwapolisi

    • @ErnestLaiza-g6m
      @ErnestLaiza-g6m 2 дні тому

      Matako yako wewe Kuna MTU atajipiga risasi kweli kama sio ujinga unayo fala wewe

  • @Doctortv-y7i
    @Doctortv-y7i 3 дні тому

    LISU NENDA ZAKO TUONE SHE HIO VIDEO ACHA KELELE NA UZUSHI. MROHO WA MALI WE ATI LEO UNAJIFANYA KUTAMBUA MARAIS WALOPITA HAKUNA RAIS ANOPITA KWA HAKI KAMA SAMIA. MWANAMKE ALOBARIKIWA URAIS NA MOLA

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 4 дні тому

    Hata wanaomsikiliza hawamwelewi

  • @DeoMosha-xw2lr
    @DeoMosha-xw2lr 4 дні тому

    Ludisha pesa askofu

  • @asinahussein2176
    @asinahussein2176 4 дні тому

    Na wewe lisu ulihongwa gari.

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 День тому

    Wewe Askofu ulimchukia Sana,Magufuri na, CCM vipi leo?!kumbe,ukali wenu ni wa;kuombea chochote?!

  • @SamwelDaudi-qj7js
    @SamwelDaudi-qj7js 2 дні тому

    😂

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 3 дні тому

    Wewe ni mpumbavu nasi mjinga lisu huna jipya na mkakati uliopo kizani na wanao kutumia dhidi ya kumchafua rais daktari samia suluhu hassan. Mmefeli pakubwa daktari samia suluhu hassan ni chaguo letu mitano tena

    • @richardbegga6679
      @richardbegga6679 3 дні тому

      Udakitari Kasomea wap? 😂😂 Ukiwa Chawa ww ni Kupokea Maelekezo na Kuanza Kelele Bax tu unazidiwa Akili na Binti yng

    • @NassoroKulondwa
      @NassoroKulondwa 3 дні тому

      Kumbe anayempenda rais chawa? Je,anayempenda lissu yeye ni nani?

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 4 дні тому +1

    Kweli Lisu umelaaniwa

  • @SalimMohamedFaraj
    @SalimMohamedFaraj 3 дні тому

    Ndo mana dini ni uislam tu. Masheikh waadilifu

  • @joshuakasemelo1675
    @joshuakasemelo1675 4 дні тому

    Shoo wewe ulihongw