PART14:MWENYEKITI WA WACHAWI TZ SHEKHE ALIEOKOKA/NILIUA MKE NA KUISHI NAE TENA/UCHAWI NIMESOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 153

  • @alimachitechi2107
    @alimachitechi2107 3 роки тому +3

    MUNGU AKUBARIKI Sana Kwa Hoo historia najifunza kitu ok

  • @BraytonMwakitalima
    @BraytonMwakitalima 28 днів тому

    Nikupongeze kwa jina la yesu Alie hai wew ni mtu muhimu sana kwa jamiii na kanisa hongera mtumishi

  • @trailerhd1045
    @trailerhd1045 8 днів тому

    Bwana Yesu akulinde mtumishi

  • @agnesmwaizinga5401
    @agnesmwaizinga5401 3 роки тому +4

    Mnyeshani ako fit sana kwani kukumbuka,anaeleza vizuri ni kama history 👍

  • @katerelomkuyati6764
    @katerelomkuyati6764 3 роки тому +2

    Mzee AMBAE NI MWENYEKITI WA WACHAWI,
    KWELI SHERIA YA KUWACHINJA WASHIRIKINA NI MUHIMU SANA

    • @apostleogunaministries3846
      @apostleogunaministries3846 7 місяців тому

      Davistar watching you from kenya I am Apostle Oguna Samwel Omondi been following you for about 4 years now and as a spiritual leader I have learned a lot, remember the Liston samba friends pastors who have been Muslim before many of your episodes

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 3 роки тому +2

    Namba 4 Leo 🤸🤸🤸🤸....
    Naendelea kuipata history ya Mambo Mambo mbalimbali.
    Tungejua wapi haya kuhusu History hii adhimu ya Tanzania/Tanganyika.
    Davista endelea kutuletea Mikasa ya watu kweli tunajifunza majambo. 👏👏👏👏

  • @thegreat.9869
    @thegreat.9869 3 роки тому +1

    Daah! Kimsingi hii story umeongea mambo makubwa sana. Daily nilikuwa nawaza mwenge sana nikawa sipati jibu

  • @michaelbengesi9838
    @michaelbengesi9838 3 роки тому +3

    Mtu huyu elimu ipo ya kutosha 🔥🔥
    Tuendelee mtumishi wa Mungu

  • @jayjayuncle1054
    @jayjayuncle1054 3 роки тому +1

    Davister hyo energy inakata usingizi, tumekubali ..!

  • @kighonommbaga6925
    @kighonommbaga6925 3 роки тому +2

    Big up sana bonge la story 🔥

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 роки тому +2

    Lakini jamani all in all lakini mnyeshani ume nitoa mashikio taka big up broo

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 3 роки тому +1

    Yesu ni Bwana

  • @johanesthobias8742
    @johanesthobias8742 3 роки тому +1

    Very very intelligence namuelewa sana .

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 3 роки тому +1

    Nakuelewa sana mtumishi

  • @mariamndimbo8833
    @mariamndimbo8833 3 роки тому +2

    Nimeipenda hii story

  • @nyingos
    @nyingos 2 роки тому +2

    Mijichawi Nguli
    1. Forojo Ganze, Master
    2. Primus Mubanga Julius
    3. Shaibu Kalole Mtiga
    4. Shehe Yahaya Hussein
    5. Mfaume Golo Tumbo

  • @tracyirene8917
    @tracyirene8917 3 роки тому +1

    Aisee huyu Jamaa Hatari !! Anajua mengi Sana👍🤔🤔👍

    • @joivon3038
      @joivon3038 Рік тому

      Anaongea hata kanisan tumefundishwa jpo n kwa njia y bibilia na n kwa ufup

  • @wilsonmatunda4937
    @wilsonmatunda4937 3 роки тому +1

    Sheikh Omar Hoyeeeeeee!!

  • @bettyowiti397
    @bettyowiti397 3 роки тому +3

    Wa kwanza...

