Mage tena unaumwa kweli vile umejiremba fanya kusikia hio hali nilijionea siku moja hao wamama waja wazito we hadi nikaogopa ila wamama wote waliozaa hongereni xana 💪💪
Ewe mwenyezi mungu nakuomba umsaidie mage n mwanaye wawese kua salama nashukuru mungu maana unanisikia wape afya njema mponji akamwone mtoto wake n wakamlee wote naomba n kuamini amen 🙏
Jaman Mage pole san , unanitoa machozi , wew Mponji vip bado unampa nafas Hajra ya kuketi.na we w akaeleza unafik wake , simama kiumbe bwana mkatae yote mzima , vip wew!!! Unasbr bahat mbay kish useme Mungu amepanga eti!!! Mage Mung awe nawew muda wote.
Pole sana Mage kwa Machungu unayoyapata Nimefurahi sana Mr Mponji kusaini Mungu atakusimamia Malaika pande zote Nne wapo pamoja nawe wewe kwa jina la Yesu Kristo Amen A 26:27
Asalam alaykum warahmatullah wabarakaatuh kila mwenye anaagalia hii move mwenyezi mungu amjalie kheri n mungu ampe hitaji la moyo wake Inxhallah ❤❤❤❤❤❤
Pole sana dada mage, Mungu yuko upande wako atakushindia yote, mimi pia nilipitia hayo yote ila Mungu alisimama na mimi! Nakuombea kwa mungu akufanyie wepesi dada angu ujifungue salama kabisa 🙏🙏
Lkn mm naonaga kama Hajrah hanaga akili nzur licha y kuigiza anakaa kama zezeta hata n ww mponji amka bhn kwn unanyenyekea kma umeolewa n yeye bhn unaniboo
Mungu kama aliruhusu ujauzito ukaingia hashindwi na jambo lililoko chini ya jua kama aliruhusu yeye itakuwa na kama hajaruhusu yeye haitakuwa malaika wa mungu wakasimamie upasuaji unapenda kufanyika kwà mage mola wetu kafanye ivo
Kaka hujawah kukosea ata unajua weww me unanikosha sana yan unabanda na kubandua leo hii kesho hii yan mpaka unanipa lahaaa sjaona kamaa kuna mtu analalama kua unachelewesha move kweli unajali watazamaji wako lakan pia hii roction yako ni nzuri sana inamafunzo kwakweli mama nakuombea ujifungue vema kabisa bila ya kisu jaman brother weeee noma
Hii ndio series yangu pendwa kati ya zote ninazofuatili ina ujumbe mzuri sana kwa rika zote
Mange pole ila utakua sawa ila unanifanya ni 😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭 msomeeni surat maryam
Mage tena unaumwa kweli vile umejiremba fanya kusikia hio hali nilijionea siku moja hao wamama waja wazito we hadi nikaogopa ila wamama wote waliozaa hongereni xana 💪💪
Jamani nipo hapa tokea 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 wenzangu nawaombeni usininyime like na mungu atawambariki 🙏🙏🙏🙏
Ewe mwenyezi mungu nakuomba umsaidie mage n mwanaye wawese kua salama nashukuru mungu maana unanisikia wape afya njema mponji akamwone mtoto wake n wakamlee wote naomba n kuamini amen 🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏atakuwa salama
Ammin
Eemwenyezi mungu msaidie mage na mwanae
Mage Kwa kweli unanitoa machozi😢,, pole Kwa unayopitia Mungu akufanyie wepesi utoke salama
Mage anahitaji maombi kile kitu kilicho muingia kinatakiwa kitoke me namombea Sana mage na mwanae🙏🙏
Mko sawaaa kbsa napenda vile mnatoa haraka wangap wanakubaliana na mm?
😅😅
Nipo
Tumuombeen mag sana maombi ÿa ukombozi mungu awe pamoja nae ajifungue salama na alee mtoto wake shetan ashindwe
Movie nzur sana iko na mafunzo mengi sana... tunazidi kujifunza mambo mengi ya muhimu
Jaman Mage pole san , unanitoa machozi , wew Mponji vip bado unampa nafas Hajra ya kuketi.na we w akaeleza unafik wake , simama kiumbe bwana mkatae yote mzima , vip wew!!! Unasbr bahat mbay kish useme Mungu amepanga eti!!! Mage Mung awe nawew muda wote.
