WACHEZAJI WA TAIFA STARS WAKIPATA MOTISHA NA MECHI ZA MAJARIBIO TUTAFANYA VIZURI
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Mwenyekiti wa chama cha mpira mkoa wa kagera mheshimiwa Salum Khamis Chama amesema timu ya Taifa Stars ina nafasi ya kuonyesha uwezo wake kwenye michuano ya AFCON kwasababu kwa sasa kiwango chetu kinazidi kupanda hata katika viwango vya FIFA na CAF