  • @talibanbokos9689
    @talibanbokos9689 3 роки тому +1

    Mwenge kuwekwa mlimani kumetabiriwa katika bibilia isaya mlango wa 18

    • @katerelomkuyati6764
      @katerelomkuyati6764 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂
      BIBLIA HII INAYOSEMA KUWA MUNGU NI CHANGUDOA
      ISAYA 23:17

  • @سلطانالقحطاني-ظ3ع
    @سلطانالقحطاني-ظ3ع 3 роки тому +1

    pamoja devi joy shee akopoa sana anaenda saidia kizazi iki kwa maarifa anayo .abarikiwe sana kumbe maneno ingine nikweli iseei .

  • @joeandres9744
    @joeandres9744 3 роки тому +2

    Kuna vitu vinanifanya nimuamini kabisa ....part 15 plss

  • @rahaisacl9954
    @rahaisacl9954 3 роки тому +2

    Tumesoma history tumeandika assay kwa tabu......kumbe mambo ndo yalivyo 😅😅😅 nilivyoanza kumsikiliza nilijua huyu baba ana kitu cha tofauti.......

  • @nsubisingailo5006
    @nsubisingailo5006 3 роки тому +3

    Embu muulize hiko chama anachokisema ndio TANU

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 3 роки тому +1

    Asantee sana shetani kwa kutukataa

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 3 роки тому +1

    Kwenye hicho kikao alikuepo na furukum naona huyu mwanga amesahau kdg

  • @fidodido9578
    @fidodido9578 3 роки тому +2

    Awee

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 роки тому +1

    Yupo makini kama dav💪💪🔥🔥🙏

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 роки тому +1

    🔥🔥🔥💃💃Wa pili 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @remigimtenga7608
    @remigimtenga7608 Рік тому

    Hatari sana

  • @zamdakimaro2973
    @zamdakimaro2973 3 роки тому +3

    DA HUKO NYUMA SIKUMWELEWA LAKINI HAPA NIMESALITI

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 роки тому +2

    Hilo ni historia ya inchii nzuri sana jee nina swuali wakati hiyo hulikwua umezaliwa kwueli?

    • @innocentandrea6482
      @innocentandrea6482 2 роки тому

      Umemsikiliza vizur,,anasema waliokuwepo zindiko la kwanza ndio wanaeleza lilivofanyika,wao walitaka kufanya zindiko la pili

  • @sallo27.70
    @sallo27.70 3 роки тому +1

    Dav.Tunaomba Namba Ya Mnyeshani.
    Huyu Mzee Ni Hazina Ya Baadhi Za histori.
    HAKIKA ANA STORI ZURI.

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 роки тому

    Habari zeeenu wana davistar,

  • @jonathanndururutse286
    @jonathanndururutse286 3 роки тому +1

    Huyu mwamba anajua kwa kweli

  • @zulfajohnkilongozi4943
    @zulfajohnkilongozi4943 3 роки тому +3

    Mbona mgeni hanywi redbull?

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 3 роки тому +1

    Ni wenye akili na wateule wa Yesu tu ndo wanamuelewa Huyu mtumishi

  • @thewomanofsteel3970
    @thewomanofsteel3970 3 роки тому +3

    Kuanzia part 8 ,nimehitimisha..Inawezekana alikuwa anajua kile kifimbo vip hapo🏃🏃🏃

  • @ngwanafabian9668
    @ngwanafabian9668 3 роки тому

    Kuna ZINDIKO lilifanyika 2008 la damu ya Yesu. Ukimpata mtu mmoja anaitwa Christian Mwabukusi utasimulia ushuhuda mwingine ambao Mungu alimwambia kuhusu Tanzania.

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 роки тому +1

    MTU makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli ulipo nipo

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 3 роки тому +1

    Wa 2

  • @abdimohamed3953
    @abdimohamed3953 3 роки тому +2

    Hio hutuba niliwah kuisikia na ipo na alielezea waliweka zindiko nawazee wakimila na walichinja mbuzi nafikir ukifuatilia hutuba zake utaisikia

  • @najimyahya7901
    @najimyahya7901 3 роки тому

    namba 1 leooo

  • @ebrahimhilllally4312
    @ebrahimhilllally4312 3 роки тому +1

    Aiseee sio mchezo

  • @nyingos
    @nyingos 2 роки тому

    Sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro.
    Umulike hata nje ya kipaka yetu.
    Ulete tumaini, pale ambapo hapana (pasipo) na (ma)tumaini,
    Upendo mahali ambapo penye chuki,
    Na heshima ambapo pamejaa (palipo na) dharau.

