Ukweli kuhusu Benjamin Mendy, Mchezaji aliyeitwa Mbakaji Katili na jinsi alivyoshinda kesi yake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

КОМЕНТАРІ • 99

  • @abdulrazaqfils4234
    @abdulrazaqfils4234 Рік тому +12

    Alhamudillillah Yaa Allah to protect Our love brother

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 Рік тому +11

    Ukikutwa na makosa, unaweza hata kufilisiwa..
    Usipokutwa na hatia wale waliokuharibia maisha wanakuwa huru bila hata kulipishwa chochote..
    Mtu anatumwa tu kukuharibia maisha..
    Dunia hii ina Watu Wana roho ngumu sanaaaaa

  • @beckayabiy9384
    @beckayabiy9384 Рік тому +14

    Umeniletea story niliokua naifikiria kuiyomba kutoka kwako Asante sana kwa kutupa vitu bora

    • @Shadadihamis25
      @Shadadihamis25 Рік тому

      3:37 e

    • @bwari01
      @bwari01 Рік тому +1

      Let this be a lesson for artists and superstars especially from Africa…. Please know that women in the west will weaponize their whiteness/ western less against your blackness. They can make. Up lies about rape and other crimes so as to access your money. He is lucky he was not found guilty. Others have not been lucky. Wakija hizi nchi za wazungu,
      Tahadhari sana! I am glad he got off.

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 Рік тому +3

    Alhamdulillah _
    Shukran zote ni Kwa ALLAH

  • @jeanpierrekwizera6400
    @jeanpierrekwizera6400 Рік тому +8

    God is Good all the time 🙏

  • @misangasaidih8764
    @misangasaidih8764 Рік тому +7

    Walimkamia sana. Mungu mkubwa

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 Рік тому +1

    Unapokua tajiri kuwa makini sana maana watu walio wengi hujifanya Wanakupenda,amini nakwambia watu hupenda kile ulichonacho

  • @davidomar-un4op
    @davidomar-un4op Рік тому +3

    Wanawake barani ulaya kuwaongopea mastaa kwa kuwafanyia unyanyasaji wa kijinsiya Wamefanya kuwa ni biashara yao sana sana mastaa wenye asili ya África

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 Рік тому +4

    Niliwaza snaa hii story❤❤❤❤

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 Рік тому +3

    Asante sana mkuu tuko pamoja ❤ 💪💪🇰🇪🇰🇪💪💯

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому

    Mashallah, hongera sana ndugu yetu katika Imani,Mungu mkubwa.

  • @imma_billy
    @imma_billy Рік тому +2

    Dah 😣 Mungu kamsaidia 🙏🏾

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao Рік тому +1

    🗣️*Alhamdullilah* Hilo Ndilo Neno Alilotamka ila Mbona Wachezaji Weusi Ndo hufikiriwa Au Kutupiwa Kesi zakubaka🤷🏾‍♂️🥺Huzuni Sana

  • @brunoinnocent8474
    @brunoinnocent8474 Рік тому +5

    Like zangu🎉

  • @samirmswahili
    @samirmswahili Рік тому +7

    Ukiwa na hela ni shida tu ukiwa huna shida yani stress tu

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk Рік тому +4

    Mungu mkubwa kila laher Mendy

  • @khadijarashidy9304
    @khadijarashidy9304 Рік тому +2

    Apewe maua yake sky💐💐💐

  • @AndrewPaul-wy6qq
    @AndrewPaul-wy6qq Рік тому +1

    Sky nakukubali sana bro✊

  • @Mina.15
    @Mina.15 Рік тому +7

    Here US 🇺🇸 is alot of black People are in prison 40 ro 50 years for crime they didn't commit 😢😢

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious Рік тому +1

    Kwanini Matukio Kama Haya Yanatokea Kwa Kiasi Kikubwa Kwa Watu Wesi?

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 Рік тому

    Alhamdulilah

  • @massudbiz9828
    @massudbiz9828 Рік тому

    That's why I like so much #sns
    Mnatupatia habari sahihi❤️❤️❤️

  • @omarkhelaifi5888
    @omarkhelaifi5888 Рік тому +1

    Sky tunaomba story ya dele Ali. 🇧🇮🇨🇭

  • @azamazam3279
    @azamazam3279 Рік тому +1

    Alhamdulillah

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 3 місяці тому

    Hapo tunapata fundisho sisi watu weusi tunapo faulu kwenye maisha tukiwa na wazungu tusione kama nasisi tumeshakua wazungu, wazungu hawatupendi na hawapendi mafanikio yetu kamwe.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Рік тому +1

    Ulaya Yani wanazinguliwa Sana ukiwa tu star na tajir,,Kila mtu anakuja kwako kimaslahi alafu baadae wanapanga mpango wakukudhurumu pesa,,sio haki

  • @chuzilapweza6517
    @chuzilapweza6517 Рік тому +2

    kesi hizi husikii kukutwa nazo wazungu...yaani kila siku wanabebeshwa watu weusi...!!

