kuna mambo kadhaa yanasababisha hayo, shida inaanzia kwenye vipimo vya kutengenezea sabuni. Unapozidisha caustic soda sabuni huwa ngumu sana hadi kushindwa kukatika vizuri na kumeguka kama muhogo, na unapopunguza sana caustic soda sabuni huwa nyepesi sana na kuwahi kuisha unapoitumia. Kuhusu povu hutegemea na aina ya mafuta unayotumia. kuna mafuta mengine hayasupport povu kabisa.
Asnt mwl ubarikiwe nitanunua kitabu
Iko sawa
Asante mungu akubariki
Hivo n amafuta ya kawaida ama
Costic soda umeweka kiwango gani Na Maji kiwango gani
Asante mungu akubaliki
Amina
Sijaona ukiweka sodium siliketi au siyo muhimu?
Costis solutions umepima mills ngapi
Costic solution umeweka kiasi gani
Mwl je cwez kupt icho kitabu kama kitabu
Thanks Pius, sasa inakuwaje kuna sabuni ni ngumu Sana na povu sana ila kuna nyingine hazina povu na nyingine ni nyepesi.
kuna mambo kadhaa yanasababisha hayo, shida inaanzia kwenye vipimo vya kutengenezea sabuni.
Unapozidisha caustic soda sabuni huwa ngumu sana hadi kushindwa kukatika vizuri na kumeguka kama muhogo, na unapopunguza sana caustic soda sabuni huwa nyepesi sana na kuwahi kuisha unapoitumia.
Kuhusu povu hutegemea na aina ya mafuta unayotumia. kuna mafuta mengine hayasupport povu kabisa.
@@PIUSJUSTUSMULIRIYE mafuta gan mazur yenye povu la kutosha ?
mise/palm kernel oil
@@PIUSJUSTUSMULIRIYE asante sana huwa hauna uchoyo Mungu azidi kukuimarisha kwenye kazi zako .
Amina, tuko pamoja
Mavita ganihio
Pamoja sana 🤝
Karibu sana ndugu
Sorry caustic soda inapatikana vip na hiyo soap mould ?
Caustic soda unaweza kupata kwnye maduka ya wajasiriamali au sido.
mould unaweza kuchonesha tu kwa fundi
Napataje kitabu
Nahitaji kitabu gharama zipoje
🔥🔥🔥🔥🔥
Kitabu nitakipataje sasa
Unatumiwa kupitia whatsapp. 0754745798
Kitabu kiasi gani?
10,000/-
@@PIUSJUSTUSMULIRIYE Sawa nikiwa tayari nitakutafuta .
Nahitaji vedio ya vipimo naipataje