Dah majaribu haya- ss muhudumu aanchukua pesa kutok kwa pastor ambazo zinawaingiza watu ktk shida ngumu kweli kweli..Ibilisi mbaya kamtega kijana wa wenyewe kweli
Sahihi sababu miaka yotee siku zamapumziko Kati Kati yawiki zinajulikana atutake ladhi ila siku angesema kesho mashabiki zangu sitokua ewani ili tuache kukaza macho UA-cam km tunaingiza uzi kwenye tundu la sindano😢😢
Bora useme wewe, maana hadithi imejaa mawazo yake tu… yani inachosha kinoma, hajui kama anachotakiwa kufanya ni kusimulia alichosimuliwa (kama kweli kipo) kazi ya kufikiri na kuamua jema na baya atuachie wasikilizaji.
Mmmmh mapumziko yameanza lini tena dada vero katikati ya wiki?
Dada Vero tunaomba umuombe rose atoe namba please
Kuna jamaa hapo ana kimbelembele, mda ujaisha kasha anza kubonya computer😢
😂😂😂😂😂nami namwonega kila siku tena nilitaka kuoji umeniwahi
Ananiudhi mim
Anaonekana mshamba fulani
@@adeodatuskakorozya9064 SIO HUYO TU NAONA KILA MWENYE ZAMU YAKE KABLA VERONICA AJAKUSANYA VIRAGO VYAKE LAZIMA ASOGEE HAPO
Anaboaa, sijui huwa nini? Kwani Vero hajui muda 😢
Dada vero iringa hatuwapati mitamb imekataa hamko hewani
Vero mbona ya Jana haipo???
Asante san dd vero tunajifunza meng kuptia simuliz....cat toka oman
Dada Vero naomba muombe Rose atoe namba yake
Hii simulizi tunamaliza nayo mwaka😂😂😂 kama vile tunaangalia tamthilia 😂
😂😂 ume ona wana chelewesha sn ili siku zishe mwezi umekata kwa kasimulizi katogo hivi
Tatzo unarudia sana kitu kimoja mara nyingi jmm
Sana hapo tu anatuchosha ukisikiliza ya usiku saa 5 harudii neno hata moja ananyooka tu tunasikiliza watu wazima tunaerewa kurudia unatukwaza
Doh!!! Pole xan da ROSE yaan kuna watu hawana huruma ktk hii dunia
Dd wa kiroho anawalaghai mabinti /mtumishi wa Mungu naomba wachukuliwe hatua kali, yaani ningekuwa nina uwezo ningeibeba iyo shoo
Dah majaribu haya- ss muhudumu aanchukua pesa kutok kwa pastor ambazo zinawaingiza watu ktk shida ngumu kweli kweli..Ibilisi mbaya kamtega kijana wa wenyewe kweli
Mungu ni wetu sote
Tumekumiss jamn.
Ni Mungu tu kamsimamia Rose, nae angesha fariki.😮
Nimepekunyua jaman kutafuta sehem ya 13 mpk UA-cam yenyewe ikasema nimechoka
😂😂😂
Mm pia nilitafuta Namba 6 hadj nikaacha tuu nikaendelea Namba 7😂
Mmh vero tatz lako unazngumz can kuhuc matangaz jamn unamalz md pleax jaman😢
Leo umependeza jamani sweety
Yaani huyo kaka simpendi jamani Kwa nini asiwe anasubiri nje ya mlango kule
Heeee wewe asipokuja hapo da vero anajisahau
Ustaarabu ni kutoa taarifa mapema, sio unakuja leo kutuambia jana ilikuwa siku ya mapumziko, and that is professionalism.
Kwendra ..kil Mt anautartib wake
🤣🤣unafurahisha kwan ww ndo boss unavyolalamika sasa afikili n ya maana san unaongea.
@@GraceElisante utaratibu wako chumbani kwako, ukija kwenye public unafuata utaratibu wa kitaaluma, ila kwa akili yako ndogo huwezi kunielewa
@@AthumanBahati-j4r akili ndogo haiwezi kuelewa pole
Sahihi sababu miaka yotee siku zamapumziko Kati Kati yawiki zinajulikana atutake ladhi ila siku angesema kesho mashabiki zangu sitokua ewani ili tuache kukaza macho UA-cam km tunaingiza uzi kwenye tundu la sindano😢😢
Jana nili teseka ila leo😅😅😅
Yan nilikaa online adi sa7 usiku jaman yan nkahsis sm yangu inashidaa😂
😂😂😂Vero kajua kutupata
Jana umetutesa jamani dada Vero
Yaaan hunifikii Mimi dear😂
Unasimulia au unaubiri 🤣🤣🤣
Simulia wewe tuone
😅
😂😂😂
Naogopa kusema
Bora useme wewe, maana hadithi imejaa mawazo yake tu… yani inachosha kinoma, hajui kama anachotakiwa kufanya ni kusimulia alichosimuliwa (kama kweli kipo) kazi ya kufikiri na kuamua jema na baya atuachie wasikilizaji.
Uku live uhaba wa bando 😂😂😂
Yaani jana mi nilichanganyikiwa,kukukosa
Kama mimi jaman mpaka nikafikiri labda ni j,mosi me ndo sijui😂😂
@@عايشةتنزانياhata mimi 😂😂