Swala la kuokoka la leta utata kiwanjani ukweli wajulikana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 46

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk Місяць тому +10

    Alhamdulillah no one leo , Allah awajaalie wakristo wakiona kweli waifuate aamiin

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 Місяць тому +4

    Wa alaykum salaaam warahmatullahi wabarakatuh shekhe letu Salim nafrahi kuwaona mnabaghilishia umma uislamu bendera inapepea juuu juu kabisa yaani... jazzahkumullahukhairan

  • @abdisalat1579
    @abdisalat1579 Місяць тому +1

    Asalam alykum warhamatulahi wabarakatu BarakaAllah kazi nzurii

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Місяць тому +1

    Waaalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh

  • @ISLAMSwaleh-fc7hr
    @ISLAMSwaleh-fc7hr Місяць тому +2

    Kisha usiwacheke kwa sababu ya kuteleza kidogo.

  • @ZakiyaAnwar-w1r
    @ZakiyaAnwar-w1r Місяць тому +1

    Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh MashaAllah Allah awabariki inshaAllah tuko pamoja

  • @mahmudmugarura2175
    @mahmudmugarura2175 Місяць тому +2

    Walaikum salam warhmatillah wabarakat

  • @estherwamaitha1006
    @estherwamaitha1006 Місяць тому +3

    Waleikum salaam warahmatullah wabarakatuh

    • @salimiddi7583
      @salimiddi7583 Місяць тому +1

      Wlkum msalm waratulahyh wabarakatuh

  • @mishijuma5558
    @mishijuma5558 Місяць тому

    Assalaam alaikum warahmatullah wabarakatu hongereni saana mashekh wetu kwa kazi nzuri ALLAH awalipe hapa duniani na kesho akhera ,,,nilikuwa nauliza ,vp Hali ya sheikh yusufu

  • @rashidhamad3538
    @rashidhamad3538 Місяць тому +1

    ukiwa unafanya mazuri huwa umeongoka na sio kuokoka, kuna KUONGOKA na KUOKOKA, hapa duniani ni KUONGOKA na kesho ni KUOKOKA, nafikiri umeelewa sheikh Salim

  • @bahsansheikh6042
    @bahsansheikh6042 Місяць тому +1

    SUBHANALLAH

  • @abdallahazizi999
    @abdallahazizi999 Місяць тому +1

    Walimu naomba Mwenyezi Mungu awape uvumilivu naafyanjema

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 Місяць тому +2

    😅😅😅huyo yuwamaanisha KUONGOKA, ila hajui kujielexa Wala kutofaiutisha na Kuokoka

  • @HisMajesty64
    @HisMajesty64 Місяць тому +1

    Assalamu Alaykum sheikh salim na team

  • @salimiddi7583
    @salimiddi7583 Місяць тому +2

    Allahdhulahih 🤲

  • @josemu870
    @josemu870 Місяць тому +3

    Allahamdhulla

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Місяць тому +2

    Sheikh Salim umepoteza muda mwingi sana na huyo jamaa wakwanza , it's clear hakuwa anajua anaongelea nini. Watu kama hawa si wakujadiliana nao sana. Hajui maandiko wala hana khabari na dini yake. Ye anaongea tu story zake.

  • @daru2549
    @daru2549 Місяць тому +2

    aSalaamu Aleikum warahmatulullahi wabarakatuh ustadhi mm nmekua mwanafunzi wako ila naomba unionyeshie pale naeza pata bibilia ya Africa au king James 1952

    • @salimiddi7583
      @salimiddi7583 Місяць тому +1

      We wataka msahafu au bibilia

    • @hamzayesu2017
      @hamzayesu2017 Місяць тому

      @@daru2549 Biblia ya kiafrika nenda kwa book shop za kikatoliki utazipata ila Biblia 1952 imekua ghaibu sana kuzipata sio rahisi vile huwa twazipata kwa bahati sana lakini iwapo una mtu Tanzania anaweza kutafutia....!!!

  • @dibasora6481
    @dibasora6481 Місяць тому +1

    Alhamdullilah

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Місяць тому +1

    Ukija kiwanja cha Reuben uje umejipanga, ukileta maandiko yakirongo utashikwa tu. 😅😅

  • @hamzayesu2017
    @hamzayesu2017 Місяць тому +2

    Kaka mtu kama huyo wa mwanzo kwa dakika tano utamuelewa vizuri,asiaribu mda kwa kubisha na hajui lolote plz

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Місяць тому +1

    Huyo anaharibu muda hana point.

  • @spinicahakama4500
    @spinicahakama4500 Місяць тому +1

    Alhamdhulirah ❤❤❤🙏🙏🙏🙏

  • @MwangiMuhammad-q8r
    @MwangiMuhammad-q8r Місяць тому +1

    Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu.. mazbut wallah ndani ya railway grounds,, Jannatul Firdaus iwe makao yenu Amin

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому +1

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote

  • @UGASGEDI
    @UGASGEDI Місяць тому +1

    Sawa

  • @IsmailIbrahim-uu9xx
    @IsmailIbrahim-uu9xx Місяць тому +1

    Kutoelewa Ni shida

  • @ISLAMSwaleh-fc7hr
    @ISLAMSwaleh-fc7hr Місяць тому +1

    Kuwa ba subra kidogo ustadh. Wawache waulize maswali mwanzo. Sasa wewe unwachanganya na kuuliza maswali yako. Hawataelewa ukienda kwa hiyo njia

    • @hassandinhoosmail6378
      @hassandinhoosmail6378 Місяць тому

      Wlhi Ustadh ajawachagania lkni, Wchungaji wao ndio ame wapoteza.

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Місяць тому +2

    HATUTAKI SHADRAK KUULIZA MASUALI YAKE YA KIJINGA, TAFADHALI!

  • @EmilyTembo-k7e
    @EmilyTembo-k7e Місяць тому

    52:18 Huyo dogo asielewa anadhani neno NINGEPENDA
    Litamufanya aonekane msomi na mwenye busara wakati anaharibu zaidi na kuonekena mpumvu kwani mjinga anakubari kujifunza lakini mpumbavu utapoteza muda kumufundisha kwani anaamini kama anajuwa

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 Місяць тому +1

    Masheikh hapa nahuyu kijana wote viswahili vyenu havieleweki jitahidi masheikh wetu kuzungumza kiswahili kinachoeleweka ndio maana hamuelewani sio kwabaya masheikh nilitamani ningekua hapo tusaidiane kiswahili

    • @hamzayesu2017
      @hamzayesu2017 Місяць тому +1

      Kaka kiswahili unaosikia ndio mwisho hakuna la ziada kama wewe umelelewa katika sehemu wanazungumza kiswahili sanifu tofauti na huku kwetu vumilia😂

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 Місяць тому

      Icho ndo kiswahili cha Kenya kaka na.wote wanaelewana hao

  • @davidnjagi5274
    @davidnjagi5274 9 днів тому +1

    Iko sawa Wakristo waelewe pole pole, think ni ile, brain washed wZungu waliwafanyia Mungu ni mmoja, even me dio nmekuja kuelewa

  • @adrisshagi1255
    @adrisshagi1255 Місяць тому +1

    Asalamu aleykum That’s Christian rules must lie yourself . Shula tulikuwa kitanda weli. Chora chora Hajui Ana chora.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Місяць тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh