LEO AMEZALIWA (OFFICIAL VIDEO) - St. Benedict Catholic Choir - Rapogi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Performers: St. Benedict Catholic Choir - Rapogi
    Producer: Verony Productions Ltd.
    Composer: Ochieng' Odongo
    Copyright ©Verony Productions Ltd.
    Leo amezaliwa masihi mwana wa Mungu x 2.
    Na tuimbe sote tuseme aleluya x 2 (hakika)
    Leo tumepatanishwa na mwenyezi Mungu x 2.
    Njooni wapenzi, tufanye shangwe,
    Viumbe wa Mungu tufanye shangwe,
    Katika nyumba ya Daudi amezaliwa,
    Mfalme wa juu mbinguni na duniani.
    Na malaika, wanamwimbia,
    Hosanna! Hosanna! juu mbinguni,
    Sote tupazeni sauti zetu zaidi,
    Tujiunge na Malaika na tumwimbie.
    Tukufu juu kwa Mungu wetu,
    Na amani kote ulimwenguni,
    Yesu mwokozi kazaliwa leo mapema,
    Twendeni wote tumwabudu na tumsujudu.
    Na jina lake ni mshauri,
    Mshauri wa ajabu, Mungu hodari,
    Mfalme wa amani tena Baba milele,
    Mungu atokaye kwa Mungu Mwanga kwa Mwanga.
    Mungu Mwenyezi katushukia,
    Nguvu na uweza,wote ni wake,
    Kila anayekiri kwamba Yesu ni Bwana,
    Mungu yu ndani yake naye ndani ya Mungu.

КОМЕНТАРІ • 31