SAKATA LA UINGIZAJI WA SUKARI LAIBUA SURA MPYA BODI YA SUKARI WAFUNGUKA/KUMEKUWA NA UPOTOSHAJI
Вставка
- Опубліковано 5 жов 2024
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►UA-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Hii nchi siasa mpaka kwenye chakula hii ni kutuchezea tu watanzania hii CCM inahitaji kutumbuliwa
Pole sana Mzee wangu Mnakazi ngumu sana kwa watu tunaoishi kwa propaganda " umeongea ukweli kwa ushahidi"
Kwa hali hii na uongeaji huu takukuru wanatakiwa wahusike.ukweli utajulikana tu.
HII NCHI NGUMU SANA SANA.UNAFIQ NA UCHAWA NA KUCHAFUANA NDO ZIMEGEUKA SERA ZA TAIFA.BADO TUMELALA NA SIKU TUKIAMKA TUTAJIKUTA THE HAGUE
Swali mulijuaje km wazalishaji wameshindwa kuingza kusukar hadi mkawapa kampun za simu hyo nafas? Masilani ni tofaut ya mwez mmja
Was there any due diligence to the so called voucher companies?
Huyu Jamaa wa Bodi ya sukari anaonyesha ushahidi unaonekana Mimi nimenunua sukari elfu 7 Jamaa inawauma sana safari hii walitaka sukari ikosekane ili wapandishe bei
Baada ya sakata hili la sukari kuwa moto, ni kwa nini kutokee badiliko la uongozi TRA ????.Inatupa picha gani 🤷🏼♀️🤷🏼♀️🤷🏼♀️❓❓Mlikaa kimyaaaaa, na mlivyo hodari wa data, mmezipika kutuaminisha.
Sukari shida,Ngano shida ,sio chuma shida vijiti vya meno shida nguo nje tyre shida sisi vyetu wenyewe lini wakubwa wetu tujibuni.
Kwahiyo unavosema sisi wananchi tukiongea hain haja ya nyie kueleza ukweli. Sisi ndo waajir wenu mnapaswa kutoka na kufafanua azalani. Ipo siku mtatulilia nyie.
Sikumbuki kama tuliwahi kuambiwa ukweli nchi hii iliyoasisiwa na JKNyerere.
Kutumbua hapana kukopa aaaah😊
Mnatuvyruga, maana kila mmoja anadai ushahidi upo, hatuwaelewi, tunachokijua ni kwamba sukari ilikosa, tukasafa. Mnapoendelea kurumbana mnatupa ushahidi kwamba viatu halitoshi. Mkikaa kimya tutawaona waomavu. Huo ni utoto
Solution ya hii issue so kulumbana Bali ni vitendo yaani miwa inalimwa hapa na ardhi ni kuuubwa.Yaani hata Mimi nikipewa wizara natatua tatizo hili kwa Mwaka tu tutauza sukari Hadi 1500
Mijitu ya chadema hata haielewi kila ikielimishwa inaleta siasa eleweni mnachoelekezwa acheni acheni uzwazwa
Kwanini tutegemee sukari ya nje wakati tuna ardhi kubwa namna hii ya nchi yetu
Ameshindwa kujibu hoja za msingi 😊
Business licence only is not adequate in determining the competence and compliance of any business entity.
munapoteza muda wenu tu mwezeno yupo busy na kuteua na kariakoo😂😂😂😂😂😂
Ameteua akijua hicho kinachoendelea hapo👆👆ndio maana kwenye uteuzi amemtoa Boss wa TRA kupotezea. Wanajipanga
Mliwamdikia barua waje kuchukua vibali dec ngapi? Inawezekana mmewapa barua kibali dec mwisho ndiomaana mwazo wa jan wakachukua kibali hapa raisi atupe wachunguzi huru ili ukweli ujulikane
Meli ilipita mlango wa nyuma
Mlivunja sheria wizar ya kilimo ilipiga
Kwa issue ni kampuni zil
izopewa vibali vya sukari, au uvunjwaji wa sheria ya sukari?
Hizi Tantalila za nn Wananchi wanataka Sukari tena kwa bei rahisi kama wenzetu (nchi) Zinazo tuzunguuka, Hii mipasho yenu mgeitana huko mmalizane wenyewe......!!!!!!
Wewe unamajengo kufuru acha udambwi.
Mbona mnalumbana kazi yenu ninkushirikiana kutulinda sisi wananchi dhidi ya shida
Yule Mzee wa jana nimuongo tokea jana nilipo muona Ishu hii inawatu wanatetea maslahi yao na sisi wananchi hatuko makini na jamaa hao waviwanda kunadili imefeli imekuwa dirisha na wameamua kumtumia yule jamaa wa GANG" kujifanya mzalendo
Huyu ni tapeli tu haieleweki anazunguza nini
Mmi sielewi unachoongea kama ni sukari bei ni juu toeni Siasa hapo
Kwamfano Ng'ombe wako akikupiga teke we unampa sumu ili akufe 😂😂😂😂akili matope aabu tupu
Mimi huyu bwana anachoongea simwelewi kabisa.
Jitupora tu hilo ni linyung'unya fulani, matumbo malaji. Yaani Lina kila jina baya.
Huyu shida yake Nini?!?! Sielewi