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Рік тому +2

    Wanawake wakizungu Wana mapenzi yakitapeli kwa watu weusi

  • @peninacharles9757
    @peninacharles9757 Рік тому

    Ukiwa unafanya kazi ulaya Bora upige Puri .✍️✍️✍️

  • @chuzilapweza6517
    @chuzilapweza6517 Рік тому +1

    hawa wachezaji wa kiafrika wanapata tabu tu ulaya wakati huku wameacha mademu wa kiafrika kibao ambao kamwe hawawezi kuwafanyia unyama wanaofanyiwa na wazungu...!

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 Рік тому

    Kunaajagani ya hawa wachezaji kufanya sherehe namna hii ilihali wanajua hawapendwi na watu weupe? Kwann wasijiepushe na mambo hayo?
    Alhamdulillah, umenusuliwa

  • @EzekielJohnMollel
    @EzekielJohnMollel Рік тому +1

    👏👏👏

  • @mohamedslh5478
    @mohamedslh5478 Рік тому

    Hawati kukubali kua mungu ametupa talents wanataka kua wao juu kila siku

  • @jalanbuali5027
    @jalanbuali5027 Рік тому

    Wazungu sijui watatuacha lini ss ngozi nyeusi yaani awapendi ngozi nyeusi ikifanikiwa

  • @user-hj4bc5uh2x
    @user-hj4bc5uh2x Рік тому +2

    Yan nilichogundua hawa wajenzihuru ukiwahaupo kwenyechama chao wanakutengenezea mazingira mengi yakukufilisi hawa washenzi sana

    • @princekarani7836
      @princekarani7836 Рік тому

      Ipo ivyo wakikuhitaji ukakataa wanakuanzia visa,au mpaka kukuua kabisaa,ata niliona sehemu ata Sean kingston mwanamziki iyo siku izi ndo karudi tena lakini alitengenezewa mizengwe mpaka basi kisa kakataa

  • @ndikumanamoussa4103
    @ndikumanamoussa4103 Рік тому +1

    Kwakwl nimekuw nasubir Sana iyo story asant

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 місяці тому

    Fredrick bundala sitokataa tamaa ila ninachotamani uwe mtangasaji wa crown media

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 Рік тому

    Dah ila kawagonga sana! Sema walimkamia sana..

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 Рік тому +2

    Mungu die mteteanji wetu

  • @jamesmkanula4625
    @jamesmkanula4625 Рік тому

    GOOD

  • @CollinMixon
    @CollinMixon Рік тому

    👏🏽

  • @Joe-tr2vk
    @Joe-tr2vk Рік тому +2

    Sky huyo Louis Saha Matturie si yule Louis Saha mchezaji wa Ufaransa. Huyo ni kuwadi a.k.a chawa tu anatokea Sierra Leone. Yule mchezaji anaitwa Louis Laurent Saha ana asili ya Guadeloupe

  • @FatumaIssa-kw3vv
    @FatumaIssa-kw3vv Рік тому

    Mungu hana utamaduni wakumudhulumu mwenye haki

  • @jalanbuali5027
    @jalanbuali5027 Рік тому

    Funzo unapotoka nchi yenu ukaenda tafuta nchi za watu fatakilicho kupeleka wekeza kwenu owa kwenu wanawake wa kizungu siyo watu ni mashetani wanawake wa kizungu wakishakujua ww unapesa aise utaona dunia chungu aise wekeza kwenye likitokea hata ukirudi kwenu unacho cha kuanzia

  • @bakarirajabu3783
    @bakarirajabu3783 Рік тому +2

    Nimuda sasa wa afrika tuboreshe maisha ili tuepukane na manyanyaso ya wazungu

    • @hamzafishten9560
      @hamzafishten9560 Рік тому

      Kaka haitowezekana kwasababu viongozi wetu wengi wao niwafiki

  • @Melosimaya
    @Melosimaya Рік тому +1

    First viewer nipe maua yangu

  • @jalanbuali5027
    @jalanbuali5027 Рік тому

    Mwamba anaogopa kuingia kwenye mausiano 😂😂😂

  • @gatotojeanalain4877
    @gatotojeanalain4877 Рік тому

    Watawamaliza wasipo Rudi Afrika

  • @aminammbaga7736
    @aminammbaga7736 Рік тому

    Hapa kilichompelekea yote ni mtindo wake wa maisha so for niw i bet atapunguza

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 Рік тому

    Pole broo huenda hujabaka kweli ila na wewe kwa huko kukiri mlikua munakubaliana unaonesha ngono unaipenda😅

