Sema @Wanyabi hamtutendei haki kabisa mbona hz episode za wanyabi zinachukua mda sana kutoka yaani tunazisubulia mpaka tunachoka…fanyeni muwa mnatoa at least kila mwisho wa wiki basi.
kabisa nawakubali sana aise atakama ni asira Niki wafwata vidéo zenu na pata Raha niambie Kuna video Moja nime sikia unaimba nyumba naipenda lakini sijuwi msani mwenyewe
Wanyabi mnachelewesha sana hizi vitu moto moto 🔥 🔥 🔥
Amazing kabisa ma brother show love 💕💕 from DRC Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Second from Burundi one love
😃😃😃😃😃ila hawa wajomba sijaona wazee
Unyama mwingi Sana mmetisha Sana wanyabi
Kheri mumerudi wanyabi😂😂😂 am watching this all the way from Bahrain
Wanyabi kazini 💥💥💯
Noma sana
Joti na wanyabi ndio wanaibeba Tanzania 👍👍
Niliwamiss sana wanyabi jamny😘😘😘😘
Figo za wanachuo ndo hazijafeli🤣🤣🤣
Show love ✌️✌️
Mussa from Morogoro 🇹🇿
😂😂😂daaaah kweli kipaji kinaongea nimecheka mpk figo yangu moja imefel😂😂
Ehee manze you guys ni noma sana 👌👌👌👌
Leteni na mzee mwenzangu baaana mmekawia
oya ukija njoo na mkongo mambo hayako sawaaa😂😂😂😂
Sema @Wanyabi hamtutendei haki kabisa mbona hz episode za wanyabi zinachukua mda sana kutoka yaani tunazisubulia mpaka tunachoka…fanyeni muwa mnatoa at least kila mwisho wa wiki basi.
Kwel yaan
Kabisa yaan
❤
Wanyabi mnajua sna wanagu
Oka
😂😂😂😂😂bustani ya edeni
Kilimo cha ukurupukaji
Mnyabi oka punguza ndevu
Mnaua sana kaka kaz yenu ni bora Sanaa
Heee here wanyabii Siri imeshafichuka
Nakubal 🙏🙏🙏
Dah kumbe figo za wasomi hazijafeli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣💯💯🔥🔥
figo za wanachuo ndo hazijafel 😃😃😃😁😁wazee tumeisha
Nawapenda bule❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Nawapenda sana
wanetu tuna wamiss sanaa kuna time jitahidi munaachia vitu mara kwa mara
Unyabinii raha sanaa
Dah hahahhaha noma sana
Mko vizuri kabisa
Wanyabi🙏🙏💯
Duuuh 🤣🤣🤣🤣
Naqbr wazeee
Bangi
Nyei wehu mnajua kunichekesha🤣🤣🤣🤣
Nimecheka kwl mpaka figo yngu moja imefeli 😉😉
Tunakubali sana hii content ya wanyabi ila mnachelewesha kutoa
Wanyambi😂😂😂 nime kuta baba yako kwa mkongo
Nawakubalii sanaa
Njoooooni MCHEKEEE JAMAN HUKUUUUU😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wanyabi noma Sana🤣🤣🤣🤣
kwanza mwanangu figo zangu zimefeli HUjui KAZI YA FIGO
Calpoza sio kwa midevu hio duh
Hahaha haha haha noma nyie
Nauza figo natafutienii mtejaaa
Wanyabi niliwa miss
Nakubali Sana wanyabi
Vjana wa hvyo sana nyie😄😄😄
I missed you guys 😂😂😂
Froblem😂😂😂😂.Hivi mzee kidile ana maana kweli sijategemea hilo jina😂😂😂😂
Nimecheka Sana😆😆👏
watoa figoo za wanachuo
Mnaigiza vizuri
Wanyabi for Life 💪💪💪🤣🤣🤣
🔥🔥🔥
Dah awa watu atari sna
Kilimo Cha ukurupukaj😁😁😁
Hahahaha nakubali Sana wanyabi
Weeeeeeeee sisi ndio wanyabiiii🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂dah ila wanangu nyie
Wanyabiii
Kunako elekea tutawakosa hawa naona akili mbaya imezidi sana
Oya nauza figoo bei chee
Io job ya meneja mnipe wanyabi,,, nitawauza hadi nywele
Nawapenda sana jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanyabi nawakubali
"Eti usile chakula chake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😆😆😆😆😆😆😆 mmetisha sana wanyabi
Aiseeee sina mbavu kwa awa watu
From DRC🇨🇩
😂😂😂 oya MTA tuua🇹🇿🇹🇿👍🏾👍🏾
Mnyabiii
unyabin kwema lakn hapo
Mlikaa sana
Utasinzia akitoe zote.....hahahaaa
Niliimisi
😂😂😂😂😂figo kama korosho
Mkongoo 😂😂😂😂😂🙆♂️🙆♂️
Unyama mwingi😂😂😘
kabisa nawakubali sana aise atakama ni asira Niki wafwata vidéo zenu na pata Raha niambie Kuna video Moja nime sikia unaimba nyumba naipenda lakini sijuwi msani mwenyewe
🔥
Unyama xana🔥
Sana
Hahaha hatar nyie
Nawa kubari wana
😂😂😂 figo
😁😁😁unyambi
Njoooooni MCHEKEEE JAMAN HUKUUUUU
daaah
nimemaindi wanyabi😆😆
Ety hajui kaz ya figoo duh
😆😆🔥💥
🤣🤣🤣🤣Wana chuo Figo zao ziko poa
Ok
Ulifeli mtihani unafeli na Figo🤣🤣🤣🤣
Kilimo cha ukurupukaji 😂😂😂😂😂
Kilimo cha ukurupukaji 😂😂😂
NIMECHEKA SANA
ila nyie😂😂😂