Mbona unaziba shimo la panya kwa mkato mpoji, umeshindwa kuamini mungu anaweza ila mungu amjalie atoke salama
Usijali maggy, acha mapenzi ya mungu yatimie.tunakuombea🙏🙏🙏
Nmewah sana yan nlikuwa nasubiri nione mage wanguu
Wao sijacheleewa Ngoma niangalie kwanza ndyo nikoment😊😊😊😊
Inshallah kilenz mungu yupo hatokuacha utajufungua salama
Wewe Mponji, toa maamuzi haraka, Oparesheni, ni njia salama ya kuokoa ,Mama na Mtoto
Pole sana mage mungu yupo nawe
Daaa nimesahau kumpa mama ushuzi pole zake maan sio kwa yale mabao ama kweli mtoto akililia wembe mpe ukimkata ataacha
Pole sana Mage kwa Machungu unayoyapata Nimefurahi sana Mr Mponji kusaini Mungu atakusimamia Malaika pande zote Nne wapo pamoja nawe wewe kwa jina la Yesu Kristo Amen A 26:27
Mungu awabariki sana katika vipaji vyenu❤
Sijui leo nionyeshe mme wangu kwenye anatoa mafunzo😂😂🤣ama mniache kidogo ufike 60😂😂😂
Subiria mpaka ya 60
Ila Hajira hana aibu anchapwa ,anafukuzwa lkn hakomi ,wachawi bwana
MUNGU ni mwema atamsaidia mungu hashindwi na jambo ❤❤❤❤mage muamini
Jamani mponji tunaitaji mtoto na mama yake apone sitaki mage amuashe mtoto amlee mwanae
mungu tenda jambo uchungu mara hiyo hiyo operation haitakuwa ajifingue salama
Mm hapa number 40 jamani nipeni like atatatu❤❤❤❤mage utajifungua salama
Tangu nianze ktanzama hii movie cjawae pata likes Leo naomba likes jamen
Unatak like kwani wewe umekuwa mage ama kina mponj
@HalimaAdam-r5e c lazima ulike alaaaaah Kwan nmekuforce
Jaman doctor kavaa uhusika wake kisawasawa maan sio kwa unyenyekevu huo
Maman shadya kwa kweli si mtu sahihi, ayibu hana kabisa,ivi ni mutu wa haina gani? kwa kweli ni muchawi
Maggy jipe moyo inshaallah utazaa vizuri
Tuamini mage mungu ako na yeye
Mage atajifungua salama Mungu hashindwi
Your views, likes, comments, share and subscriptions mean the world to me. Love y'all ❤❤❤
Mponzi ludisha mtoto wa hajira upunguze makelele
Tafadhali sana mage asife wala mtoto naomba maana mm sitakiweza kulia
Kazi ni nzuri sana Ina mafunzo makubwa mno hongera Mponji na timu yako
Baraka ako na roho nzuri sana yaani mponji ata kama huwezi msalimia Baraka na amekua karibu nawe
Oooh good hellow naombeni like hata moja tu wapendwa
Nawakubali xan
Hadi nmesikia kulia lakini mungu ❤ atasaidia jasmin
Mponji Asante kwa movie nzur alaf uchelewesh ktoa vipande Hadi rahaa
Unakela mponji unapompa nafasi ma shadya wakati unajua kabisa si mtu mzuri
Nimewai Leo toka Kenya🇰🇪🇰🇪like zangu mungu hamsadie mage hajifungue slm 🎉🎉
We are together as one Kenyans
Inshallah
Mpeni chai ya rangi mage atajifungua salama
Leo wakwanza naomba like yangu
Asante kwa muendelezo wa haraka tunawapenda wote jop zima❤
Asalam alaykum warahmatullah wabarakaatuh kila mwenye anaagalia hii move mwenyezi mungu amjalie kheri n mungu ampe hitaji la moyo wake Inxhallah ❤❤❤❤❤❤
Waoo nmewahi jmn msiniache nyuma
Hongeraa Daircter na mashabq.wwnzangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Pole jasmine unapitia Hali mgumu kweli
Pole sana dada mage, Mungu yuko upande wako atakushindia yote, mimi pia nilipitia hayo yote ila Mungu alisimama na mimi! Nakuombea kwa mungu akufanyie wepesi dada angu ujifungue salama kabisa 🙏🙏
Ee mungu naomba umusaidie Mage ajifungue slm😮😮
Mage unaniliza kwakweli ungine inanipa moyo unahimani dada
Nakuombea mage Mungu akusaidie kwahio operation utoke salama wewe na mtoto wako mahasidi wapate kujua kunaye Muweza wa yote🙏🙏
mungu akutie nguvu mamy ujifungue salama
Mungu wangu wa mbingun msaidie mage Hana hatia mungu Fanya njia pasipo na njia mungu ila bado ninaimani mage atajifungua salama ameeeen🙏🙏🙏🙏💕💕
