UKHTY SAU - MASIKU MACHACHE (Qasida Official Video)
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- Welcome To The Official UA-cam Channel For Ukhty Sau
📩 Do you need to make your celebration fun? this is the right time for you.
☎ Call / WhatsApp +255 779 354 988
📍Don't forget to - LIKE 👍 | SHARE 🤗 | COMMENT 💁 | SUBSCRIBE 🤓
Karibu Katika Chaneli Rasmi ya UA-cam Kwa Ukhty Sau
📩 Je, unahitaji kufanya sherehe yako iwe ya kufurahisha? huu ni wakati muafaka kwako.
☎ Piga / WhatsApp +255 779 354 988
📍Usisahau ku- LIKE 👍 | SHIRIKI 🤗 | MAONI 💁 | SUBSCRIBE 🤓
N:B
FOR COPYRIGHT NOTICE CLAIMS
Please if you have any issue with the content used in my channel or you find something that belongs to you, before you claim it to UA-cam Kindly send me a direct message through qaswidazetu082@gmail.com or telephone +255 773 451 090 and I will delete them right away. Thanks for your understanding.
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 © 2023 𝑫𝒊𝒓𝒆𝒄𝒕𝒐𝒓 𝑶𝒏𝒆.𝒕 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
Allah Allah hongera sana ukhti Sau
Mashaallah khuty sau hongera kwako
Mashaallah
Kaz nzur mashllh UKHTY SAU
Mashallah ukhty sau kazi nzuri sana nakubali kazi zenu
Hongera sana sana umepata
Asante sau nakubali kwakazi zako
Ah ukhty sau ww noma hmna anaekufikia kw sas jumbe zko n za kueleweka mashaalla👌💖
Kasida nzur ukhty Sau nakukubali mmejitahidi lakin mawazo yangu kasida kama hizi lazima utafute waitikiaji waliokuwa wanatabasamu ili kupendeza kasida ,mana uyo mwezenu apo amenuna kasida nzima yy hajaonesha tabasamu lake.Ramadhan ya mwakajana kasida ilikuwa nzur sana kutokana na waitikiaji walikuwa wanavionjo mashallah pongezi zao niwape. Ushauri Ramadhan inayofuata inshallah roho zikifika mutuwekee waitikiaje wanaoweza kuitendea haki kasida.
Njooo uchukuwe soda
Mashaallah ukhty sau nakupndaje
Asnt
Yaani kwakwli sijaona mashairi mazuri msomaji hodari kama huyu cha kunena sina
Nakuelewa
Mashallahu nakupenda sana UKHTY Sau
Hongera sana ukhty sau kwa qaswida yako nzur sana Allah akupe umri mrefu ili kutuelimisha zaidi
Hongera dada
Hongera sana dada Sau kwa ukumbusho na wa sia kwa wanadamu hadhani ipo karibu sana kufanya maasi sio busara kufanya
Mashaallah mungu akupe umri mrefu uzidi kutuelimishaa Amiin
Mashallah ukhty sau nakupenda kwa ajili ya allah.
UKHTIY SAU MA SHAA ALLAH KWA UKUMBUSHO ILA NTAKUEKEA MWANANGU
Mashallah mashallah sau wangu 😍masiku machache jmn asante kwa ukumbusho dada allah akulinde na hasad inshallah penda sana sau wangu
Ukh sau nakukubali mm sanaaaa kila unayotoa moto ❤😘🥰
Safi sana hiii
Really nice
Mashallah Mungu akulinde ishallah
Mashaallah ukhty sau kaswida nimeipenda
Mashallah tabaraqallah penda sana ww ukhty sau nakuskiliza nikiwa saudia🥰🥰🥰🤝
Hongera huty sau umenikosha napenda kila mda niisikilize
Kasida iko poa
Mashallah Ukht Sau mie ntakwita Dida namba mbili tabasam mwanzo mwisho.Allah awahifadh Inshallah.