  • @tututz100
    @tututz100 3 роки тому +1

    KUISHI NAE

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 2 роки тому

    Huo WIMBO NAKUKUMBUKA SANA tuliimba Sana enzi HIZO

  • @satinotino481
    @satinotino481 3 роки тому +1

    Davistar please muulize ana miaka mingapi huyu?

  • @meenalaza2839
    @meenalaza2839 3 роки тому +1

    Number 9 😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 3 роки тому +3

    Mtawala wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa...ndio maana ...ukiona mkristo kama gwajima ametoka uchungaji kuwa...mbunge ni wa shetani... ndio maana kila mwaka tz kama sio boti meli gari kafara za shetani...doooo....MUNGU wangu

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 роки тому +2

      Now it make sense.,majini wanaokuja kwa umbile la binadamu ni wengi tu. Tanzania ni second home for them

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 3 роки тому +4

      @@Laila-lz4ij sio Tanzania tu...ulimwengu wooote...majini.. wanaovaa,miili ya mwanadamu...pili kuna majini watu...ambao kunawatoto wanazaliwa na watu ambao wanamtumikia shetani...mtu anampa mwanamke mimba...alafu yule mtoto anachukuliwa anakulia kwa majini...anakuwa jini mwenye asili ya mtu na hawa huwa ni wabaya sana inachukuwa muda kumjua kwasababu anaweza kujivua kabisa...ile hali ya ujini akawa mwanadamu akawa anauvaaa ujini anapotaka

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 роки тому +1

      @@jesusislord9190 mungu atunusuru

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 3 роки тому

      sure

    • @yushuaissa467
      @yushuaissa467 3 роки тому +1

      More clarification. It seems you have some good [secret] knowledge on this topic.
      Do educate us. It will be highly appreciated.

  • @presenttruthloudcryforthel5338
    @presenttruthloudcryforthel5338 2 роки тому

    Wanaitwa ma JESUITS wako katika kila serikali duniani

  • @happyoshea
    @happyoshea 3 роки тому +1

    Ndio nshaskia story za mwenge 🤔🤔

  • @jonathanndururutse286
    @jonathanndururutse286 3 роки тому +1

    Daaaah!

  • @anthonkephasglobalmedia7406
    @anthonkephasglobalmedia7406 3 роки тому +1

    Togather

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 Рік тому

    Waandishi wa vitabu kazi kwenu....nimejifunza mengi sana hapa...ndio mana CCM hawataki kuiachia nchi

  • @ellyswema2113
    @ellyswema2113 3 роки тому +4

    Aisee hii ni exclusive, sema hapo nyuma story ya Mzee Mswaki ilikwaza sana, fala sana yule mzee

  • @martinmaryogo3676
    @martinmaryogo3676 3 роки тому +1

    huyu jmaa anaonekana mdgo ila anafaham vitu vingi sana

  • @007-h9m
    @007-h9m 3 роки тому +2

    NANI ASIE JUA TANZANIA INATAWALIWA KICHAWI🤣🤣

    • @videozaaj1069
      @videozaaj1069 3 роки тому +1

      Inabidi ujue kila nchi zote duniani,hata hizo nchi zinazoitwa takatifu kama israel na iran zinatawaliwa na miungu ya kishetani,ko sio tanzania tu

    • @007-h9m
      @007-h9m 3 роки тому +2

      @@videozaaj1069 ni Tanzania pekee ndo mana watawala wanajua wanatawala mazombi hawajitambui ndo mana darasa la saba anaenda bungeni kutunga sheria we uliskia wapi kama sio Tz pekee ...wakati dereva wake lazma awe O level ni nchi ya vituko kabisa

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 роки тому +2

    Yani 1960s ulikuepo na unaonekana kijana baado sana siri ni nini?