Nimewai leo
Leo sijachelewa jman naomba like ata kma n tano bc n mm nifurai🤗🤗🤗
Kazi nzuri sana mponji chamsingi kumuombea jasmini azae tu inshallah mungu ako nae atajifungua tu🙏🤲
Ee mwenyezi mungu saidia maggie ajifungue salama 🙏🙏🙏🙏kwa uwezo wako hila mpoji acha kuruhusu huyo hajra kuja apo nyumbni anamfunga maggie kbs😢😢😢
Mungu akupiganie mage,
Jamani team mage tumuombee mage atoke salama yeye na mwanae🙏🙏
Saudi ya hajra inanikera
Maamuzi mazuri mungu atafanya wepesi tunasbili mtoto
Lkn mm naonaga kama Hajrah hanaga akili nzur licha y kuigiza anakaa kama zezeta hata n ww mponji amka bhn kwn unanyenyekea kma umeolewa n yeye bhn unaniboo
Kweli kabisa kumbe na wewe umeliona hilo
Mage mungu akutangulie wachawi waumbuke yarabb
Mungu kama aliruhusu ujauzito ukaingia hashindwi na jambo lililoko chini ya jua kama aliruhusu yeye itakuwa na kama hajaruhusu yeye haitakuwa malaika wa mungu wakasimamie upasuaji unapenda kufanyika kwà mage mola wetu kafanye ivo
Mage afanyiwe operation tumuone mtoto wake jaman
Kazi nzuri sana ina kila sifa ya kuwa series bora ya mwaka 2024
Amiin Inshaallah
Mungu msaidoe mage muepushe na uchawi WA bi ushuzi
Allah atakujaaria Jasmine Utajifungua salama🙏
❤❤❤ mama shadia ukomi2
Eeee Mwenyezi Mungu amsaidie mage wetu
Jamani tunaomba mwendelezo kama upo msitucheleweshee tunataka kujua hali ya mage
mungu ndo kila kitu mama shadiya ashindwe kwa jina la yesu
Mponji unavyo mupa Mashadia mdawakumuskiriza unaboa kwakweri uyomdaunaaompa Mashadia huonitatizo mukewako alonaao Hospar yoote uykicha Mama Shadia anachangia juyawivu wampenzi
Mungu atakusaidia Jasumin utajifungua salma wachai hawamzi Mungu nguvu
Naombeni like zenu nikiwa🇹🇿 apa apa jmn
Mr Mpoji hatupngei Mengi Tupo kwenye Maombi ya Mage watoke salama na Mwanaye•Achana naye Huyo Mama Shadia Mchawi Mkubwa Mpeleke kituo cha Polisi
Mage Mungu akusaidie ujifungue Salama haijalishi utajifungua Na njia gani ila Mungu akusaidie ubaki Salama pamoja Na mtoto wako
❤❤❤❤Hajra nakuchukiaa mbwaa wewee
Utajifuguwa salama tu dada
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉kazi nzuri sana
Mama shadya ulijuaje mimba ya mage Ina miezi 12 kama ww SI mchaw wake???
Mungu nakuomba umusalimiyesana saidiye mage maobiyetu uisikiye ebwana nakuombo katika jinalako Amen
Kaka hujawah kukosea ata unajua weww me unanikosha sana yan unabanda na kubandua leo hii kesho hii yan mpaka unanipa lahaaa sjaona kamaa kuna mtu analalama kua unachelewesha move kweli unajali watazamaji wako lakan pia hii roction yako ni nzuri sana inamafunzo kwakweli mama nakuombea ujifungue vema kabisa bila ya kisu jaman brother weeee noma
Baraka umekosea sana kusema wanawake niwapumbavu
Hiiii wewe mama Shady a ni MTU na nusu? Mamaaaaaa naomba msadaaa!!!!
Mapema leo
Kimaro alipaka rangi paka mkeo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mama shadya wehaukomi?
😂😂😂ma shadry uchawi umeisha
Mponji roho imeniuma sana mungu saidia mage
Ila baba shadiya ety nimekupa kazi ya kupaka rangi nyumba ila we unampaka na mke wangu nimecheka kama mazuri ila tena nikiangaria upande wa mage😂😂😂
Na operation ya sahv nimaroho mungu atusaidie
❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮
Kanae mbali hyo hajra
Mponji chukua maamuzi magumu mwachie mama shadia mtoto wake asikugande gande hivyo
Hivi kwa akili za mama shadya unahic ata akipewa mtt atatulia na kuto kusumbuwa😂😂😂
Mungu wa mbinguni wabaliki kwa vipaji vyenu
Mungu muonekania Maggie ajifungue salama
Kazi juu ya kazi🔥🔥
Aki mage unapitia machungu umeliza mage 😭😭😭 kwa maneno yako
Mponji muombe Mungu swali sana kipindi hiki kigumu