Mashaallah ukhut sau unafanya vyema
Mashaaallah Allah Awahifadhi na Hasad
Mashaalah ukht sau....🙏
Pia hongera ust Yahya ....🙏
kwako sjakusahau director makini sana znz One .T..............,👍👍
big asnt
Ili azid kua makini bc tumsaidien IMAM wameiba hawaaa jaman tumtafut wahuck wachenal yetu tujue nn tunafanya
Ah ONE T makini
Ukhty sau hodariii
Maashallah shamsia mahondaa kazi nzur unazidi kuwa juu
Allah atupekher tuweze fanya mema kwasiku zilizopo ndan yamwez hu waramadhan insaallah shkrn ukhty sau kwaukumbusho mwema
One t kaka hujawahii kukosea Allah azidi kukuza kipaji chako.. ukhty sau wewe ni mwangaza kwetu Allah azidi kukupa moyo wa kutburudisha
shkrn sn mzee wng
Ukht sau
@@DirectorOne.t heeeee mbn uyu anaitikiaaa shukuran za watuuu mackini weeeeeee😂😂😂turejesheee alafu tukusomesh ili upendweeeeee
Masha allah alfu mabrook mumeweza wallah 👌👌👌👌👌
Mashaallh..,❤️......n rah t kwel kw kusikiliza mashair yeny ujumbe uliotulia
Hongera san ukhty mungu akuzidishia
Mashllh ukhtysau m/mung akupe kila la kher kwny tasnia hii na wale wte walofanikisha jamb shukrn la leo nifanywe leo 😘
Maxhaallah hongera ukhit sau Allah akzidixhiye kipaji chako
Anazid jitihada ila kaibiwa tufumbuk hii chanel sio tuizoweayo kwann naww ucmfat sau au director ukamuuliz ili nipendw km nyny nn nifany ungepat jibu na si kufanya wizi ila inshaallah mungu akupen mtihan mzit family ya kwen nyote mloshirk
Eee yarabbi ikubali duaa yangu amina
MKUU DUWA IMEPOKELEWA YAANI DAAA SHUKRAN SNA.
@@DirectorOne.t sante sanaaaaa allah afany wepec inshallah maana nilimchamb sanaa tuuu mpk aibuuuu 😂😂😂
@@DirectorOne.t mkuuuuuuuuuu yani hadi rahaaaaaaaaaaa
Mashaallh ukhty sau kwa ujumb mzury ulotupatia
Mashaallah allah s-w kakujaalia kipaji cha kheri na unajua kukitumia inshallah Allah s w akuongoze njia iliyo ya kheri qasida yako ni nzuri na wosia nzuri mashaallah mungu azidi kukuepushia husda za walimwengu
Masha Allah team nzima ya ukhty say......kasida zako kwa Kwel za vutia
🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲💖💖💓💓💓🌙⭐👈🏻📿💝🤔🤔🤔⭐🌙
Inshallah kheri hatutochokaa tutajithd inshallah ila ukht unatak cfa narudia tenaa mana heee mashairi gan ayo 😘😘😘
ahahahaha kidu bdo hujantafutaaaaaaa
Nimefanyajeee
@@kiduuhassan2559 😁😁😁😁 hunaadabu
@@kiduuhassan2559 tena mtunzi wake sifa sana na msomji wake
So sina adabu vooo mm cna miad na yy nna miad na one t kumbe huyu jamaa kaiba chanel yabwatuu.subhanallah na ndo umeandik jina tukufu IMAM ila umeiba inshallah hutakiw kumuombea mwenzak maby ila ww kwanza mungu atudhihirishieee mbaya wetuu pili utapokufa allah akup mtuhan mzitooo na naamn manen yasemay mungu amfich mja wakee naww tutakujua tuuu
Saf Sana hakika iko poa Sana so now naweza kukufananisha na dida
Kwa Mungu hakuna kubwa imerudi kweli
Tunashkr sn Alhamdulillah
sina mashaka na wew one t
shukrn sna mkuuu
Mashllah umepatia
Mashaaallah ukhty sau...lov uh
Mashaallah
MAASHAALLAH UKHTY SAU
💕💕💕💕💕💕💕ukhty sau.
SAU Wang sina neno kwako naona raha tuuuuuu
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Nikweli kabisa
Mashaallah Allah akuongoze ukhut saumu
Mashallah mashallah
MASHAALLAH, MASHAALLAH, MASHAALLAH
Nice...
Hongera cn
Nikweli
Mashaalla mashaalla
Kazi imenyooka
Kazi nzito Ladha 🎹🔥🔥🔥🌙
Mashaallah
Jaman penda sn sau
Nikweli
masiku ni machache
Tena yanohesabika he jamaa hatar inshallah mungu akipenda mwez 29 akapokee zawad zak anitumie jina kaml na no yak kwa ajil ya utunz hii na allah amuondosheee hasad za cc walimweng 👏👏
Masiku machache jaman njia ni mitrib hzo ahsante mwaka uu tutachukua tu
😘
Swa
Natk njee nkuowee mn nkukubal
Kk44hi
MASHALLAH
Saaf
Mashaallah Allah akuhifadh
Safi sana ukhty sau uko vizuri sana kaza buti
Mashaallah
Mashallah
Mashaallah
Mashaallah