  • @saidmasiwa5170
    @saidmasiwa5170 Рік тому

    Oha sasa nitiani kutoka kwa mungu acha mambo ya kujilusha dawa tafuta mweusi mwenzio owa tu

  • @jalanbuali5027
    @jalanbuali5027 Рік тому

    Hawo wazungu tu wanakuja kuowa africa atasijui kwann na kwao kunawanawake wazuri mno

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 10 місяців тому

    Wanawake qanafata nini kwake ss

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 Рік тому

    Ao wanawake walienda kuangalia Tv au

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu Рік тому

    Wanawake wa ulaya ni mashetani wanataka pesa za mtu kwà lazima

  • @davidomar-un4op
    @davidomar-un4op Рік тому

    Kama walivyo wageuza watoto kuwa biashara zao pia ,ndio maana leo hii ukizaa na mwanamke yeyote duniani hakawachi unchukuwe mtoto ili uwe unantumia pesa kila mwisho wa mwezi

  • @peterkimati7003
    @peterkimati7003 Рік тому

    Unavitu vikali sana
    Jitahdii bs angalau hii uifanye tv rasmi tuwe tunaipata kwenye vingamuzi😢😢

  • @bajosdamour2347
    @bajosdamour2347 Рік тому +1

    Ssa bwana sky hivi uyo Franck Luckman tutamuona lini mbna tunashabikia Ghost writer

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  Рік тому +1

      Naam, Frank ni mtu wa behind the scene tu, si mtu wa camera

    • @josephk90
      @josephk90 Рік тому

      ​@@SimuliziNaSautije jina lake linaandikwaje me huwa napenda unavyolitamka😂

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 Рік тому +1

    Unapokua na hela basi muogope ssana mwanamke🤦‍♂️

  • @mchopanga7985
    @mchopanga7985 Рік тому

    Kaka samahani naomba simulizi ya YNW MELLY na hatima ya kesi yake

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in Рік тому

    Wazungu hao

  • @costamkyuci7886
    @costamkyuci7886 Рік тому

    ❤❤❤

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 Рік тому

    Kwani Mason greenwood yupo bado man united

  • @bgmadethekid190
    @bgmadethekid190 Рік тому

    Stay always from them British girls

  • @saidmasiwa5170
    @saidmasiwa5170 Рік тому

    Walikua na tamaa tu pili wislam wake

  • @Bambagatz
    @Bambagatz Рік тому

    Wanawake Sio wa mchezo mchezo ni wa kukaa nao Mbali sana uwe na hela usiwe na hela

    • @isikesamike
      @isikesamike Рік тому

      Very true. Ukiendekeza wanawake umechagua matatizo na umasikini.

    • @jalanbuali5027
      @jalanbuali5027 Рік тому

      Hata wanaume pia wapo wa hivyo muhimu ni kuwa makini kwenye kuchagua na kumpima nq ujue ataweza yote utakayopitia

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 Рік тому

    Hawa wanawake wengine ni mashetani wamemuharibia future

  • @prettynayally2177
    @prettynayally2177 Рік тому

    Nilikuwq na kutang kwq tiktok bora umeileta

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Рік тому

    Kwanini wafrica wakiwa na mafanikio ulaya wanafanyiwa figisu

  • @sahirstimajr4394
    @sahirstimajr4394 Рік тому

    20/07/2023____04:24 pm

  • @EliasJohn-lc8nu
    @EliasJohn-lc8nu Рік тому

    Mungu mkubwa lakin wameua kipaji chake

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 Рік тому

    Wanawake ni mashetani kweli

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Рік тому

    Ndio wakome umalaya hawa wanaume. Ingelikuwa hawalali na wanawake hovyo hovyo yasingemkuta.

    • @isikesamike
      @isikesamike Рік тому

      Fuatilia kwa makini kuhusu wanawake wa magharibi (Ulaya) juu ya mastar wa Kiafrika. Usilaumu tu kwa kukariri, fuatilia utapata ukweli.

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 Рік тому

    Wacha watu wakacheze arabuni

  • @ayoubpapiy6692
    @ayoubpapiy6692 Рік тому

    Napata wasiwasi wanawake 13 wote wakusingizie wewe"!!?

  • @AndrewPaul-wy6qq
    @AndrewPaul-wy6qq Рік тому

    Sky nakukubali sana bro✊

  • @malonemalick1999
    @malonemalick1999 Рік тому

    👏👏👏👏👏