  • @basamtz8674
    @basamtz8674 3 роки тому +1

    8 apa nimewahi

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😃😃😃😃😀😀....mtawala wa ulimwengu huu ameshahukumiwa

  • @lifezest6274
    @lifezest6274 3 роки тому +3

    Hii simulizi inaingia kwenye 5 bora.
    1. Zabron
    2. Lwanda Magere
    3. Mussa Chessa
    4. Omary Mnyeshani
    5. Msako wa mali za mjerumani
    6. Pastor Dani
    7. Marasta
    8....
    9...
    10...
    :-)

    • @sallo27.70
      @sallo27.70 3 роки тому +1

      JUMA 17

    • @dotosalim5090
      @dotosalim5090 3 роки тому +1

      Dani mbona ayupo

    • @lifezest6274
      @lifezest6274 3 роки тому

      @@dotosalim5090 yupo

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 роки тому +2

      @@lifezest6274 jaman story ya *msako wa Mali za mjerumani* mbona siijui

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 3 роки тому +1

      yan wat mko makin kiukwl hyo list hapo juu umejitahid kuipang

  • @erickmasumbuko3841
    @erickmasumbuko3841 3 роки тому

    Wa 7

  • @credo7837
    @credo7837 3 роки тому +2

    Kunamtu simuoni humu mpeni salamu🤣🏃‍♂️

  • @happinessemmanuel6336
    @happinessemmanuel6336 3 роки тому

    5

  • @basamtz8674
    @basamtz8674 3 роки тому

    Yule anaeleta umbea kutoka kwa Bm naona bado ajaamka

  • @erastonyonierastonyoni1193
    @erastonyonierastonyoni1193 3 роки тому +1

    Dah sijawahi ona kama huyu

    • @rosecruiz4348
      @rosecruiz4348 3 роки тому

      Ume musahau Chifu gikaro aka mzee wa misosi tume kumisi mzee baba ndio tuna kutambua

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому +2

      @@rosecruiz4348 Mzee wabakora tu alikuw noma

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 роки тому

      @@credo7837 we nae kishenzi yani

    • @aishaally8811
      @aishaally8811 3 роки тому +1

      Mzee wa bakoraa unamuacha wapi

  • @basamtz8674
    @basamtz8674 3 роки тому

    Namba

  • @cecycecy3610
    @cecycecy3610 3 роки тому +2

    huyu bwana nyeshani hana mtandao wa kijamii kama wengine inst au fb davstar tuhulizie bhas

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому +2

      Oooh nawew unataka kuingia

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 роки тому +2

      😂😂😂😂😂😂

    • @cecycecy3610
      @cecycecy3610 3 роки тому +1

      @dj nataka nitest mitambo kidgo

    • @cecycecy3610
      @cecycecy3610 3 роки тому +1

      @@Teacher_01 mamma umefurahi mshirikaa

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому +1

      @@cecycecy3610 aaajamnii wew sasa utatumaliza wanaumee ukipata uchawi 😥😥😥

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 роки тому +1

    Kumbe tulishauzwa kwa shetani siku nyingi 😭😭😭

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣🏃‍♂️

    • @marthamaligo458
      @marthamaligo458 3 роки тому +2

      Kilichopo nikujinusua mwenyewe

    • @happyperson3016
      @happyperson3016 3 роки тому +2

      Yaani ndio maana shetani aliambia yesu amuabudu ndio ampatie dunia kwa sababu kila kitu ni chake..viongozi wetu walishatuuza kwa shetani.mwenyezi mungu tusaidie

    • @aishabeka5562
      @aishabeka5562 3 роки тому +1

      😳🙆🤔🤣🤣🤣

    • @khadijaomari9344
      @khadijaomari9344 3 роки тому +1

      😀😀😀😀

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 роки тому

    Mwenge ndio nini

  • @credo7837
    @credo7837 3 роки тому

    Tuendee story kali balaa imejaa ushirikina tu

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 роки тому

      😁😂

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому

      @@Laila-lz4ij 🤣🤣🤣🏃‍♂️

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 роки тому

      @@credo7837 tuendele kusikiliza story

    • @aishaally8811
      @aishaally8811 3 роки тому

      🤝🤝🤝🤝🤝👐👐👐

    • @tracyirene8917
      @tracyirene8917 3 роки тому

      Ndio maana Tunafuatilia tujue mengi Aisee !🤣🤣🤣